Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,935
- 236,489
Kweli watu hamna shukraniTumebutuliwa mechi ya jana. Sio ajabu!
Hope kocha atakuwa na akili bora next match na WHU.
Naona kama tulipaswa kukaa na Lampard zaidi kuliko huyu Tactician!
Anyway #BringBackLampard 😉
Broja anafit sema ndio hivyo hamuamini kwasababu ya umri wakeHuyo Deepay kumpata ndio haiwezekani sasa. Striker anayefit mfumo wa TT hajazaliwa bado!
Naona safari hii unaupako wa kushinda kwenye jukwa la The Blues, karibu kabisa kata shauri uhamie Chelsea, HaitakuangushaKweli watu hamna shukrani
TT alipowafikisha ila Leo mnamuona takataka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Dakika hizi za mwisho only suplus players ndio wanauzwa kwa kushtukizaAjax hawawezi muuza Edson Elvarez, msimu huu wameuza wachezaji wengi na muhimu.
Liver wanakamilisha usajili wa Arthur Melo, sisi bado tunadanga kwa Auba kwa muda mrefu wakati kiungoni ku na shida kubwa
Huyo Alvarez forget about himAuba inakuwa swap deal, mwanzon barce walikuwa wanagoma.
Kiungo kunataarifa toka jana zimezuka za Edson Alvarez wa Ajax
Wafia timu tu imewaangusha,sembuse Mimi[emoji1787]Naona safari hii unaupako wa kushinda kwenye jukwa la The Blues, karibu kabisa kata shauri uhamie Chelsea, Haitakuangusha
Mnajiandaa kupokea libabuKuna uwezekano mkubwa Mnyama CR7 akatua
Hivi milner ana umri gani?
Baada ya kuonekana deal la auba linatiki Kwa sasa hamna uwezekano huo..Afu huyu TT kamkataa bado tu hamuamini[emoji23]Kuna uwezekano mkubwa Mnyama CR7 akatua
Kwahiyo mmekuwa fungu la kukosa mnaenda kulizoa libabu leoYale ma babu yenu vp
Ni Babu,,ila Milner kuwa Babu isiwafanye muuokoe lile BabuHivi milner ana umri gani?
Angefit si ndio angemuamini kama mwana wa Havertz?Broja anafit sema ndio hivyo hamuamini kwasababu ya umri wake
TT sio takatakaKweli watu hamna shukrani
TT alipowafikisha ila Leo mnamuona takataka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
TT ni fala mmoja tuBaada ya kuonekana deal la auba linatiki Kwa sasa hamna uwezekano huo..Afu huyu TT kamkataa bado tu hamuamini[emoji23]
The FA is not blocking the possible transfer of Dynamo midfielder Arsen Zakharyan to #Chelsea. Negotiations remain ongoing, decisive round of talks will take place today.Arsen Zakharyan’s potential move to #Chelsea is now off.
FA currently blocking the move. #cfc
[@Nathan_Gissing]