Wachezaji wazuri ingekuwa ngumu kuwapata wakati sisi tulikuwa tunashughulikia tetemeko la Chelsea kuyumba. Mwezi huu ukiisha sasa tutaingia sokoni kukumba zile viporo vilivyoshindikana
Pumba ya karne sijawahi kuona mtu unachota tu taarifa na kudakia mada usioijuaAs per networth.com, Boehly's current net worth sits at £4.72billion. He is the co-founder, chairman and CEO of Eldridge Industries. Eldridge is a holding company with offices in New York, Boston and London, and have a history of investment in industries including technology, media, real estate and sport.
Kwa hiyo jamaa anainunua ili abaki maskini?
Lukaku asepe. Warner kuna muda anasaidia kutawanya wapinzani tatzo umaliziaji wake sio mzuri saanaTETESI ZA LEOLEO
- Serikali ya Uingereza kuthibitisha uuzwaji wa Chelsea kwa Todd Boehly na wenzake ndani ya saa 24
- Jules Kounde kaonekana mitaa ya London leo asubuhi
- Lewandowski target yetu kuu, tumpe Bayern nani kati ya hawa, Werner, Pulisic, Lukaku?
Haya katupe huko Tottenham hapa sio nahala pake. Ustaarabu 0TOTTENHAM wameshamwaga mpunga mezani View attachment 2237057




Napenda msimamo wa Conte, mmiliki asipomwaga pesa za usajili na bodi isipomsikiliza anasepa, ndivyo alivyofanya Inter na ndivyo alivyotaka kufanya Spurs na ndio maana mmiliki akapanic na kumwaga pesa. Hizo pesa zikitumika vizuri zitaipeleka Spurs mbali zaidi UCL na EPLTOTTENHAM wameshamwaga mpunga mezani View attachment 2237057
Mkuu hizi ligi tatu nazifuatilia sanaHakuna mchezaji muingereza aliyefunga magoli mengi kumzidi Tammy Abraham(17) katika ligitano kubwa ulaya.
Muda utasema yanajirudia yale ya KDB, Salah. Pia tusisahau Fikayo Tomori ndio amekua muhimili wa defense ya Ac Milan msimu huu mpaka kupelekea kubeba ubingwa wa Seria A.
Acha aende mkuuu




Lukaku aende Bayern watupe Lewando.Lukaku asepe. Warner kuna muda anasaidia kutawanya wapinzani tatzo umaliziaji wake sio mzuri saana