Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1653573035190.png
 
Tatizo kubwa la Christasen ni nervous, tension hasa anapocheza na wachezaji au timu kubwa, refer back 2017 tulipocheza na Barcelona, Refer juzi na Liverpool, hata wakati wa Sarri.
Kwa ufupi an Anthropophobia. Barcelona wajiandae kuishi naye hiyo

1653576319840.png
 
Mkuu hizi ligi tatu nazifuatilia sana
  1. EPL
  2. Laliga na
  3. Serie A
Only EPL katika hizo tatu ndizo zenye presure kubwa kwenye final third ya timu pinzani bila kujali position ya timu kwenye ligi.
Strikers wengi wanafeli EPL kwa sababu ya hiyo
Ukiwachambua mastrikers mmoja baada ya mwingine utagundua jinsi magoli yao yanavyopatikana
Mfano Lukaku ili afunge lazima kuwepo na a bit of open play(kwa maana ya space kwenye final third), ikishakuwepo pressure kubwa nikiwa na maana agresive defenders na ukuta mzito midhili ya kupaki mabehewa bandarini, Lukaku hawezi kufunga
Tammy Abraham magoli yake yanapatikana sio kama za Lukaku,
  1. Mabeki hata wawe wengi ila wasipokuwa agressive na kuweka pressure kwa mfungaji (hapa namaanisha beki zembe), Tammy ni mfungaji mzuri
  2. Pili mabeki wakiwa na makosa makosa mengi, Tammy anajua kutumnia hizo mistakes kufunga na ndio maana akiwa EPL amezifunga sana klabu kama hizo zenye makosa makosa mengi kama Leeds na Norwich and co.
Kwa maelezo haya mimi naamini akirudi EPL atakuwa mfungaji wa regular goals unless aongeze kitu kwenye style yake ya uchezaji hasa kuwa mbunifu na fast kwenye kufanya maamuzi sahihi akiwa kwenye final third ili aweze kuforce ufungaji kama Salah au Son au Kane
Bahati mbaya Chelsea bado kupata mastrikers wanaoweza kufunga kwa
  1. Kutumia makosa makosa ya mabeki
  2. Kuwa mbunifu kwenye ufungaji
  3. Kufanya fast and correct decisions ya aidha kuassist au kufunga kwenye final third
Kwa hiyo unapoweka imani yako kwa Tammy, ebu angalia style ya ufungaji wa hayo mabao na je kwa style hiyo anaweza kufikisha the same number akiwa EPL?
Tammy anao uwezo wa kukupa magoli 15+ kila msimu. Kilichotokea ni vile tu pressure ya management kufanya pupa kwa kuhisi hana uwezo huo but still kesha prove huu ni msimu wa 3 amepewa nafasi na anafanya ivyo. Championship akiwa na Aston Villa, akiwa kwetu Chelsea na amefanya ivyo akiwa Roma.

Tammy anaouwezo wa kutumia udhaifu wa mabeki kufunga na ndio ubora wa proffessional player huo anachohitaji kuongeza ni ubunifu ambao unakuja with experience hautokei tu from no where. Hata hao wakina Son haikua ghafla tu wakafika hapo walipewa muda na ndicho tulichomnyima Tammy.
 
Imefahamiak kuwa Todd Boehly ndie atakayekuwa na sauti na maamuzi ya mwisho pale klabuni
Pia watu wa karibu wanaamini kuwa Todd Boehly atakuwa akifanya sajili za maana kwa sababu ya uzoefu wake kwenye kusimamia vilabu vya michezo
Tutegemee mambo mazuri Chelsea zaidi ya alivyofanya Abra
Mpe heshima yake Abra
 
John Tery amjibu Rio Ferdinand kuhusu maoni yake ya CB 5 bora katika historia ya EPL alipokuwa akiongea na BT Sports ambapo alijiweka yeye wa kwanza kama ifuatavyo:
  1. Rio Ferdinand
  2. Nemanja Vidic
  3. Virgil Van Dijk
  4. Jaap Stam
  5. John Terry
Sasa JT kwenye instagrama yake akaweka maneneo haya
"Opinion are great, but stats don't lie..."
Akaweka na picha ikionyesha mafanikio yake mbalimbali
1653703144780.png
 
John Tery amjibu Rio Ferdinand kuhusu maoni yake ya CB 5 bora katika historia ya EPL alipokuwa akiongea na BT Sports ambapo alijiweka yeye wa kwanza kama ifuatavyo:
  1. Rio Ferdinand
  2. Nemanja Vidic
  3. Virgil Van Dijk
  4. Jaap Stam
  5. John Terry
Sasa JT kwenye instagrama yake akaweka maneneo haya
"Opinion are great, but stats don't lie..."
Akaweka na picha ikionyesha mafanikio yake mbalimbali
View attachment 2241721
Sure kabisa

Rio nae anajiona mtu eti mbele ya terry acheni utani.

Hata hawa akija virgil bado sana kumfikia Terry

Some time unajiuliza huyu jamaa beki au kiungo
 
Nina wasiwasi huyo Boehly hatakuwa sawa kiudhamini na Waarabu wa New Castle na Man City ambao hutumia pesa ndefu kupata burudani wala si kupata mapato, mashabiki wa Chelsea tujipange kugugumia maumivu kama Arse8 ambao tayari washaota sugu za kuvumilia vichapo kwa kutosherehekea makombe
sasa Sisi pesa ndefu tulizotumia tumeishia kupigwa Tu namna moja ama nyingine sajili tatu za mwsho z nyuma tulizospend kiasi flan km tulipigwa ...mfano Lukaku, Kai, kepa, na kulingana na report boehly anamregard Tuchel km n one of the top elite coaches na anataka timu ijengwe kulingana na wachezaji anaowataka km ambavyo klop n pep wanavyosuka wachezaji wao na hii naona ni kitu nzuri Kwa timu na suala la kuspend huyu jamaa pia ni co owner WA klabu ya baseball kule marekani inaitwa la Dodgers n moja ya klabu inayoongoza kuspend ktk ligi Yao ya baseball....kiasi flan kinaondoa mashaka km uliyokuwa nayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom