Watakau kua wameua hi team technically number one serikali ya uingereza number huo Marekani Boehel Bahili number 3. TT mfumo hauko flexible unafanya wachezaji wengine kuflop.......Rejected by Kounde
Rejected by Raphinha
Rejected by Lewy
Rejected by De Jong
Rejected by Militao
Rejected by Araujo
Rejected by De Ligt
Rejected by Dembele
Rejected by Gnabry
Rejected by Richarlison
Rejected by Ake
Rejected by Jesus
View attachment 2306036
Takataka ziko nying huwez vunja mikataba yao wote ,Kwanini wasiondolewe kikosini wakatafute timu?
Buyer akipatikana wanaondoka, shida kubwa iko kwenye mishahara , mishahara yao ni mikubwaNamna gani wataondoka (Kuuzwa, Mkopo au bure) ndio mazungumzo yenyewe
Case study 2015-16Mi naona pamoja na changamoto tulizonazo ningeshauri kikosi kiwe wamoja, waongee lugha moja, upendo na amani vitawale
Kuliko kuwa na matabaka mbalimbali, kukosa furaha, kususa n.k
Aisee itakuwa hatare kwenye ligi, top 10 tutaitafuta kwa tochi.
Ukiangalia mifumo ya TT tangu yuko Dortmund mpk PSG, unaona kabisa anafirce kutumia mfumo huu anaoutumia sasa coz ya wachezaj tulionao,Watakau kua wameua hi team technically number one serikali ya uingereza number huo Marekani Boehel Bahili number 3. TT mfumo hauko flexible unafanya wachezaji wengine kuflop.......
Nimecheka Sana🤣🤣🤣huu utani wa ngumi kabisa
Tambeni sasa ngoja ligi ianze kama kawaida yenu mtaanza malalamiko Mara Arteta mara BossNimecheka Sana🤣🤣🤣huu utani wa ngumi kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kenge za darajani zishaanza kusikia baada ya kuanza kutokwa na damu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
THE BLUES kazi tunayo msimu ujao.
Tusajili striker gani? Sema Boss.Yaani tumtegemee huyu Mhindi kama striker?!! Seriously!! Sa si bora Lukaku asingeondoka.
KWANI YEYE NI ROBOT?Hiki kikocha kinapenda mapenzi View attachment 2306913
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Unazuia tusicheke?Tambeni sasa ngoja ligi ianze kama kawaida yenu mtaanza malalamiko Mara Arteta mara Boss
Akwende zakeIt is believed that Jules Kounde was upset at #Chelsea’s interest going cold this summer — and pursuing other defensive targets such as Matthijs de Ligt and Nathan Ake sent a message that he was not a top priority.
(@TheAthletic)
Hiv hizi pic mnazipatia wapi kwenye account ya insta au?Hiki kikocha kinapenda mapenzi View attachment 2306913
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Hawawez kuwa sawa lazima mmoja amzid mwenzie sababu y idadi y mechi walizocheza, unafikiri Lukaku angekua southampton angefunga goli chache km huyo muhindi, refer Everton na inter.Mbona Mhindi alimzidi MCongoman (Lukaku) kwa magoli msimu ulioisha?
Weken mahaba pembeni, mi Lukaku alikua ananikera, na pia nilishamkataa humu tokea anataka kusajiliwa kutoka inter ila nilishambuliwa kw maneno. ila ni kumkosea heshima kumfananisha Lukaku na huyu muhindi bhana.Huyu ni bora kuliko Lukaku.