John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,042
Duh hv unawezaje kuua vipaji vya wachezaji w timu Yako Kwa kutokununua wachezaji wa viwango[emoji23]....acheni nadharia wazeeSio kwamba wachezaji hao hapendi Chelsea sababu nikwamba hamuamini mliki mpya anaweza akauua vipaji vyao kwa kutonunua wachezaji wa viwango wengine vyakwao vikafa bure, Chelsea ikawa average team kama Arsenal au Tottenham
Huyo yuko sawa, kinachomuondoa Ronaldo Man mojawapo ni activities isiyoridhisha ya Man kwenye usajili. Mtu kama Ronaldo umletee matakata anaondokaDuh hv unawezaje kuua vipaji vya wachezaji w timu Yako Kwa kutokununua wachezaji wa viwango[emoji23]....acheni nadharia wazee
hela ndogo sana iyoAC Milan wanatoa paundi mil 22 kwa Ziyech. Ziyech abaki tu
Kiungo hatari Sana huyu, nitasshangaa akibaki seria A msimu huuMzee Sarri ametupa Milinkovic-Savic ili nasi tumpe Reuben Loftas Cheek na Emerson Palmeri. Hapo vipi
Milinkovic-Savic aba miaka 27, anacheza Kiungo na msimu uliopita alifunga 11 na assists 11
Tuliwahi kuhusishwa kutaka kumsajili toka kile kipundi mzee Sarri yupo darajani na toka hapo nikaanza kumfuatilia. Ni kiungo mzuri sana ila nawaza huyu mzee kwa nini amtoe hapo amtake RLC na Emerson naanza kuoata majibu target yake ni Emerson lakini pia ana imani kupitia RLC anaweza kumjenga Savic mwingine maana walishafanya kazi pamoja wakatengeneza partner nzuri na Hazard.Mzee Sarri ametupa Milinkovic-Savic ili nasi tumpe Reuben Loftas Cheek na Emerson Palmeri. Hapo vipi
Milinkovic-Savic aba miaka 27, anacheza Kiungo na msimu uliopita alifunga 11 na assists 11
Milinkovic-Savic ndiye anayetaka kutoka na kama kocha Sarri anataka kutumia fursa hiyo kwa advantageTuliwahi kuhusishwa kutaka kumsajili toka kile kipundi mzee Sarri yupo darajani na toka hapo nikaanza kumfuatilia. Ni kiungo mzuri sana ila nawaza huyu mzee kwa nini amtoe hapo amtake RLC na Emerson naanza kuoata majibu target yake ni Emerson lakini pia ana imani kupitia RLC anaweza kumjenga Savic mwingine maana walishafanya kazi pamoja wakatengeneza partner nzuri na Hazard.
Savic ni mzuri ila kwa matatizo tuliyonayo hasa kutokea nyuma hatuwezi kumuacha Emerson
Preseason imeanza bila hata usajili mmoja, hii haiashirii mazuri kabisa, bosi anayeogopa kugamble sio bosi mzuri. Pamoja na madhaifu ya huko nyuma lakini Abramovich alikuwa anatake riskNdugu zangu siku zimebaki chache kila Siku unasikia dili la mchezaji fulani linakaribia kukamilika lakini siku zinaenda mambo ni same story ninawasiwasi na huyu Tajiri tunaweza tusisajili kabisa kwa Huu mwenendo wetu Tajiri amekuwa na maneno mengi badala ya vitendo angekuwa ni Abramovic Rafidha, Ronaldo,Kounde, sterling tungekuwa teyari biashara zao tunasubiri haiwezekani nazungumzo yanachukua muda mrefu kiasi hichi
Tuachane nae ale jeuri yakePage yenyewe inajieleza mlengo wake halafu unatupostia humu. Hakuna habari kama hiyoView attachment 2280595
Aaah sio kweli mkuu huyohuyo Ronaldo alikuwa amezungukwa na kina Sancho, Rashid , Fred, mctominay, Bruno aliyedrop form ...VP alishuka kiwango?...kiwango kitakuwepo Tu Mbona hazard hakushuka kiwango kipindi tupo n kina Drinkwater bakayoko giroudHuyo yuko sawa, kinachomuondoa Ronaldo Man mojawapo ni activities isiyoridhisha ya Man kwenye usajili. Mtu kama Ronaldo umletee matakata anaondoka
Timu ikisajili average players wanakuja ua vipaji vya wachezaji wazuri. Example: Haalnd aje kucheza na wachezaji wa Norwich city, unategemea nini. Hapo city alipoenda ataendelea kucheza competitively kwa sababu timu nzima ni competitive
Pamoja ya kuwa mda bado wa usajiri ila huyu bosi anakatisha tamaa sana mm nilikata tamaa mapema baada ya kuona tetesi zimekuwa nyingi halafu hamna action yoyote kila mchezaji tunahusishwa naye mpaka keroPreseason imeanza bila hata usajili mmoja, hii haiashirii mazuri kabisa, bosi anayeogopa kugamble sio bosi mzuri. Pamoja na madhaifu ya huko nyuma lakini Abramovich alikuwa anatake risk
Katika tetesi zinazonikera ni za huyu jamaa kuja Chelsea sitamani kabisa ajeDo we real need this person at Chelsea??
View attachment 2280890
Hii siyo biashara ya kujiuliza mara mbilimbili.Mzee Sarri ametupa Milinkovic-Savic ili nasi tumpe Reuben Loftas Cheek na Emerson Palmeri. Hapo vipi
Milinkovic-Savic aba miaka 27, anacheza Kiungo na msimu uliopita alifunga 11 na assists 11
Bado siyo mbayaIssue ya Ronaldo naona imekaaa kibiashara zaidi na sikwa ajili ya project,
Tunamuhitaji Emerson kuliko tunavyomuhitaji SavicMilinkovic-Savic ndiye anayetaka kutoka na kama kocha Sarri anataka kutumia fursa hiyo kwa advantage