Anonymous77
JF-Expert Member
- May 29, 2022
- 590
- 1,532
Three bado anabaki kuwa mdhamini tena msimu ujao kabakisha mwaka mmoja kuna ile jezi ya nyumbani iliyo leak nafikiri itakuwa officialYoyote mwenye uelewa kuhusu sakata la jezi za msimu ujao. Maana naona muda unaenda tu au mdhamini hajapatikana bado
Huyo Naymar hafai ni bishoo, wanaofaa wote wameshawahiwa, issue ndio hiyoWote wenye wasiwasi niwatoe wasiwasi kuhusu usajiri utafanyika na chelsea msimu itakua bora zaidi haya masuala ya usajiri tumuachie kocha ingekua kuna shida kocha tayari angeshasema msije mkashangaa msimu ujao neymar akatua chelsea yani ni suala la muda kikubwa subra msibabishwe na hao wakina nunez na halaand sio kigezo cha kufanya sisi tuogope chelsea ni bora na itakua bora zaidi sisi huwa tunafunga kazi dakika za mwisho sasa hivi tuwaachie wenye tamaa
Ya nini marumbano tusubiri kwa subra njema tutaona wala usijariHuyo Naymar hafai ni bishoo, wanaofaa wote wameshawahiwa, issue ndio hiyo
EPL uchukue ubingwa ni hadi uwe na misuli kweli kweli. Sasa wachezaji wenye misuli ndio hao wanaenda city, liverpool, real madrid, PSG. Sisi Chelsea tutabaki na regular player, nothing nothing left
Mimi binafsi nimepata wasiwsi na huyu tajiri mpya, biashara yote ni asubuhi. Anasubiri dakika za mwishomisho ili apate kwa bei nafu, wamiliki wa Marikani wako kifaida zaidi, watu kama hao ndo wamesababisha arsenal kuporomoka, hapo tumepigwa tutabaki kua kama TOTTENHAMYa nini marumbano tusubiri kwa subra njema tutaona wala usijari
Huyo kounde ndo anatajwa Sana Mzee we jiandae kisaikolojia[emoji23][emoji23]Katika hao uliowataja hakuna hata mmoja tuliyenae anawakaribia. Muhimu tukomae na waliopo TT awamezeshe ukali walau watuvushe kipindi hiki kigumu. Tukomae tusajili beki ya maana tofauti na Kounde huyu mimi simuamini kabisa
Nimeitoa mahali pengine ndo Sababu ya Tuchel kumhitaji tokea msimu uliopitaKatika hao uliowataja hakuna hata mmoja tuliyenae anawakaribia. Muhimu tukomae na waliopo TT awamezeshe ukali walau watuvushe kipindi hiki kigumu. Tukomae tusajili beki ya maana tofauti na Kounde huyu mimi simuamini kabisa
Spurs hawawezi kumuachia son hata wawekee kiasi gani cha pesa [emoji28] ni sawa Leo hii useme sijui kwanini team hazimtafuti TAA liverpool au Benzema Madrid ..!Mbona sijawahi sikia Heung Min Son timu yoyote ikimtafuta?, angetufaa sana maana ameshaonesha kitu cha tofauti Epl kwa misimu kadhaa.
Hao ni wivu tu ,Sasa city tumemuuza Torres £53 million Barcelona ,tumemnunua haaland £60million ...LaLiga have filed a complaint to UEFA against Paris St Germain and Manchester City over alleged Financial Fair Play violations, the Spanish professional soccer league announced on Wednesday.
Arsenal wanaweza wakashiriki UEFA msimu ujao
Anaenda New Castle huyo, habari mpya labda tumgeukie Matthijs de LigtHuyo kounde ndo anatajwa Sana Mzee we jiandae kisaikolojia[emoji23][emoji23]
hivi tukiweka mahaba pembeni nyie cheltako kwanini mlilusu mpaka rudiger akasepa mbona jamaa alikuwa beki wa shoka sana.