Nyie Arse88 ndio mmeshakua mafootball specialist, kw hiyo kushinda kwnye mechi za majaribio ndio mnajiona mmeshabeba ubingwa. Ligi ikianza ndio mtajua kama hizo combination zitafaa au hazifai.Niliongea humu mkanikebehi ,ila bila a proper CF mtatafutana humu
Combination za
Sterling Kai Mount
Sterling batshyuai Ziyech
Sterling broja Ziyech
Sterling Kai Ziyech
Hizzi combination Ngumu kutoboa
Sterling anahitaji chance after chance ili afunge ,lasivyo mtatafutana humu
Kwasasa Kuna uhaba wa CF , man u sio wajinga kumzuia cr7 asiondoke
Tuchel amemkataa cr7 ,unajiuliza anawaza nn
You nailed the truth👍Hahahaha[emoji1787]
[emoji117] Binafsi kitendo cha tajiri kuingia sokoni kwenye usajili nilishangaa.
[emoji117] Tasnia ya Mpira ni kama familia moja.
[emoji117] Msimu mzima wakurugenzi wa vilabu, mawakala, wachezaji, scounting team na makocha wanakuwa kwenye mawasiliano kuhusu mambo ya sajili.
[emoji117] Dirisha linapofunguliwa ni kukamilisha deals mbali mbali.
[emoji117] Naimani hata Marina na Peter cech kabla ya vita ya ukraine, walikuwa wamesha- identify target zao sokoni na walikuwa wameshaanza kufanya mazungumzo mdogo mdogo na wadau mbali mbali.
Upo sahihi nduguNiliongea humu mkanikebehi ,ila bila a proper CF mtatafutana humu
Combination za
Sterling Kai Mount
Sterling batshyuai Ziyech
Sterling broja Ziyech
Sterling Kai Ziyech
Hizzi combination Ngumu kutoboa
Sterling anahitaji chance after chance ili afunge ,lasivyo mtatafutana humu
Kwasasa Kuna uhaba wa CF , man u sio wajinga kumzuia cr7 asiondoke
Tuchel amemkataa cr7 ,unajiuliza anawaza nn
Udhaifu ulioko kwenye hizi line upsMsimu ujao lineup yetu ya uhakika
Timu A katika 3-4-3
--Mount ------- Batshuayi -------- Sterling---
Chilwell-----Kovacic ------ Kante ------James
------Colwill -------Silva ------- Koulibaly-----
------------------ Mendy------------------
Timu B katika 3-4-3
-----Pulisic ------- Broja-------- Ziyech-----
Emerson -----Jogninho ------ Conor ------Azpilicueta
------Sarr-------Koulibaly ------- Chalobah-----
------------------ Kepa------------------
Timu C katika 3-4-3
--Odoi ------- Havertz-------- Werner
Alonso -----Barkley ------Gilmour------RLC
------Babarahma -------Ampadu ------- Miazga-----
------------------ Marcus------------------
Conte ana roho Ngumu yule ,pale spursy Kuna Ndombele, regulon , na wengine Kama watatu hivi, hata preseason kawakataa kwenda nao ,kawachana watafute timu , kifupi hawatakiTofauti ya Conte na TT!
TT naona analalamika tu
Conte yeye aliwavurumisha matakataka na naona wakati wa Conte ndio matakataka mengi yalipelekwa kwenye mkopo
Conte yeye kama mchezaji hafai anamkataa na mkimlazimisha anaondoka
Saa nyingine kocha unatakiwa uwe na misimamo katili juu ya wachezaji wanaofaa kwenye mfumo wako sio kulalamika kwenye media. Waambie hao waajiri simtaki huyu, simtaki yule end of story
Nimesikia ety Kounde ni mzito kama LukakwinyoUmesikia sababu iliyotolewa? Eti TT amesema eti Kounde ni mfupi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
TETESI ZA LEO: Chelsea wamemgeukia beki wa Villareal, Pau Torres baada ya kukata tamaa na usahjili wa Kounde
Una wiki ngapi toka uanze kuwa shabiki wa hii timu dogo?View attachment 2304296Nyie Arse88 ndio mmeshakua mafootball specialist, kw hiyo kushinda kwnye mechi za majaribio ndio mnajiona mmeshabeba ubingwa. Ligi ikianza ndio mtajua kama hizo combination zitafaa au hazifai.
Bado sanaChelsea tumefunga usajili
Hapa itabidi turudi kabla dirisha halijafungwa, Todd aache kula Bata kule Florida arudi kazini. Mbona alisema ataendelea kumtumia Marina hadi dirisha lifungwe ndio aondoke?