Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hiki kitu ndicho anachofeli Tod, wazoefu wore wa hiz kazi hukuti wanaingia kichwa kichwa kila deal bila kupeleleza camp zote ya mchezaji na wakala na kwa timu husika

Marina aliwekwa pale na Roman sio kwa bahati mbaya ,

Huyu Toddy angekutana na Chelsea ile kipind imetoka kufungiwa na inahitaji isajiri , angepoteana sana

Angesubiri dirisha liishe awaruhusu kina marina waondoke

Watu wanawapaga had pesa za kutosha mawakala ,had deals zinakamilika
 
Tutamkumbuka sana Roman yeye alikuwa ana uwezo wa kuhijack deal lolote analotaka kipindi cha nyuma Mikel Obi,salah,Willian,Robben na Pedro ila now mambo yanarudi upande wetu
Willian walimsubiria nje, alipomaliza medical Spurs akaambiwa ingia ndani ya gari akashushwa Stamford Bridge. Akatangazwa amesajiliwa [emoji2297][emoji2297][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Man City wakatufanya hivyo kwa Robinho[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi nilishangaa mtu huna uzoefu unaingia kichwa kichwa unawafukuza wazoefu. Kwa jinsi Marina na Petr Cech walivyo ondoka lazima walitofautia kuhusu mbinu na mikakati ya kutumia kwenye kusajili. Ilikuwa haraka haraka mno
 
Transalated to English from Spanish
SI mean "YES"

 
Hichi ndicho alichokipost Kounde kwenye instgram yake leo akimaanisha ndoto zake zimetimia

 
Mimi nilishangaa mtu huna uzoefu unaingia kichwa kichwa unawafukuza wazoefu. Kwa jinsi Marina na Petr Cech walivyo ondoka lazima walitofautia kuhusu mbinu na mikakati ya kutumia kwenye kusajili. Ilikuwa haraka haraka mno

Wameondoka kwenda wapi?!
 
🚨 Chelsea are not happy about the current situation because they consider the deal as imminent by sending the paper works, but still to receive the green light from player side, Barcelona are pushing for the player.🇫🇷 #FCB

(via @FabrizioRomano🌕)
 
hawa barca hawa
 
Mkuu naweza kupata link kwa hii game ya leo?
 
Kuna game inaendelea usiku huu,?
Na tumeishafungwa na wale arse8,?!
Uwii..watasumbua kinoma.😠😠😠
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…