juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Wachezaj tuchel anaowataka ndio hao wakina Sterling,Raphinha,Dembele na Richarlison based na taarifa zinazotoka,Umekariri Sana hao wakuendana na TT ni wakina Nani mbona kai hata Takwimu zake haziridhishi mbona uzungumzii Hili Ziyech angekuwa anacheza na striker anayejitambua angekuwa na assist nyingi kuna game alitengeneza nafasi 6 kwenye game 1 na hakuna hata aliyefunga goal
Ila Werner[emoji1787] m naona mpk apate chance flan ambazo hazina ugumu sana ndo afunge....Mfumo wa Klopp wa direct play ndio unaomfit Werner na akina Lukaku, huu mfumno wetu wa back passes, sideways passes and don't care mtu akifika golini anajipigia tu ndio moja ya sababu hao wakashindwa kufunga
Si unaona uchezaji wa Man city, Lukaku na Werner hawafungi kwa staili hiyo ya kukaa na mpira sana, counter na direct football ndiko kunakowafaa hao. Chelsea wana pasi nyingi sana hadi defence ya oponent wanajenga ukuta wa berlinIla Werner[emoji1787] m naona mpk apate chance flan ambazo hazina ugumu sana ndo afunge....
Reference kwa Klopp, PEP, Mou wote hao walifanikiwa kwa kuwasajili wachezaji anaowatakaWachezaj tuchel anaowataka ndio hao wakina Sterling,Raphinha,Dembele na Richarlison based na taarifa zinazotoka,
Ukweli ni kwamba tunawachezaj wazuri ila wameshindwa kutupa kile tulichotarajia ambacho walikuwa nacho huko walipotoka.
Tukubali tu kuanza upya sio kosa,
Tumpe tuchel kile anachohitaj na ajenge tim kutokana na misingi yake
Tukubali wener na Lukaku sio EPL material especially werner yaani one to one na kipa unamlaumu kocha kweli? Waende hizo league nyingine najua watawika ila sio kwa malkiaSi unaona uchezaji wa Man city, Lukaku na Werner hawafungi kwa staili hiyo ya kukaa na mpira sana, counter na direct football ndiko kunakowafaa hao. Chelsea wana pasi nyingi sana hadi defence ya oponent wanajenga ukuta wa berlin
Kwa Werner mimi nitaendelea kumlaumu kocha 100%, Kwa Ziyech na Lukaku nitamlaumu kocha 50% na mchezaji 50%. Ziyech na Lukaku hawakuonyesha juhudi ya kutosha uwanjani ila kocha naye alitakiwa kuwasukuma na kutumiambinu za kikocha ili hao wachezaji waliofanya vizuri kule walikotoka wafanye vizuri na huku kwetuTukubali wener na Lukaku sio EPL material especially werner yaani one to one na kipa unamlaumu kocha kweli? Waende hizo league nyingine najua watawika ila sio kwa malkia
Na katika hiyo misimu miwili nae pia si karibia misimu yote alikua majeruhi.Ndio,
Watu mnamkataa dembele kwa sababu ya injury, ila a full fit dembele ni bora kuliko ziyech,
Je katika hii misim miwili aliyokaaa amefanya kipi cha kushawishi
Acha tu kuwaza,, fanya mambo yako..Wazo
kama kweli Boehly anamtaka Ronaldo
Hii line up imekaaje
3-4-3
View attachment 2273430
4-3-3
View attachment 2273431
Umemshauri vizuri kwa huyu Tajiri sio wakumwekea dhamanaAcha tu kuwaza,, fanya mambo yako..
Duu inauma kichiziHivi mnamuwekea dhamana Huyu boss wenu ?
Negotiation kwasasa anafanya yeye inaonesha jinsi gan anajishauri kumwaga hela,
Mlizoe hata magarasa mnayaleta kwa £97m ,£70m ,
Huyu tajiri wenu anaonekana mchungu Sana, atasajiri kishkaji ila Tuchel ajiandae kuzitapika hizo hela asiporejesha return yake
Anawadanganyen ametenga £200m had Sasa anaishia kupiga domo TU,
Dili la Raphina anaishia kuongea maneno matupu na Deco , hata ofa hatumi
Enzi za Roman had Sasa Raphina , Kounde , De ligt , Sterling wangekuwa muda huu wanamalizia Medical happy Cobnham ,
Ila huyu Mchunga ng'ombe Hadi Sasa anazuga , anasubiri mwishon awaletee mabeki mchelemchele
Negotiation aliziweza Marina na hela ilikuwepo ,Sasa huyu Dalali wenu anataka kupigwa na Juve ,wanamwambia Leta Werner na mpunga wakutosha wampe Beki ambaye anachezea bench kwa wazee pale Juve De ligt
Msianze kujudge kirahisi hvyo[emoji23] muda utaongeaHivi mnamuwekea dhamana Huyu boss wenu ?
Negotiation kwasasa anafanya yeye inaonesha jinsi gan anajishauri kumwaga hela,
Mlizoe hata magarasa mnayaleta kwa £97m ,£70m ,
Huyu tajiri wenu anaonekana mchungu Sana, atasajiri kishkaji ila Tuchel ajiandae kuzitapika hizo hela asiporejesha return yake
Anawadanganyen ametenga £200m had Sasa anaishia kupiga domo TU,
Dili la Raphina anaishia kuongea maneno matupu na Deco , hata ofa hatumi
Enzi za Roman had Sasa Raphina , Kounde , De ligt , Sterling wangekuwa muda huu wanamalizia Medical happy Cobnham ,
Ila huyu Mchunga ng'ombe Hadi Sasa anazuga , anasubiri mwishon awaletee mabeki mchelemchele
Negotiation aliziweza Marina na hela ilikuwepo ,Sasa huyu Dalali wenu anataka kupigwa na Juve ,wanamwambia Leta Werner na mpunga wakutosha wampe Beki ambaye anachezea bench kwa wazee pale Juve De ligt
Huyo kounde mbona ilishindikana msim uliopitaHivi mnamuwekea dhamana Huyu boss wenu ?
Negotiation kwasasa anafanya yeye inaonesha jinsi gan anajishauri kumwaga hela,
Mlizoe hata magarasa mnayaleta kwa £97m ,£70m ,
Huyu tajiri wenu anaonekana mchungu Sana, atasajiri kishkaji ila Tuchel ajiandae kuzitapika hizo hela asiporejesha return yake
Anawadanganyen ametenga £200m had Sasa anaishia kupiga domo TU,
Dili la Raphina anaishia kuongea maneno matupu na Deco , hata ofa hatumi
Enzi za Roman had Sasa Raphina , Kounde , De ligt , Sterling wangekuwa muda huu wanamalizia Medical happy Cobnham ,
Ila huyu Mchunga ng'ombe Hadi Sasa anazuga , anasubiri mwishon awaletee mabeki mchelemchele
Negotiation aliziweza Marina na hela ilikuwepo ,Sasa huyu Dalali wenu anataka kupigwa na Juve ,wanamwambia Leta Werner na mpunga wakutosha wampe Beki ambaye anachezea bench kwa wazee pale Juve De ligt
Si bado kina rudiger walikuwepo,angekuwepo Roman muda huu Kounde ungekuwa usajir wa kwanzaHuyo kounde mbona ilishindikana msim uliopita
Huyu konde mnaemzungumzia hapa ndio yule wa kajala?kuna wimbo amevaa sketi ya lindabox?Si bado kina rudiger walikuwepo,angekuwepo Roman muda huu Kounde ungekuwa usajir wa kwanza
Sijaona sababu ya hawa jamaa kuondoka. Ndio msimu wao wa kwanza na TT. Nadhani itakuwa makosa kuwaondoa na hasa ZiyechKuna uwezekano wa werner na Ziyech kuondoka msim huu
Werner anahusishwa kwenye deal la De Ligt( 30 + werner)
Huku Ziyech akihusishwa kujiunga na Ac Milan
Possible Replacement
Dembele
Richarlison
Raphinha