Hiv ni kweli sio leo saa 8 na nusu usiku?Mechi dhidi ya Charlotte ni kesho saa nane na nusu mchana sio usiku kama walivyodokeza wengine
Hahaaaa jamaa bado ana hasira na Chelsea bila Shaka ,duhPamoja na kuwa offer ya kumnunua Jules Koun de imekubaliwa na Sevcilla bado kuna taarifa zimezagaa kuwa Barcelona bado wanamshawishi Kounde akatae offer ya Chelsea ili awasubiri kutoa offer yao
Sasa nasikia Chelsea wamempa ofa Kounde ya kumlipa mara mbili ya mshahara Barc elona wamemuahidi
Vita vya Barca na Chelsea zitaisha lini
Tukumbuke kuwa Xavi ndie alikuwa amebeba jezy namba 6 ya Barcelona tukiwatundika 3-2 nusu fainali za UEFA.
Sasa huyu Xavi naona bado anao uchungu wa wakati huo
View attachment 2298091
Website ya Chelsea wameweka hiiHiv ni kweli sio leo saa 8 na nusu usiku?
Nilimaanisha toka Tammy aondoke hatujawahi kuwa na mchezaji aliyefunga magoli 15+Sasa kina mount na james ni mastriker, halafu goli +15 kwenye ligi gani, mana hata huyo lukaku alikua italy huko anapga double figure si mchezo.
Kama namba tisa sokoni hakuna ni bora kucheza false9, au si bora wangemwacha tu bongoli, kuliko kumtegemea huyo dogo.
Halafu kucheza na namba 9 wakat kiungo mbunifu hakuna tutarud kulele kule kumtukana huyo dogo.
Wao walimuahidi mshahara wa mil 6 Kwa mwaka Chelsea mil 12Kesho barce wanaactivate 2nd lever yao, so issue ya kounde tusubir itakuaje, maana kounde alishakubaliana personal terms na wote wawil
Je barce wataweza match bid yetu,?
Kounde atachague chelsea or barcelona?
Hizi taarifa nadhani ni outdated. Sevila wameshakubali offer ya Chelsea, kitakachotuzuia tusimsajili Kounde ni Kounde mwenyewe akiamua kuwasubiri Barca kama ambavyo Barca wamekuwa wakimshawishi. Msimamo wa Kounde ni Akienda Barca au Chelsea yeye ni sawa. Chelsea wamemuahidi mshahara mara mbili ya ile ahadi ya Barca([emoji281]) Kounde race: Monchi (Sevilla Director) is now waiting to see what Barcelona does, following Chelsea’s new bid. @Nathan_Gissing #Transfers [emoji632]
[emoji779]️More: Monchi wants a bidding war. @Nathan_Gissing
Sio fabrizio huyo
Lembu na WEWE unatapeliwaga na kina Fabrizio wa mchongo
Kwani mimi nimesema ni Fabrizio?Sio fabrizio huyo