juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Well said bro. Nilijua ubaya wa pressure Torres alipotoka Liverpool kuja Chelsea. Pamoja na expectations za mashabiki kuwa juu, lakini media za ulaya ni mbaya sana kwa team kama Chelsea. So negative.Japo Abrahama ni strike mzuri lakini AS Roma anafit kwa sababu kule hakun a presure, huku Chelsea kinachofanya wachezaji wengi washindwe ni presure , too much expectation from fans, team, board, coach etc
Mimi nilianza kuishabikia Chelsea tangu 1994 wakati huo kocha akiwa Glen Hoddle. 1994/95 ulikuwa tulimaliza ligi sijui nafasi ya 11 au 12. Champion Blackburn Rovers. Zilikuwepo team machachari akina Middlesbrough, Wimbledon, NottinghamForest. Akina Arsenal afadhali hata sisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila wewe jamaa mpaka sasa sijakuelewa, uko na sisi chama moja au unatupiga mishale mgongoni?
Mechi ni lini?Kikosi cha wachezaj 28 kimewasil leo udin kwa ajil ya mchezo dhid ya udinesse, utakaopigwa saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki
Kikosi kamilo
GK : Mendy, Kepa, Betinelli
Def : Silva, Koulibaly, Sarr, Chalobah, James, Chilwell, Emerson, Alonso, Ampadu, Kenedy, Azpi.
Mid : Kante, RLC, Kovacic, Jorginho, Gilmour, Gallagher.
ATT : Havertz, Broja, CHO, Vale, Ziyech, Puli, Mount, Sterling.
Wachezaj walioachwa
Barkley n batshuay (wamebaki cobham)
Majeruhi
Werner n Colwill
Leo saa nne usiku saa za huku kwetuMechi ni lini?
Tupo pamoja. Ni mtazamo tu na mawazo yangu kwamba aliyekuja kuiharibu Chelsea, pamoja na mafanikio yake makubwa, ni Mourinho. Yeye kama mchezaji alimchukulia kama nguo, basi yeye hakuwa tayari anunue kitambaa kiende kwa fundi apimwe halafu ashonewe. Yeye alipenda kununua ready made garment. Hakuweza kusubiri fundi (yeye mwenyewe) ashone ainyooshe nguo avae. Angalia bei za wachezaji aliowanunua. Ni juu mno ikawa kama sasa ni SI Unit ya Ulaya.Safi sana chief. Uko vizuri kiushabiki.
Karibu sana kwenye jukwaa la mabingwa wa dunia.
Mawazo na ushauri wako ni vya muhimu sana.
Shukrani mkuu vip wataonesha kwenye app ya ChelseaLeo saa nne usiku saa za huku kwetu
Yes. Because in EPL there are only 2 Big clubs by that logic. One of them is the EPL champion and was beaten multiple times by this small club. This small club will be representing EPL in UCL with fellow small teams!Chelsea is simply a small club thus why every player is refusing to join the club.
Lampard kuna watu walimponda sana nikasema, ni kocha mzuri aliyekosa uzoefu na akiwa na mapungufu kadhaa. Ila hakuwa mbaya kama wengi walivyomponda humu ndani!Hiyo sababu uliyotoa is OK plus na hiyo sababu aliyoitoa Kounde, spesifically TT kazidiwa na Xavi kwenye kushawishi wachezaji, this is a very big gap ambayo tunayo sasa hivi. Kocha hata kama ni mzuri kwenye kumanage team sio mzuri sana kwenye kushawishi wachezaji kuja chelsea ukimlinganisha na Xavi au hata Lampard alivyokuwa Chelsea
Ila inakula mb ile mbayaWamesema Chelsea app/com
Kwan mechi inachezwa muda gani?Hivi hawa Azip na Alonso wanavyopangwa ni uhakika watabaki THE BLUES?
Hizi taarifa kwa nini hamuweki chanzo chake? Yan unakuta vimaneno maneno tuLakini Chelsea kama kuna ushirikina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2308069
Wewe mkongwe , shikamoo aiseeMimi nilianza kuishabikia Chelsea tangu 1994 wakati huo kocha akiwa Glen Hoddle. 1994/95 ulikuwa tulimaliza ligi sijui nafasi ya 11 au 12. Champion Blackburn Rovers. Zilikuwepo team machachari akina Middlesbrough, Wimbledon, NottinghamForest. Akina Arsenal afadhali hata sisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha bangiOyaa ..Chelsea huu msimu wetu ..Makombe Yetu, maushindi Yetu kila kitu Chetu.
#CFC💙💙💙Oyaa ..Chelsea huu msimu wetu ..Makombe Yetu, maushindi Yetu kila kitu Chetu.
KINDLY BE NOTIFIED THAT RAHEEM STERLING HAS SCORED FOR CHLESEAChelsea anaongoza kwa mbili huko udinese
Umaliziaji kule mbele bado ni tatizo kubwaChelsea anaongoza kwa mbili huko udinese