Nichukue nafasi hii kumpongeza Tajiri wetu Boehly kiukweli amefanya kazi kubwa Sana kwenye Hili dirisha ametuprove wrong wapenzi wengi wa chelseafc dirisha la kwanza tu ametumia kiasi kikubwa Cha fedha kwenye usajili nadhani kuliko Tajiri wowote wa Teams za Ulaya na kikubwa zaidi amezingatia mahitaji ya kocha hata pale ambapo kuna wachezaji alikuwa anawataka binafsi kama Ronaldo lakini kwazingatia Mapendezo ya TT ameamua asimsajili tu kwasababu TT amemkataa.
Kutokana na usajili Huu uliofanyika TT ana deni kubwa kwa mashabiki kwasababu kapewa kila kitu na Wamiliki hana excuses zozote zaidi ya kuona tunapata matokeo yenye kutupa makombe.Kazi imebaki kwake tuone nini atafanya na hamu kubwa leo nini ataongea kwenye press conference atakayoifanya jioni ya leo baada ya dirisha kufungwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu hawajui mpira ,wakipoteza game moja et TT out ,sijui ni utotoSkizeni nyie mamluki ..ligi ndio imeanza Sasa..Nani ayiogopi Chelsea?? Nyie matakataka munaomchukia TT tafuteni timu za kwenda ..achana na Chelsea yetu
Jamaa ni Mswizi lakini ana jina utadhani ni wa Babati. Eti Denis Zakaria [emoji23][emoji23]. Yaani Zakaria kavu kabisa haina uzungu - Zacharia [emoji2297][emoji2297]Karibu darajani Zakaaa...... !!
View attachment 2342858
Huyu kama hayuko Kisimiri, yuko nyuma ya mlima Olkokola. Kuna kitu inayo grade ya juu sana huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Povu la nini kijana?
Unakaza fuvu utadhani timu ya baba yako!
Ana asili ya congo ndio maanaJamaa ni Mswizi lakini ana jina utadhani ni wa Babati. Eti Denis Zakaria [emoji23][emoji23]. Yaani Zakaria kavu kabisa haina uzungu - Zacharia [emoji2297][emoji2297]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Skizeni nyie mamluki ..ligi ndio imeanza Sasa..Nani ayiogopi Chelsea?? Nyie matakataka munaomchukia TT tafuteni timu za kwenda ..achana na Chelsea yetu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli kabisa sasa hivi timu zote za Epl zinatetemeka zikisikia zinaenda kucheza na Chelsea, hii yote ni baada Chelsea kukamilisha usajili wa mchezaji nguli kabisa Denis Zacharia huyu hapa chini.Skizeni nyie mamluki ..ligi ndio imeanza Sasa..Nani ayiogopi Chelsea?? Nyie matakataka munaomchukia TT tafuteni timu za kwenda ..achana na Chelsea yetu
Hizi picha za watu innocent mnazotumia kufikisha ujumbe wenu wa kukejeli mtakuja siku moja kulipa gharama kubwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli kabisa sasa hivi timu zote za Epl zinatetemeka zikisikia zinaenda kucheza na Chelsea, hii yote ni baada Chelsea kukamilisha usajili wa mchezaji nguli kabisa Denis Zacharia huyu hapa chini. View attachment 2343188
Mkuu ukiangalia sasa hivi mastrikers wengi wenye umri mkubwa ndio wanafanya vizuri nenda italy kule kuna mwamba wa Lazio, Barca Wana Lewandowski, Ronaldo kapiga goal 18 msimu uliopita akiwa na umri wa miaka 35, Angalia Benzema na Kane wanachofanya japo Wana umri mkubwa.Binafsi na imani kubwa Sana kwa Auba ataalivyoenda Barca kwenye mechi 17 alizocheza kafunga goal 11 ni mchezaji mzuri imani yangu ipo kwake kwasababu pia ana fit style ya uchezaji wa TT.Natoa tahadhari
Tusiwe na mahopes mengi kwa Aubameyang kwa sababu huyu Aubameyang wa Chelsea sio yule wa Borussia Dortmund wa 2018 au wa Arsenal wa 2021 aliyekuwa anafunga hadi magoli 20+, Huyu wa kwetu ana miaka 33, ni wachezaji wachache katika umri huo wanaweza kumeintain pace, na uklatili golini
Najua fika hatakuwa kama Lukaku, Batshuayi au Havertz atatupa magoli zaidi ila sitegemei wonders kwake
Najua pia kuwa wanaweza wakaform partnership nzuri na Sterling na Ziyech** au Mount form yake ikirudi
Pia najua atashirikiana vyema na akina Kante Cucurella na James hao wachezaji niliowataja ndio nawaamini wanaweza kumpa ushirikiano. Ziyech akiondoa mentality mbaya nba kuanza ukurasa mpya chini ya Chelsea mpya anaweza akamalizia career yake Chelsea kwa uzuri ila akiendelea kudeka January itabidi asepe
Msimu ndio kwanza umeanza ..kufungwa mechi mbili tu hakutufanyi tukaanza tumjaji kocha wakati munajua kabisa tumetoka kwenye matatizo na wachezaji wengi wa muhimu waameondoka. Munataka TT afaanyaje? Tumpe Muda usajili ndio umefungwa Randi kikosi kitakuwa kipana tuna option nyingi za wachezaji.Umeona sajili tulizofanya?
Afu uzuri TT anamjua maana kacheza naye akiwa BorrussiaMkuu ukiangalia sasa hivi mastrikers wengi wenye umri mkubwa ndio wanafanya vizuri nenda italy kule kuna mwamba wa Lazio, Barca Wana Lewandowski, Ronaldo kapiga goal 18 msimu uliopita akiwa na umri wa miaka 35, Angalia Benzema na Kane wanachofanya japo Wana umri mkubwa.Binafsi na imani kubwa Sana kwa Auba ataalivyoenda Barca kwenye mechi 17 alizocheza kafunga goal 11 ni mchezaji mzuri imani yangu ipo kwake kwasababu pia ana fit style ya uchezaji wa TT.
Tulia wewe takataka ..mutaondoka wenyewe humu ..sisi ndio Chelsea ..huyiogopi Chelsea?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli kabisa sasa hivi timu zote za Epl zinatetemeka zikisikia zinaenda kucheza na Chelsea, hii yote ni baada Chelsea kukamilisha usajili wa mchezaji nguli kabisa Denis Zacharia huyu hapa chini. View attachment 2343188
Watu wanataka ushindi tu ..timu ikipoteza mechi moja tu tayari kocha hafai. ..kwa huu usajili tulofanya nategemea tutaleta ushindani mkubwa dhidi yenu man shityee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu hawajui mpira ,wakipoteza game moja et TT out ,sijui ni utoto
Hahaha mchizi boti upo ..kitambo Sana ..uko mashimoni uko angalia mchwa wasikukule😂😂😂🤣🤣Povu la nini kijana?
Unakaza fuvu utadhani timu ya baba yako!
Kacheza naye au kamfundisha?Afu uzuri TT anamjua maana kacheza naye akiwa Borrussia
Huyu toka akiwa German sikuwa na shida sana kwa uchezaji wake ila kule juve sijamfwatilia sanaTunabet kwenye mfumo wa TT labda atafit in, hatukuwa na option
Alicheza vizuri sana akiwa Bundesliga, mambo yake hayakwenda vizuri alipohamia Juventus dirisha dogo la January 2022
Mkuu usitumie kigezo cha umri peke kupima uwezo wa striker hapana kuna vipimo vingi hususani katika Epl uzoefu ni muhimu sanaa, na siku hizi mpira umebadilika sanaa, kuna wenye umri mdogo wame shindwa mpira mapema, na kustaafu ........kwa mfano angalia Mount pamoja na kua na 24yrs anatafuta form kama mchezaji wa miaka 35.Natoa tahadhari
Tusiwe na mahopes mengi kwa Aubameyang kwa sababu huyu Aubameyang wa Chelsea sio yule wa Borussia Dortmund wa 2018 au wa Arsenal wa 2021 aliyekuwa anafunga hadi magoli 20+, Huyu wa kwetu ana miaka 33, ni wachezaji wachache katika umri huo wanaweza kumeintain pace, na uklatili golini
Najua fika hatakuwa kama Lukaku, Batshuayi au Havertz atatupa magoli zaidi ila sitegemei wonders kwake
Najua pia kuwa wanaweza wakaform partnership nzuri na Sterling na Ziyech** au Mount form yake ikirudi
Pia najua atashirikiana vyema na akina Kante Cucurella na James hao wachezaji niliowataja ndio nawaamini wanaweza kumpa ushirikiano. Ziyech akiondoa mentality mbaya nba kuanza ukurasa mpya chini ya Chelsea mpya anaweza akamalizia career yake Chelsea kwa uzuri ila akiendelea kudeka January itabidi asepe