Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kabisa kombe ni lao
 
Umewapa moyo sana uwalipe sasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] The Blauz ndio walipaswa wanilipe kwa kuamsha molari.
Hizi kenge sio za kuzilia yamini kabisaaaa, mara ya 2 hii wanapigwa palepale kwenye mshono.
 
Liverpool first eleven tulikuwa 11 ila Chelsea wamecheza pungufu 10 tu kwasababu ya lilukaku [emoji1787][emoji1787]
 
Werner na Lukaku ni wazuri kwa penalti hawakuandaliwa. Tactically TT bado sana ukimlinganisha na Klopp na PEP
Mount hajawahi kuwa mzuri kwa penalti. Generally TT alijiandaa kwa ushindi wa uwanjani ila kwa penalti hajafanya maandalizi
Thomas Tuchel on Timo Werner:

"Timo was injured and uncomfortable during the warm-up and said he could not play."

[via @AdamNewson]
 
Alifanya sub ambazo hazina macho kabisa nilitegemea alivyotoka pulisic angeingia Werner
Werner aliumia wakati wa warm up, au mlitaka aingie hivyo hivyo na majeruhi, kwa jinsi liver walivyokuwa wanacheza werner angekuwa mzima angecheza tu kulikuwa hakuna option
 
433 ni nzuri n inamuhitaj dm mzuri sion kama declan rice ni mzuri kama dm naona kama ni box to box zaidi

2nd we need new cb, zitakazoweza chza kwenue back 4, tukichza na back 4 tunakuwa porous, based na wakat wa lamps + mara chache wakat huu wa thom imeonekana,

Rudiger ni mzuri akiwa katika back 3 hata wakat wa conte, ika kwnye back 4 huwez mtegemea
 
Ukweli mchungu sna
 
Chelsea sio kwamba ina wachezaji wabaya hilo nakataa ila ni mfumo wa kocha ndio kikwazo cha baadhi ya wachezaji kuonekana wabovu

Kama chelsea inamuhitaji zaidi Tuchel basi impe wachezaji watakaoendana na mfumo wake ambapo wakishindwa kupaform lawama ziwe juu yake

Hawa wachezaji walio Chelsea ambao mnaona wabovu wakienda timu nyingine watakuwa bora zaidi ya hapa nafikiri mifano mnayo Abraham aliyekuwa chelsea mbovu Roma kule ana goli zaidi ya 25

Hata kama tunataka kusajiri viungo lakini mjue jorginho bado atabaki kuwa kiungo bora umuhimu wake ni mkubwa tofauti na kante pamoja na kova ambao hamna msaada mkubwa waliotupa msimu huu
 
Hata wakat wa lamps wachezaj wengi hawana consistenc katika performanc zao wanaweza chez 3-4 vizur ila baada ha mda wakapotea mazima

Wachezaj waliopo bar 2 wamesajiliwa na makocha 4 waliopita,

Wachezaj wetu wa mbele wote hawana consistenc kwenye performanc zao, na hiyo ndio shida.

Tim yetu inakosa balance, ukisema ufavour upande mmoja basi pande nyingine inakuangusha,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…