Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kilio cha hao mbwa manazisikia huko darajani. Sisi hatubembelezi mbwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kusikia kwa kenge mpaka pale damu inapoanza kutoka matakoni, na style ya mbwa mwitu hua wanaanza kushambulia mkiani mpaka wahakikishe damu inatoka kwenye nusu kipenyo.
Endelea kulembua hivyohivyo, mshtue OllaChuga Oc halafu mwambie sisi ni kenge.
 
Tuna Leeds
Leicester city
Watford iliyoshuka daraja tayari
Naomba Mungu tuokote pochi mechi zote hizo
Wasiwasi wa points uko kwa Leeds tu
Leicester city tutajipigia hata tukiwa na ukabaji mbovu
Watsford ni hitimisho ya kuhakikishia nafasi ya 3
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…