Huyu beki cjawahi mfatilia kw ukaribu, nasikia ni mbovu. Kwa nn chelsea wanamng'ang'ania, si wamwache aende bayern
Huyu De Light ni CB mzuri sana. Aliwahi tu kwenye form mbaya alipohamia Juventus lakini baadaye akarudi kwenye form. Kwa historia yake na umri wake ni promising CB mzuri. Ni mbaya tu Juve wameamua kukazana na price tag kubwa. Tangu akiwa na miaka 16/17 amekuwa akicheza kwenye first team Ajax na baadaye Juve, na pia amewahi kutangazwa nahodha wa Ajax akiwa na 18 yrs. Kwa umri wake na profile ya mafanikia yake sina shaka juu yake. Akikaa na kocha mzuri anaweza kuwa asset kubwaReport: Chelsea have made strongest bid to sign 'generational' talent, his club are getting very agitated
Chelsea have reportedly made the strongest offer to Juventus to try and sign defender Matthijs de Ligt.
Huyu De Light ninamkubali, ni future CB mzuri na ana miaka 22 tu, ana uzoefu kibao tangu akiwa Ajax aliiwezesha Ajax kufika nusu finali za UEFA ikiziangusha miamba mikubwa kama Real Madrid na Juventus mwaka 2018/19. Tangu 2016 amekuwa first starter Ajax kabla ya kuhamia Juventus 2019. Sasa ana uzoefu wa first team kwa miaka 5. Pia March 2018 alitangazwa kuwa Nahodha wa Ajax na kuwa mchezaji wa kwanza kuwekwa kuwa nahodha katika umri mdogo wa miaka 18 tu
Karibu Chelsea De light
View attachment 2270743
Hiv ni kweli Ronaldo anaenda chelseafc au ni tetesi kama za Raphinha
huu ujinga utaachwa lini toka lini garasa likafunga 20+ goals ,tuwe serious hata mambo madogo.Hivi ronaldo galasa ndo anataka aende Chelsea?, huo utani ndugu
Isiwe kama dili la Raphinha[emoji599] BREAKING : Raheem Sterling has agreed personal terms with Chelsea and a fee could be done in 24 hours.
Kwani wewe unamuonaje sterling ukitoa ushabikiKwa hiyo mmeamua kumchuku Sterling na kumpa 300k per week any way leteni hio pesa kuliko mchezaji aondoke bure [emoji23]
Hawezi sema,Kwani wewe unamuonaje sterling ukitoa ushabiki
Naona unaendelea kupoteza mda kuokoteza tetesi mtandaoni[emoji954]| Xavi has spoken with Kounde 3 times during the summer and the player really wants to play for Barcelona. [@gerardromero] #fcblive