juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Wivu, Chelsea tunahitaji only 2 or 3 players. Hasa hasa 2Hatuna timu msimu huu
Aiseee huyu jamaa ni mtu na nusu.Cucurella naona akimreplace chillwel kiulaini kabisa kwa dakika alizocheza
Chilwell bado anatakiwa aingie sub. Tatizo naona muda mrefu cucu akicheza CB unless kama tutamleta Fofana
Cucu hana uwezo wa kuchukua nafasi ya chilwell...chilwell anaweza kukaba na kupandisha timu.. kwa sasa chelsea inamtegemea sana james na chilwel kupandisha mashambulizi..Chilwell bado anatakiwa aingie sub. Tatizo naona muda mrefu cucu akicheza CB unless kama tutamleta Fofana
Hiko kitu hakipo kabsa... Chilwell bana ni msaada tosha kwa chelsea...Cucurella naona akimreplace chillwel kiulaini kabisa kwa dakika alizocheza
Unamtaka nani wewe ambaye yuko kweny Rada ya Kocha tofauti na huyo Fofana?Fofana wa nini wewe.!!? Mbona umeng'ang'ana na hilo takataka
Umeangalia mpira leo?Cucu hana uwezo wa kuchukua nafasi ya chilwell...chilwell anaweza kukaba na kupandisha timu.. kwa sasa chelsea inamtegemea sana james na chilwel kupandisha mashambulizi..
Cucu yeye uwezo wake ni kukaba tu.. lakin kupandisha mashambulizi sio mzuri
Cucu hana uwezo wa kuchukua nafasi ya chilwell...chilwell anaweza kukaba na kupandisha timu.. kwa sasa chelsea inamtegemea sana james na chilwel kupandisha mashambulizi..
Cucu yeye uwezo wake ni kukaba tu.. lakin kupandisha mashambulizi sio mzuri
Unamtaka nani wewe ambaye yuko kweny Rada ya Kocha tofauti na huyo Fofana?
Siyo ututajie watu wako kutoka kichwani unaowapendekeza ukiwa hapo Buza
We jamaa jicho la mpira ndio huna kabisa, hata nguvu ya kukuelimisha sinaCucu hana uwezo wa kuchukua nafasi ya chilwell...chilwell anaweza kukaba na kupandisha timu.. kwa sasa chelsea inamtegemea sana james na chilwel kupandisha mashambulizi..
Cucu yeye uwezo wake ni kukaba tu.. lakin kupandisha mashambulizi sio mzuri
Ongeza sauti mkuuHuna akili, kenge wewe.
Happy birthday to you!Ozaa ozaa Leo tushinde ili nisherekee bday yangu vizuri mazee ..inatakiwa tuwale Hawa Everton magoli ya kushato yaani hakuna kumuangalia nyani usoni.