Mbona ulizotobolewa huweki..? 🤣🤣🤣🤣 ulizoliwa ni nyingi zaidi ya ulizoleta 🤣🤣🤣Hivi humu huwa mnajadili nini siku hizi?au ndio historia?
NB: PICHA HAINA UHUSIANO WOWOTE NA MAELEZO HAPO JUU[emoji115][emoji115]View attachment 2212731
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Habari njema hizi maana taarifa za udaku zilikuwa nyingi sanaOfficial statement by Roman Abramovich on the sale of Chelsea Football Club. [emoji599][emoji838] #CFC
“Mr Abramovich has not asked for any loan to be repaid to him – such suggestions are entirely false”.
Full statement [emoji407][emoji3593] View attachment 2212985
Habari njema hizi maana taarifa za udaku zilikuwa nyingi sana
Kushushwa kwa Chelsea hakuleta makombe kwenu. Kaza tako ilo pambana na huba lakoHaya mjiandae kuungana na Wycombe kwenye daraja la 4 huko nyie kenge wa buluu.
Hivi huwa hamchoki na hizi porojo zenu? Mnatumia nguvu nyingi sana kujiaminisha upuruzi sana. We ulizaliwa nayo hiyo unayoshabikia? Ndugu zanguni acheni kujikuta kiivyo Chelsea hatoacha kuwapapasaKila Mtu atarudi kwenye Timu yake ya asili kabla ya 2005 [emoji23][emoji23][emoji23]
😆mshuke kwanza, hayo mengine hayana umuhimu sana.Kushushwa kwa Chelsea hakuleta makombe kwenu. Kaza tako ilo pambana na huba lako
Hivi huwa hamchoki na hizi porojo zenu? Mnatumia nguvu nyingi sana kujiaminisha upuruzi sana. We ulizaliwa nayo hiyo unayoshabikia? Ndugu zanguni acheni kujikuta kiivyo Chelsea hatoacha kuwapapasa
Kuwa na akili mzee hiyo habari imetolewa na website official ya ChelseaNa hiyo iliyowekwa hapo una uhakika nayo kama siyo Udaku?
Hizo wins zimewaletea kitu gani???Hivi humu huwa mnajadili nini siku hizi?au ndio historia?
NB: PICHA HAINA UHUSIANO WOWOTE NA MAELEZO HAPO JUU[emoji115][emoji115]View attachment 2212731
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Hii habari imetoka kwenye official website ya Chelsea ikiletwa na mzungumzaji wa Roman Abramovich.Na hiyo iliyowekwa hapo una uhakika nayo kama siyo Udaku?
Hii taarifa nimeifuatilia kule kwenye website ya Chelsea ikanifanya nipumue kama vile nimeshinda bingoOfficial statement by Roman Abramovich on the sale of Chelsea Football Club. [emoji599][emoji838] #CFC
“Mr Abramovich has not asked for any loan to be repaid to him – such suggestions are entirely false”.
Full statement [emoji407][emoji3593] View attachment 2212985
Leo hii Consortium ya Toddy Boehly wanasaini mkataba wa kuinunua Chelsea wa Paundi bil 4,
Wanaoitakia mabaya Chelsea watafyata mikia leo hii
Tukupita hapa hawa inzi wanatusumbua hatutawaona tena
Chelsea takeover: First contract in £4billion deal to be signed on Friday
Todd Boehly is later today expected to sign the first contract ahead of his prospective £4billion takeover of Chelsea from Roman Abramovich.
Chelsea takeover: First contract in £4billion deal to be signed on Friday
Chelsea are in the process of a multi-billion pound takeover after Roman Abramovich put the club up for sale following Russia's invasion of Ukraine and Todd Boehly is the favouritewww.mirror.co.uk
Kuwa na akili mzee hiyo habari imetolewa na website official ya Chelsea
Kuwa na akili mzee hiyo habari imetolewa na website official ya Chelsea
Kwenye official website hawaweki udaku at tetezi ina kua confirmed ndo inawekwaNa hiyo iliyowekwa hapo una uhakika nayo kama siyo Udaku?
Astaghfirullah..Mazingira ya kukupokea Timu yako ya asili Arsenal uliyohama 2005 kufuata Makombe ya hela za Uporaji yanaandaliwa.
Wakina king ngwaba na wenzake watakalia lekiLeo hii Consortium ya Toddy Boehly wanasaini mkataba wa kuinunua Chelsea wa Paundi bil 4,