Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hakuna mazungumzo zaidi ya wao kuondoka
Ni gharama na hatari sana kukaa na mchezaji ambaye hajaridhika na ndio maana mchezaji akishaonyesha dalidali za kutokuwa happy klabuni ni afadhali apigwe mnada ila aletwe replacement mwenye furaha na mapenzi mema kwa timu
 
Sawa wanaondoka tunaleta wakina Nani usajili wenyewe wakonokono Hili ujiulizi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…