Tulimaliza wa 10 na Yeye alifukuzwa nadhani tukiwa wa point moja nyuma ya relagation zone. Mechi tisa tulifungwa kati ya 16 tulizocheza.Nadhan umesahau msimu ule wa Mourinho, 2015/16
December mourinho anafukuzwa.
Tunabet kwenye mfumo wa TT labda atafit in, hatukuwa na optionMbona kama Bakayoko hivi?
Usisahau zile silaha za academy, viungo wale watatu, beki, golkipa na ule wa dinamo ambaye nadhani atakuja januari. Usisahau akina Levi Colwill. asipoweka plan ya kuwaingiza kwenye first team kama anavyofanya Xavi kwa Gavi na Ansupati wa Barcelona, nakuapia atafukuzwa kweupe. Nasema hivi kwa sababu naona maono waziwazi ya Boehly ni kuunda kikosi imara ya sasa na ya baadaye. Na hii inaonyesha waziwazi Todd Boehly anahitaji kocha wa kufit kwenye maono hayoNichukue nafasi hii kumpongeza Tajiri wetu Boehly kiukweli amefanya kazi kubwa Sana kwenye Hili dirisha ametuprove wrong wapenzi wengi wa chelseafc dirisha la kwanza tu ametumia kiasi kikubwa Cha fedha kwenye usajili nadhani kuliko Tajiri wowote wa Teams za Ulaya na kikubwa zaidi amezingatia mahitaji ya kocha hata pale ambapo kuna wachezaji alikuwa anawataka binafsi kama Ronaldo lakini kwazingatia Mapendezo ya TT ameamua asimsajili tu kwasababu TT amemkataa.
Kutokana na usajili Huu uliofanyika TT ana deni kubwa kwa mashabiki kwasababu kapewa kila kitu na Wamiliki hana excuses zozote zaidi ya kuona tunapata matokeo yenye kutupa makombe.Kazi imebaki kwake tuone nini atafanya na hamu kubwa leo nini ataongea kwenye press conference atakayoifanya jioni ya leo baada ya dirisha kufungwa.
Alikuwa mzuri sana wakat yupo Borussia Monchengladbach,Mbona kama Bakayoko hivi?
NingependeleaLine up 2022/23
343
A
----Sterling ------------- Auba ------------- Ziyech----
Cucurella --------- Denis ----------Kante ----------James
----- Koulibally --------- Silva ----------- Fofana --------
------------------------ Mendy -------------------------
B
----Sterling ------------- Auba ------------- Mount----
Chilwell ---------Kovacic----------Denis ----------James
----- Cucurella --------- Silva ----------- Fofana --------
------------------------ Mendy -------------------------
Tutaanzia hapo, timu imepanuka kidogo ila kwa ajili ya top 4 sio ubingwa don't misquote me
Kuna game hapo hapo juve walicheza dhidi ya Real Madrid UEFA jamaa alikiwasha sana alikaba mno hii gameAlikuwa mzuri sana wakat yupo Borussia Monchengladbach,
Juve amehamia + majeruhi yakawa yanamuandama,
Form ya juve isiwachanganye sana maana usajili ni 50/50, kuna player wakat wako juve walionekana wabovu Bentaccur n Kulivesky ila sahiv spurs wako vizur
Ngoja tuone hali itakavyokuwa.
Now Pressure iko kwa Tuchel,Nichukue nafasi hii kumpongeza Tajiri wetu Boehly kiukweli amefanya kazi kubwa Sana kwenye Hili dirisha ametuprove wrong wapenzi wengi wa chelseafc dirisha la kwanza tu ametumia kiasi kikubwa Cha fedha kwenye usajili nadhani kuliko Tajiri wowote wa Teams za Ulaya na kikubwa zaidi amezingatia mahitaji ya kocha hata pale ambapo kuna wachezaji alikuwa anawataka binafsi kama Ronaldo lakini kwazingatia Mapendezo ya TT ameamua asimsajili tu kwasababu TT amemkataa.
Kutokana na usajili Huu uliofanyika TT ana deni kubwa kwa mashabiki kwasababu kapewa kila kitu na Wamiliki hana excuses zozote zaidi ya kuona tunapata matokeo yenye kutupa makombe.Kazi imebaki kwake tuone nini atafanya na hamu kubwa leo nini ataongea kwenye press conference atakayoifanya jioni ya leo baada ya dirisha kufungwa.
Umeona sajili tulizofanya?Skizeni nyie mamluki ..ligi ndio imeanza Sasa..Nani ayiogopi Chelsea?? Nyie matakataka munaomchukia TT tafuteni timu za kwenda ..achana na Chelsea yetu
Kumkosoa kocha Haina maana ni kumchukia, akifanya vizuri tutamsifiaSkizeni nyie mamluki ..ligi ndio imeanza Sasa..Nani ayiogopi Chelsea?? Nyie matakataka munaomchukia TT tafuteni timu za kwenda ..achana na Chelsea yetu
Wote wanaingia first teamNow Pressure iko kwa Tuchel,
6 new signing ambao wote or 5 wanaingia kwenye kikos moja kwa moja.
Now Boehly-Clearlake wafocus kwenye kutafuta new DOF,
Ashindwe mwenyewe kapewa yote anayotaka.Nichukue nafasi hii kumpongeza Tajiri wetu Boehly kiukweli amefanya kazi kubwa Sana kwenye Hili dirisha ametuprove wrong wapenzi wengi wa chelseafc dirisha la kwanza tu ametumia kiasi kikubwa Cha fedha kwenye usajili nadhani kuliko Tajiri wowote wa Teams za Ulaya na kikubwa zaidi amezingatia mahitaji ya kocha hata pale ambapo kuna wachezaji alikuwa anawataka binafsi kama Ronaldo lakini kwazingatia Mapendezo ya TT ameamua asimsajili tu kwasababu TT amemkataa.
Kutokana na usajili Huu uliofanyika TT ana deni kubwa kwa mashabiki kwasababu kapewa kila kitu na Wamiliki hana excuses zozote zaidi ya kuona tunapata matokeo yenye kutupa makombe.Kazi imebaki kwake tuone nini atafanya na hamu kubwa leo nini ataongea kwenye press conference atakayoifanya jioni ya leo baada ya dirisha kufungwa.
Tunahitaji matokeo sasa maana usajiri mkubwa umefanyikaNow Pressure iko kwa Tuchel,
6 new signing ambao wote or 5 wanaingia kwenye kikos moja kwa moja.
Now Boehly-Clearlake wafocus kwenye kutafuta new DOF,
Povu la nini kijana?Skizeni nyie mamluki ..ligi ndio imeanza Sasa..Nani ayiogopi Chelsea?? Nyie matakataka munaomchukia TT tafuteni timu za kwenda ..achana na Chelsea yetu
Umeamkia wapi Leo?Skizeni nyie mamluki ..ligi ndio imeanza Sasa..Nani ayiogopi Chelsea?? Nyie matakataka munaomchukia TT tafuteni timu za kwenda ..achana na Chelsea yetu