Ronaldo wa nini?hatumtakiLine up ijayo baada ya usajili
F. 3-4-3
Sterling ---------- Ronaldo ----------- Gordon
Cucurella -------De Jong ----- Kante ---- James
------ Koulibaly --------- Silva --------Fofana
--------------------- Mendy --------------------
F. 3-4-3
Sterling ---------- Auba ----------- Gordon
Cucurella -------De Jong ----- Kante ---- James
------ Koulibaly --------- Silva --------Fofana
--------------------- Mendy --------------------
Toddy anamtakaRonaldo wa nini?hatumtaki
De jong mtoe hapoLine up ijayo baada ya usajili
F. 3-4-3
Sterling ---------- Ronaldo ----------- Gordon
Cucurella -------De Jong ----- Kante ---- James
------ Koulibaly --------- Silva --------Fofana
--------------------- Mendy --------------------
F. 3-4-3
Sterling ---------- Auba ----------- Gordon
Cucurella -------De Jong ----- Kante ---- James
------ Koulibaly --------- Silva --------Fofana
--------------------- Mendy --------------------
Wewe ndg yangu unaumwa hujitambui, ukapimwe kwanza mkojoSisi kukandwa tu kidogo kelele kibao wakati nanyie mlikandwa 4 zile zile tena darajani penu.
Nyie sisi kukandwa na Brentford bora mkae kimya tu nyie darajani tena timu ikiwa sawa kabisa.
Sisi kocha ndo anaanza kazi lakini venye mnakelele kama wamama wa vikoba vile.View attachment 2325552
Toddy sio kochaToddy anamtaka
Wewe Nani kakuambia hawatapewa nafasi?wamesajiliwa kwaninilembu
Kuna madogo naona mnawasajiri ,Kuna huyu kutoka intermilan ,mnawachukua kwa Bei kubwa
Hata chukwuemeka mmemchukua Bei kubwa ,
Kuna Nini nyuma ya hizi sajiri ikiwa hamuwapi nafasi first eleven?
Vipi huyo dogo Ni mzuri?
Ndio maana nimemuuliza lembu, najua wengi mna kurupuka kujibuWewe Nani kakuambia hawatapewa nafasi?wamesajiliwa kwanini
Chelsea inawekeza sasa hivi kwenye viungo akina jo na kante hawatakuwepo misimu mwili hivi ijayolembu
Kuna madogo naona mnawasajiri ,Kuna huyu kutoka intermilan ,mnawachukua kwa Bei kubwa
Hata chukwuemeka mmemchukua Bei kubwa ,
Kuna Nini nyuma ya hizi sajiri ikiwa hamuwapi nafasi first eleven?
Vipi huyo dogo Ni mzuri?
Ok, Ni Kama Jude Bellingham alikuwa anapatikana kwa €30m ,vilabu vya epl vikadharau ,now BVB wanamuuza £100m.Chelsea inawekeza sasa hivi kwenye viungo akina jo na kante hawatakuwepo misimu mwili hivi ijayo
Casadei ni kiungo mzuri na Carney Chukwuemeka ni viungo wazuri wanaandaliwa 2-3 yrs to come wawe parmanent repalcemnet ya akina Kante,ukiwasubiri wakue watauzwa mil 200
Ndg yangu Chelsea ni timu kubwa mno. Hawa watoto wamesajiliwa Kwa ajili ya long term plan. Wakiweza kuleta immediate impact kama alivyoonyesha Mason Mount tangu miaka mitatu iliyopita atapewa nafasi ya kidumu. Akishindwa atabakia development team au atatolewa mkopo au kuuzwa au kuwa free agent. Football sio tu burudani ni biashara ya kununua na kuuza.Wewe Nani kakuambia hawatapewa nafasi?wamesajiliwa kwanini
Hii nafasi tunachangamoto nayo nadhani wamefanya jambo zuri sana no 8 tunaowengi kovacic,Conor Gallagher, Rlc watatusaidia kupunguza gape la kanteHuyu ni DM
Dogo yupo vizuri Sana anacheza DMlembu
Kuna madogo naona mnawasajiri ,Kuna huyu kutoka intermilan ,mnawachukua kwa Bei kubwa
Hata chukwuemeka mmemchukua Bei kubwa ,
Kuna Nini nyuma ya hizi sajiri ikiwa hamuwapi nafasi first eleven?
Vipi huyo dogo Ni mzuri?
Mkuu mbona unatukanaHii timu ndyo ichukue epl kazi kujaza matako tu cheltako chelwowowo