Siungi mkono Ake kuja lakini kila kocha ana vitu anaangalia kwa mchezaji kulingana na mfumno na style yake ya uchezaji. Ake anaweza kuwa 4th choice kwa PEP na akaja Chelsea akafanya vizuri kuliko madifenders wote wa Man cityHiv kweli tuchel kakosa mabeki mpaka ampambanie yule Ake, beki ambae ni choice namba 4 man city. Msimu ujao kuna dalili tutapata taabu sana
Ebu edit hapo ulivyosema ake ni midfielderSiungi mkono Ake kuja lakini kila kocha ana vitu anaangalia kwa mchezaji kulingana na mfumno na style yake ya uchezaji. Ake anaweza kuwa 4th choice kwa PEP na akaja Chelsea akafanya vizuri kuliko madifenders wote wa Man city
Kumbuka Rudiger alikuwa ni flop kwa Lampard lakini kwa Tuchel akawa the best defender
Soma vizuri kile ni kiswaenglishEbu edit hapo ulivyosema ake ni midfielder
Dah! Mwamba ulivyochanganyaSoma vizuri kile ni kiswaenglish
Huyo ni mwamba Sana moja Kati ya top defender moja kwa moja anafaa
Katika mabeki watatu bora duniani, Koulibaly hakai mbali
Hicho ni kisukuma cha UK kwa maana wasukuma bila Ma lugha haipandiDah! Mwamba ulivyochanganya
Mi nilivyoelewa negotiations zake alikuwa anafanya mtu mwingine on his behalf sasa anataka kufanya mwenyewe ili awe na control na future yake. What is wrong with that?Ziyech naye anaropoka kama vile hayupo kwenye mkataba na Chelsea
“I have reached a point in my life where I feel that the time is right for me to take full control of my professional future,” Ziyech stated via Instagram.
“I want negotiations and decisions about my career to be made by me.
“So moving forward, my team and I, together with out legal representatives, will handle the business side of things.
“Professional interest should be directed to the contact info in my bio.
“I remain incredibly grateful for your continued support.”
Nilishatolea maelezo kule nyuma baada ya kugundua nilimuelewa vibaya kumbe yeye alikuwa akimzungumzia agent wakeMi nilivyoelewa negotiations zake alikuwa anafanya mtu mwingine on his behalf sasa anataka kufanya mwenyewe ili awe na control na future yake. What is wrong with that?
Mbona kiko vizuri tu? Nimefurahi Emerson, Gilmour and Ghallager wamerudi. Akija Sterling na tukapata wa kusaidiana na kante tunatoboa. Halafu mbona Kante hayumo?Yani hiki kikosi kweli tutatoboa msimu ujao View attachment 2285363
Tumwache kocha asajili anaoawataka ili tuje tutoe hukumu ya haki. Hata kama hatuoni kitu yeye sio kichaa. Kuna kitu kakiona!Huenda kuna kitu tuchel amekiona kwake, hata Rudiger,Christeansen wamekuwa bora chini ya Tuchel.
Hao wachezaj average ndio huwa wanafanya kazi kubwa na zinazoonekana, shida huenda ikawa bei tu,
Naima hata kwa miaka ile wakina Cahil,Ivanovic etc wanasajiliwa ingekuwa wakat huu tungewapinga n kuwakataa.
Tushazoea hizi mifano iko mingi, waliowahi sema hivi mwisho wa siku walijiunga[emoji599] Serge Gnabry would not even consider a move to Chelsea due to his time at Arsenal. [@Plettigoal] #afc
Na Conor GallagherTusilogwe tu tukawauza hawa academy
- Armando Broja
- Levi Colwill
- Harvey Vale
- Lewis Hall
Anabakia kwa mkopo huko huko, like Courtois alivyofanyiwaChelsea si ana makipa watatu? Au Kuna mmoja anauzwa?
Conor Gallagher Sio academy yeye ni first team moja kwa moja wala hakuna mjadala, mimi nilikuwa nimegusia academy wanaotakiwa kubakizwa kwa ajili ya first team
Okay. Basi hata Armando naye ni first team moja kwa moja.Conor Gallagher Sio academy yeye ni first team moja kwa moja wala hakuna mjadala, mimi nilikuwa nimegusia academy wanaotakiwa kubakizwa kwa ajili ya first team
Yeah
Kante na RLC Wana coronavirusMbona kiko vizuri tu? Nimefurahi Emerson, Gilmour and Ghallager wamerudi. Akija Sterling na tukapata wa kusaidiana na kante tunatoboa. Halafu mbona Kante hayumo?