Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,076
- 3,418
Harvetz juzi alichezeshwa sehemu siyo kama ambavyo amekuwa akitumika. Hata yeye mwenyewe hajui anacheza namba ngapi.Ndio maana nikasema analaumiwa kwa sababu hajacheza position yake halisi. Hata ivyo lembu nadhani umenielewa vibaya hakuna mshabiki niliyemtukana. Nilichomaanisha ni sisi washabiki tuna ukigeugeu wa kuzidi. Hatuna misimamo ya kueleweka
Hapati number na ukizingatia mwaka huu kuna kombe la duniaSasa mbona hili li tim kila mchezaji anataka kulikimbia? [emoji1]View attachment 2317585
Hawa watamjua conte ni nani jumapili[emoji23][emoji23][emoji23]Nyie chelisii MNA spurs daadek..
Mnaanza hivi hivi baadae mnakimbia uziHawa watamjua conte ni nani jumapili[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio wewe, Kuna huyo aliyezaliwa juziNdio maana nikasema analaumiwa kwa sababu hajacheza position yake halisi. Hata ivyo lembu nadhani umenielewa vibaya hakuna mshabiki niliyemtukana. Nilichomaanisha ni sisi washabiki tuna ukigeugeu wa kuzidi. Hatuna misimamo ya kueleweka
Na hiyo ndio Kinga yake, huwezi mweka chungu moja na Werner au LukakuUyu Kai ndio kwanza ana miaka 22 arafu unajisaulisha kama Kai ndio kafunga goal muhimu fainal ya champion league mudah mwingine kaa kimya sio lazima uwongee
Mara zote tunapojaribu kubadilisha mfumo matokeo huwa si mazuri,[emoji117] Wanasema wachezaji ndio wanatengemeza mfumo wa uchezaji, ila sidhani kama wachezaji ndio wanatengeneza style ya uchezaji ndani ya mfumo husika.
[emoji117] Hivi kweli wadau ina maana wachezaji tulionao ni wa kucheza pass fupi fupi hawawezi kupiga pass ndefu mbele au kucheza counter attacks?
[emoji117] Kweli wachezaji tulionao hawawezi ku-unlock timu pinzani ikiwa imepaki basi?
[emoji117] Changamoto hapa ni:-
1. Mfumo mgumu?
2. Style ya uchezaji ngumu?
2. Wachezaji hawana uwezo?
[emoji117] Kama majibu ni mfumo mgumu/style ya uchezaji ni ngumu kwanini TT abadilishe mfumo au style?
[emoji117] Twende tujaribu 433, 4-4-2 au 4-2-31. Binafsi naona kama mfumo wa 3-4-3 unatufunga wenyewe.
A) 4- 3- 3
Sterling ---- Kai ----- Ziyech
Gallagher --- Kante --- Mount
Cucu -- Koulibaly ---- Silva---James
B) 4-4-2
--------------Sterling------ Kai ------------
Cucu ---- Kante --- Kovacic --- Mount
Chil ---- Koulibaly ---- Silva ------James
C) 4-2-3-1
----------------------- Broja ---------------------
----Sterling--------- Kai -------------Mount
---------------- Kante --- Kovacic -----------
Cucu ---- Koulibaly --- Silva ---James
Muachage ufitini basi, Odoi kashauriwa aende mkopo akajiimarishe maana kwenye uundwaji wa timu anaweza akaozea benchi. Na ataenda Lecester City kwenye swap deal au DotmundSasa mbona hili li tim kila mchezaji anataka kulikimbia? [emoji1]View attachment 2317585
Uyu Kai ndio kwanza ana miaka 22 arafu unajisaulisha kama Kai ndio kafunga goal muhimu fainal ya champion league mudah mwingine kaa kimya sio lazima uwongee
Sasa mbona hili li tim kila mchezaji anataka kulikimbia? [emoji1]View attachment 2317585
Hawa watamjua conte ni nani jumapili[emoji23][emoji23][emoji23]
Mashabiki wa Man U hao. Wanataka tufungwe ili wajiliwaze. Kila mtu apambane na hali yake.Mnaanza hivi hivi baadae mnakimbia uzi
Backline ya 4 maana yake unapunguza mabeki nyuma ili utumie winga kule mbele na kuongeza mchezaji mmoja[emoji117] Wanasema wachezaji ndio wanatengemeza mfumo wa uchezaji, ila sidhani kama wachezaji ndio wanatengeneza style ya uchezaji ndani ya mfumo husika.
[emoji117] Hivi kweli wadau ina maana wachezaji tulionao ni wa kucheza pass fupi fupi hawawezi kupiga pass ndefu mbele au kucheza counter attacks?
[emoji117] Kweli wachezaji tulionao hawawezi ku-unlock timu pinzani ikiwa imepaki basi?
[emoji117] Changamoto hapa ni:-
1. Mfumo mgumu?
2. Style ya uchezaji ngumu?
2. Wachezaji hawana uwezo?
[emoji117] Kama majibu ni mfumo mgumu/style ya uchezaji ni ngumu kwanini TT abadilishe mfumo au style?
[emoji117] Twende tujaribu 433, 4-4-2 au 4-2-31. Binafsi naona kama mfumo wa 3-4-3 unatufunga wenyewe.
A) 4- 3- 3
Sterling ---- Kai ----- Ziyech
Gallagher --- Kante --- Mount
Cucu -- Koulibaly ---- Silva---James
B) 4-4-2
--------------Sterling------ Kai ------------
Cucu ---- Kante --- Kovacic --- Mount
Chil ---- Koulibaly ---- Silva ------James
C) 4-2-3-1
----------------------- Broja ---------------------
----Sterling--------- Kai -------------Mount
---------------- Kante --- Kovacic -----------
Cucu ---- Koulibaly --- Silva ---James
Kwenye 433 atawabeba wawili bora hii ya kumbeba mmojaSawa tutaendelea kucheza back 3 ili Kante aendelee kumbeba Jorginho mgongoni...
Sasa ninyi mlio like hapa ina maana mnapenda matusi sio, hatuwezi pingana kwa hoja bila kukashifiana au kutukanana???. Kila mmoja akipinga jambo na kuachia tusi hili jukwaa litakuwa rafikiMunakera mkuu ..limtu linakazania havertz auzwe ..halafu awekwe Nani Sasa? Havertz false nine anakipiga fresh tu mbona.? Hata werner siyo wa kutolewa labda atake yeye mwenyewe kuondoka. Ligi Ni long run kikosi lazimaa kiwe kipana.
Conor na Mount wanafaa wakicheza advanced position kama winga au CAMAtawabeba wawili kivipi?
STERLING --- BROJA ---- ZIYECH
MOUNT ----- KANTE ---- GALL/KOVA
CUCU -- KOLABALY -- SILVA -- JAMES