Leo saa nne uskiku ndio ligi inaanza Selhurst Stadium Arsenyeto wakishughulikiwa na wenzao wa LondonMajukumu ya ufungaji anakabidhiwa Broja au Kai? Kesho ligi inaanza, lawama kwa wachezaji, kocha, board na wamiliki wanaanza rasmi kupokea lawama.
Muda wa mashabiki kutoa ushahuri na dukuduku zao zimeisha hivyo wanasubiri Kama zimefanyiwa kazi au laah...
Uongozi wafanye jitihada kumpata kiungo fundi mmoja tu kwa ajili ya kusambaza mipira mbele...Kama De Jong hapatikani basi Conor apewe mbinu ili afanye hiyo kazi.
Jezi namba 2 Haina mtuninahisi Cucurella anaweza kuvaa jezi ya no 3 kama Alonso atasepa au namba 25.
Sure 25 ilistaafishwaAlonso akiondoka anaweza kuchukua lakini kwa sasa anaweza kuvaa 2. Namba 25 ni legendary....lazima mtu apige simu kwa Zola aiombe [emoji851]
Kumbuka kila mchezaji ana madhaifu yake. huwa tunapima liabilities na Assets, asset ikiwa kubwa kuliko liabbilities huyo mchezaji anafaa. After all madhaifu yanaenda yakipotea. Kwa umri wake huo naamini ataifaa sana Chelsea kuliko tunavyofikiri. Mbaya tu tunamwaga pesa nyingi mnoParagraph ya mwisho ndio sababu inayofanya nimkatae Huyo mchezaji
Soma maoni yangu huko nyuma nilishaelezea kama mara mbili, unaweza pia tembelea Youtube andika Fofana welcome to Chelsea angalia video na soma maoni ya watu kwa uangalifu utaona anavyosemwa negatively na positively. Mimi niliposoma wengi wanalaani pesa nyingi Chelsea anazotoaHuyu Fofana ana nini cha ziada?
It was a waste of money for the shit guyzVip kuhusu Jack Grealish anaendana na thamani ya paunds 100m mliomnunua?
De Jong hawezi kuja Old Transford na akija ni kwa sababu sisi hatukumtaka kumsajili, periodNikiwa napita pita humu kuchora nini chelshit mnawaza nimegungua mna mawazo mgando sana na sio watu wakupekua habari.
Yani mmetuliza kende zenu hapo darajani mkiwa mna mawazo kabisa eti de jong anakuja darajani[emoji16][emoji16]nimebaki kuwaonea huruma tu maana amjui lolote kuhusu swala la De jong.
Naona kuna takataka zinasema eti de jong apendi kwenda manyumbu sababu imepoteza mvuto aipo na uefa nimecheka sana[emoji16][emoji16]
Sijui ni wasanue sijui nikae kimya tu kuhusu swala la de jong mbaki mnajazana mafi tu kwenye ubongo[emoji16][emoji16][emoji16]
Hayo makombe man shit hawajawahi yagusa which make them kuwa klabu ndogo ya uchochoroni. Yaani Hawa a tofauti na makoloHayo si makombe ya mwaka juzi au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weww mbwa Kama team lako halina consistency hata mchukue kombe la dunian na mbinguni mtabaki mafala tu ...Hayo makombe man shit hawajawahi yagusa which make them kuwa klabu ndogo ya uchochoroni. Yaani Hawa a tofauti na makolo
We jamaa huwa unanichekesha sana japo tim lako bovu huwa unamatumaini makubwa sana[emoji23][emoji23][emoji23] na wala huchokiNikiwa napita pita humu kuchora nini chelshit mnawaza nimegungua mna mawazo mgando sana na sio watu wakupekua habari.
Yani mmetuliza kende zenu hapo darajani mkiwa mna mawazo kabisa eti de jong anakuja darajani[emoji16][emoji16]nimebaki kuwaonea huruma tu maana amjui lolote kuhusu swala la De jong.
Naona kuna takataka zinasema eti de jong apendi kwenda manyumbu sababu imepoteza mvuto aipo na uefa nimecheka sana[emoji16][emoji16]
Sijui ni wasanue sijui nikae kimya tu kuhusu swala la de jong mbaki mnajazana mafi tu kwenye ubongo[emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe unajitiaga mchambuzi kumbe amna kitu fatilia sakata la de jong kwanza hafu ndo ujue kwanini anaongea ivyo sio kusema mafi mafi tu hapa.De Jong hawezi kuja Old Transford na akija ni kwa sababu sisi hatukumtaka kumsajili, period
Na ameshweka wazi akilazimishwa kutoka Camp Nou angependa kwenda kuchezea timu inayocheza UCL na alipoint Chelsea na Bayern Munich
Hilo litimu la Dunia limejifia huko wachezaji wazuri hawataki kuja hapo
Man Utd face Frenkie de Jong 'nightmare' as 'someone at the top' spilled transfer info
MANCHESTER UNITED are looking to bring Frenkie de Jong to Old Trafford.www.express.co.uk
De Jong hataki united Kwa Nini usikii wewe.Wewe unajitiaga mchambuzi kumbe amna kitu fatilia sakata la de jong kwanza hafu ndo ujue kwanini anaongea ivyo sio kusema mafi mafi tu hapa.
Imeshaanza huko Arsenyeto wanaongoza ligi kwa points 3Oyaaa ligi ianze maaara moja tuanze kula vichwa vya watu.
Wewe inakuuma sana ndio upo humu kwenye klabu ya wanaume.Weww mbwa Kama team lako halina consistency hata mchukue kombe la dunian na mbinguni mtabaki mafala tu ...
Man city itaendelea kuwatesa hata Kama haina CL ,sijui super cup CWC ,hata sijui Europa.....
Football is all about consistency sawa kenge maji wewe ....
Kwanza msimu umeisha Huna hata kombe ,harafu unabishana na champion of England,kalale mbweha njano wewe .....
NakaziaPerformance ya one season ndio inawapa confidence na kuamini anahitajikan kwa bei hio ? , Cucurella ni mchezaji mzuri ila kwa hio bei hapana .....!!
Acha tuone mwisho inakuaje maana lazima de jong aondoke tu pale Barcelona maana sheria za la liga zinawataka watoe wachezaji maana wamesajili sana.De Jong hataki united Kwa Nini usikii wewe.
De jong kasema ataondoka tu pale atapopokea offer ya ChelseaAcha tuone mwisho inakuaje maana lazima de jong aondoke tu pale Barcelona maana sheria za la liga zinawataka watoe wachezaji maana wamesajili sana.