Upo sahihi, pale city tu bado alikuwa anakosakosa Sana, sema City wana create chances nyingi SanaSterling hawezi kufunga Kama timu haitengenezi nafasi ,na Chelsea sio timu ya kucreate chance after chance Tena ziwe big chance za one vs one na goalkeeper [emoji23][emoji23][emoji23]
Ninyi mkifungwa huwa mnaliaje?Jamani kumbe usiku tumecheza mechi na Aser8 na tumekula kipigo aisee 4 bila.
Poleni kwetu.
Naona hii ishu ya Kounde inataka kuwa kama ishu ya mbape vs PSG na Real Madrid.Mwenye ofa kubwa ndie atakae mchukua Kounde ndio Sevilla wanachotaka kufanya sasa.
View attachment 2301247
Hao uliowapendekeza wabaki ongeza na kante na jorginhoUSHAURI WANGU BINAFSI
[emoji117] Kama kweli tunataka kubeba ubingwa EPL basi kikosi cha kwanza, wanatakiwa wabaki wachezaji hawa:-
1. James
2. Chilwell
3. Kovacic
4. Sterling
5. Mount
6. Silva
7. Koulibaly
8. Mendy
[emoji117] Halafu dirisha hili au yajayo ya usajili tuongeze:-
1. Centre Back - 2
2 . Defensive midfielder - 1
3. Central Attacking midfielder (Creative)
4. Right winger - 1
5. Striker - 1
6. Left wing back -1 (SUB)
7. Right wing back - 1 (SUB)
SUB:- Broja, Chalobah, Gallagher, Keppa.
[emoji117] Kama kweli matajiri wapya wana nia ya dhati kubeba EPL hapo baadae, basi waondoe watumishi hewa (wachezaji ambao wamechoka, viwango vidogo/duni na ambao hawana DNA ya THE BLUES).
Hapo ongez ana KanteUSHAURI WANGU BINAFSI

Hayo juzi nilisema watu wakasema hatuwezi kusajili 8 kwenye dirisha moja, hata kumi tatizo tu wako watu wasijua kandanda la ulaya hao akina Todd, k penye nia pana njia. Wachezaji nane tungeweza kama tungamua kutumia 200M plus pesa za kuuza takataka tulio naoUSHAURI WANGU BINAFSI
[emoji117] Kama kweli tunataka kubeba ubingwa EPL basi kikosi cha kwanza, wanatakiwa wabaki wachezaji hawa:-
1. James
2. Chilwell
3. Kovacic
4. Sterling
5. Mount
6. Silva
7. Koulibaly
8. Mendy
[emoji117] Halafu dirisha hili au yajayo ya usajili tuongeze:-
1. Centre Back - 2
2 . Defensive midfielder - 1
3. Central Attacking midfielder (Creative)
4. Right winger - 1
5. Striker - 1
6. Left wing back -1 (SUB)
7. Right wing back - 1 (SUB)
SUB:- Broja, Chalobah, Gallagher, Keppa.
[emoji117] Kama kweli matajiri wapya wana nia ya dhati kubeba EPL hapo baadae, basi waondoe watumishi hewa (wachezaji ambao wamechoka, viwango vidogo/duni na ambao hawana DNA ya THE BLUES).
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Leo mashabiki wa chelshit wanaomba Thomas Mchele atimuliwe.Huyu kocha ni wa kutimua
Jo takata ile tumpeleke wapi, we need viungo wanaoleta magoli, jo hawewzi kupeleka mipira mbele wala hawezi kukabaHao uliowapendekeza wabaki ongeza na kante na jorginho
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chelshit ikicheza mashabiki wake hua mnafanyaje?????Jamani kumbe usiku tumecheza mechi na Aser8 na tumekula kipigo aisee 4 bila.
Poleni kwetu.
Kante anaweza kutufaa kwenye mechi kubwa, sijawahi kumuona akituangusha kwenye mechi kubwa. Kwa hiyo Akimpata wa kumsaidia asichoke huyo bado ni asset kubwaMawazo yako yaheshimiwe.
Ila Kwangu hapana Kante amecheza mashindano yote ya vilabu na timu ya taifa, ametumika sana na amechoka thus why majeruhi yanamwandama na perfomance yake inaenda ikishuka.
Na sio mchezaji wa kumtegemea tena 1st eleven. Tukubali Kante zama zake zimekwisha kuendelea kuwa tegemezi.
Jognho binafsi naona kuna wachezaji wazuri sana zaidi yake kukaba, kuchezesha timu, wana nguvu, kasi + ubunifu zaidi, tuingie sokoni tuwasajili