Ndg timu ambayo wachezaji hawatoki wala hawaingia, kuna siku watakuwa wanacheza business as usual. Kupangua timu na kuingiza sura mpya ni one of the best strategy ya kucheza vizuri hata kama wanaoondolewa ni wazuri.Ukweli ni kwamba tupo kwenye kundi la kushindania ubingwa la EPL... Timu yoyote ukipata majeruhi Kama tulivyopata msimu uliopita lazima watumbe tu.
Hivi pale Madrid Kuna wachezaji gani wa maana ukilinganisha na Chelsea? Still walichukua makombe...ni muda wa kocha kutumia rasilimali zilizopo na kushinda makombe, tumeingia fainali mbili msimu uliopita na tukatolewa kwenye penalty na tukafika hatua nzuri zaidi UCL msimu uliopita.
Tuseme ukweli, Chelsea bado ni timu yenye kikosi kizuri miongoni kwa timu barani ulaya, hizo timu za Liverpool na Man City wakipata majeruhi kwa key players wanne Kama tulivyopata msimu uliopita mtashangaa sana.
Tunaposema tufanye usajili, je wachezaji wa maana wanaowazidi tulionao wako wapi sokoni? au tunawaleta wachezaji ili wazoee ligi kwa misimu miwili then tunaowatoa nao wanakwenda kufanya vizuri huko waendako?
Tukubali tu, kama Chelsea wanataka kufanya vizuri inabidi kumpatia Kocha muda wa kutosha lakini siyo kununua tu wachezaji kisa timu zingine wananunua.
Chelsea ndiyo timu Ulaya wanaopeleka wachezaji wengi kwa mkopo, je tumeshajiuliza ni kwanini?
TT kuna wakati mie nahis kma wa michongo hivSio tu billy pekee kuna huyu Lewis Hall ndio ananiuma Sana sijajua huyu dogo ni raia wa nchi ni fundi Sana technically gifted anajua kupiga pass, yupo vizuri kwenye ukabaji na anauwezo wakucheza nafasi tofauti kama CAM na Wing back na Left back lakini chakushangaa hakuna hata mechi Moja ya preseason aliyopewa TT sijui anashida na hawa makinda hivi huyu dogo akampata mtu kama klopp au Guardiola tutaanza kulia lia
Uko sahihi kabisa nahis nae TT Anachangiwa nahis mie natamani nae aondoke maana kuna wakati vigumu sana kumuelewaDevelopment squad siyo ya watoto, ni squad ambayo wachezaji wanaotarajiwa kuingizwa kwenye fisrt team wanapitia kutokea academy hadi vijana wa 23 yrs wako pale pia wachezaji wanaotokea majeruhi kama bado hawapo fit kocha anaweza kuwapeleka huko ili wainue fitness yao kwanza. Swali je Gilmour hakuwa na fitness ya kutosha hadi apelekwe huko? au ni ile sababu aliyosema TT kuwa alitaka squad ndogo ili quality ionekane ya mazoezi hata hjivyo tukaishia kufungwa mfululizo
TT akiboa huwa naboa kweli kweli, inawezekana kabisa wachezaji wanaoogopa kuja Chelsea hawana imani kwa TT jinsi anavyowatreat baadhi ya wachezaji. Mawazo yangu tu!
Kocha mzuri sema ndio hivyo hapendi kuamini vijana alafu anan'ga'gania mtu kama sarrTT kuna wakati mie nahis kma wa michongo hiv
Mbona tuliwapa nafasi mount, Abraham, James tumemuuza Tomori kwa kwa mtazamo kama wako angalia nini kaenda kufanya AC Milan? Sasa hivi tunashida kubwa kwenye left back au left wing back ukimtoa Benchilwell akampa hiyo nafasi dogo lewis Hall mechi Moja dogo akachafua akawa man of the match baada ya hapo dogo hakupewa nafasi yoyote ile hii ndio point tunayozungumzia imekuaje kashindwa kumpa nafasi Tena alafu Cha ajabu anamganda sarrMkuu tim nzima haiwez jaa academy,
Angalia city or Liverpool wanaaacademy wangap kwenye vikosi vyao?
Kwa nafasi anayicheza wako watu gani? Kuna age unaweza kuwa unatumika upande wa academy ikitokea game za carabao or fa against tim ndogo kama za league 1 huenda akacheza ila kupewa nafasi tusidanganyane hapa .
Hata me binafsi najiuliza sterling ni mtu na nusuHadi Leo na kesho sinui Kwa Nini Pep alomuachia Sterling aondoke?
Hao wengi walipewa Kwa sababu hakuwa na alternative. Timu ilikuwa kwenye ban. Kuwapa academy wengi nafasi Kila msimu ni kuamua kujitoa kabisa kwenye makombe kama Arsenal. Wenga aliwapa academy nafasi wakasahau kama Kuna kushindania makombe. Tuwape nafasi mmoja au wawili Tena wanaoonyesha kustahiliMbona tuliwapa nafasi mount, Abraham, James tumemuuza Tomori kwa kwa mtazamo kama wako angalia nini kaenda kufanya AC Milan? Sasa hivi tunashida kubwa kwenye left back au left wing back ukimtoa Benchilwell akampa hiyo nafasi dogo lewis Hall mechi Moja dogo akachafua akawa man of the match baada ya hapo dogo hakupewa nafasi yoyote ile hii ndio point tunayozungumzia imekuaje kashindwa kumpa nafasi Tena alafu Cha ajabu anamganda sarr
Uchafu wenzako wana NUNEZ WWE UNA HIZO TAKA TAKA ZAKOBROJA, HARVETZ, BATSHUAYI [emoji123]
[emoji1666][emoji1666]Halafu we jamaa mawazo yetu asilimia 90 kuwa yanafanana, tunaweza tukawa mapacha wa mawazo [emoji1787]
[emoji1666][emoji1666]Halafu we jamaa mawazo yetu asilimia 90 kuwa yanafanana, tunaweza tukawa mapacha wa mawazo [emoji1787]
Timing ya Marina ndio alipofail kwenye uuzaj wa wachezaj huku akishindwa ongeza mkataba rudiger n christensenMbona tuliwapa nafasi mount, Abraham, James tumemuuza Tomori kwa kwa mtazamo kama wako angalia nini kaenda kufanya AC Milan? Sasa hivi tunashida kubwa kwenye left back au left wing back ukimtoa Benchilwell akampa hiyo nafasi dogo lewis Hall mechi Moja dogo akachafua akawa man of the match baada ya hapo dogo hakupewa nafasi yoyote ile hii ndio point tunayozungumzia imekuaje kashindwa kumpa nafasi Tena alafu Cha ajabu anamganda sarr
Bora tupunguze madeadwood kwanza, hawa ni watumishi hewaTaarifa za wacheza kudakwa au kuondoka ni nyingi kuliko za wachezaji kusajiliwa
Toa batshuay hapoBROJA, HARVETZ, BATSHUAYI [emoji123]
Hata Everton wanmtaka yeye na Barkley kwa mkopoToa batshuay hapo
Kwanza naskia anaondoka huenda wiki ijayo akasepa if taarifa nilizoziona ni za kweli.
Kuna tim 2 za premier league zinamtaka mojawapo ni Brighton