computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,040
Bora usiangalie sababu ushakoswa koswa muda wowote dude linazamia kwa ndaniHii mechi inavyoelekea leo sitaweza kuiangalia. Wametukatia umeme nyumbani na ofisini na mimi sijazoea kwenda kwenye vibanda umiza
Unazingua aise Lembu ujui raa ya vibanda umiza aise hahaπππHii mechi inavyoelekea leo sitaweza kuiangalia. Wametukatia umeme nyumbani na ofisini na mimi sijazoea kwenda kwenye vibanda umiza
Nyie makenge leo nyumbu wote tunasimama na nyinyi ole wenu mtuangushe.Hii mechi inavyoelekea leo sitaweza kuiangalia. Wametukatia umeme nyumbani na ofisini na mimi sijazoea kwenda kwenye vibanda umiza
Sijui Tanesco Arusha wana kisirani gani kote wamekata. Hata kiband umiza cha jirani line tofauti ilikuwa na umeme wameondoa.tupo gizani natumia simu tuKaangalie kwenye Bar/Hotel
Cheltako yani nipo upande wenu leo ila mnaboa kweli yani.Oyaa Mimi napotea ewani hapa mechi kaa izi schekigi kabisa anii..
Kila la kheri wazee ..tukishinda POA, tukipigwa POA.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Acha uwoga wewe kenge.Oyaa Mimi napotea ewani hapa mechi kaa izi schekigi kabisa anii..
Kila la kheri wazee ..tukishinda POA, tukipigwa POA.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Pulisic na Lukaku wanakosa magoli ya wazi, ila dakika za mwanzo mwanzo kipindi cha pili lazima kenge ale chips Kuku.Cheltako yani nipo upande wenu leo ila mnaboa kweli yani.
Livakuku kule kwenye jukwaa lao wanalalamika ukuta wa Chelsea mgumuTunatoboa?
Hivi wewe unazo timamu kabisa kweli? anaokicheza wamepata nini mpaka sasa ivi?Fainali ilitakiwa iwe Manchester City vs Liverpool nyie mmeenda kutupotezea muda hamna mmachokicheza Fuc***
Acha roho ya kwanini π πHapa naona tunaangalia marudio ya carabao tena
Nadhani TUCHEL amewaelekeza namna ya kumkaba Luis Diaz, vinginevyo atawaweka leo.Tunaenda 120 [emoji30]
Navyoogopa sasa [emoji1787]