Nilisema mwanzoni hizi media zitatuumiza vichwa, Sevila wamekana hakuna deal lolote na BarcaNgoja tusubir tuone,
Sevilla wanataka bidding war tu hapa ili wapate hela nzuri
Oneni nyumbu inashangilia droo pre season.Nyie cheltako mmeona ball huko kama vile tulikuwa wabovu mlishindwa kutufunga saizi mjiandae tumetangaza vita na nyie.
Huyu Gerard Romero ni mwongo kabisa, na sasa hivi hana wafuasi kwenye news zakeMedia ndio zinatuchanganya, upande wa Barcelona wakija na uongo wanauremba kweli kweli
Wapinzani wa Barcelona wakija wanaturemba kweli kweli na kutupa false hopes kibao
Leo tena kun a media wamekuja wakidai Barca wanataka kufanya hijack ya mwisho
Media zingine zinadai Sevilar wanataka kupata cash haraka ili wafanye replacement ya Kounde kabla hawajachelewa
Kounde anadai kaenda kujiunga na wenzake baada ya kuona dili linacheleweshwa na yeye asingeweza kufanya mazoezi spani peke yake. Kaona "that is not professional"
Gerard Romero leo kadai dili tayari imebaki paper works ili Kounde ahamie Camp Nou
View attachment 2301016
Huyo jamaa ni mshabiki kindandaki wa BarcaHuyu Gerard Romero ni mwongo kabisa, na sas ahivi hana wafuasi kwenye news zake
Hata kama Barca watakuja kumsajili Kounde ila taarifa zake nyingi ni za uongo na za uchonganishi
Wanadai Barcelona wametumia usiku kucha wakijadiliana kuhusu mkataba wa Kounde na sasa kumbe ni uongo
Nilisema mwanzoni hizi media zitatuumiza vichwa, Sevila wamekana hakuna deal lolote na Barca na wamesema hakuna hata mawasiliano yaliyofanyika. Barca hawajatuma offer yao hata punje. Tuendelee na hii sinema episode 2
Sevilla describe reports that Barcelona have agreed a deal to sign Jules Kounde as 'totally false'.
Sevilla respond to claims Barcelona have 'agreed deal' for Chelsea target Jules Kounde
SEVILLA have issued a response to claims Barcelona will sign Jules Kounde.www.express.co.uk
Huku eti James akilipwa chini ya nusu ya mshahara wake
View attachment 2300906
Kounde inawezekana pia ana makasiriko kwasababu walimuacha wakawatafuta kwanza akina Koulibaly na Ake. Walipomkosa Ake ndio wakarudi kwake, sasa anawanyoosha. Ni kama unampotezea demu kwasababu ya mwingine lakini ulipomkosa priority wako ukarudi kwa huyo mwingine. Hata kama anakuzimia lazima kwanza akutikise hata kwa kupita pita na mshkaji mwingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ndio TT atajua kuwa Kounde siyo njegere [emoji16][emoji16]Sio ofa kubwa itashinda, hapo ni mapenzi ya mchezaji yatashinda.
Mi nadhani sarakasi zote hizi, Kounde anaitaka Barcelona kuliko THE BLUES.
Barcelona wasipofikia ofa, Kounde anaweza kuamua kubaki Sevilla kumalizia miaka 2 iliyobaki kwenye mkataba wake.
Somo la Raphina & Leeds halijawaingia tuu?
Haya yote kayataka Tuchel mwenyewe Kounde ilitakiwa iwe ndo mchezaji wa kwanza kusajiriwa yeye akaenda kwenye option za wachezaji wengine Ake sijui De light matokeo yake tunakosa wote kwa uzembeMwenye ofa kubwa ndie atakae mchukua Kounde ndio Sevilla wanachotaka kufanya sasa.
View attachment 2301247
Kimpembe kasema anataka kubaki PsgWakati TODDY BOEHLY anaendelea na sarakasi za KOUNDE pia angemalizana na KIMPEMBE fasta
Gerald Romero kwa habari za Barcelona Ni mnyama ,Fabrizio mwenyewe anasandaHuyu Gerard Romero ni mwongo kabisa, na sasa hivi hana wafuasi kwenye news zake
Hata kama Barca watakuja kumsajili Kounde ila taarifa zake nyingi ni za uongo na za uchonganishi
Wanadai Barcelona wametumia usiku kucha wakijadiliana kuhusu mkataba wa Kounde na sasa kumbe ni uongo
Nilisema mwanzoni hizi media zitatuumiza vichwa, Sevila wamekana hakuna deal lolote na Barca na wamesema hakuna hata mawasiliano yaliyofanyika. Barca hawajatuma offer yao hata punje. Tuendelee na hii sinema episode 2
Sevilla describe reports that Barcelona have agreed a deal to sign Jules Kounde as 'totally false'.
Sevilla respond to claims Barcelona have 'agreed deal' for Chelsea target Jules Kounde
SEVILLA have issued a response to claims Barcelona will sign Jules Kounde.www.express.co.uk
Msichojua anachokifanya Barca anawashika wachezaji Kwanza ,Kounde inawezekana pia ana makasiriko kwasababu walimuacha wakawatafuta kwanza akina Koulibaly na Ake. Walipomkosa Ake ndio wakarudi kwake, sasa anawanyoosha. Ni kama unampotezea demu kwasababu ya mwingine lakini ulipomkosa priority wako ukarudi kwa huyo mwingine. Hata kama anakuzimia lazima kwanza akutikise hata kwa kupita pita na mshkaji mwingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ndio TT atajua kuwa Kounde siyo njegere [emoji16][emoji16]
Gerard Romero hatanii kabisa[emoji599][emoji599]| Only final details remain for Jules Koundé to sign for FC Barcelona; it is just a matter of time.
[gerardromero] [[emoji2422]]
Kimpembe bado yupo sokon , PSG wanataka £50m ,nyie mliishia £40m ,mkamgeukia KoundeTumewakosa Kounde, Kimpembe, Delight & Ake, sasa tutamsajili nani tena jameni?
Msimu ujao kwenda na Malang Sarr litakuwa movie la mazombie
Ake ndio ilikuwa confirmed anabakiKimpembe amesema anataka kubaki PSG