Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii Timu haiuziki aminini nawaambia.
Abramovic aitowe kama Sadaka tu kwa Baraza la Jiji la Fulham ili iwe Timu ya Jiji then ipate kusajili na kuuza then Fulham City Council iiuze kwa utaratibu bila ya pressure kutoka Serikalini.
 
Haiuziki kwa maana ipi?
 
Amini nakuambia Chelsea haitafutwa katika ramani ya ulimwengu wa soka. Wazungu sio wajinga kiasi hiko. Chelsea ni alama ya London haitakua rahisi kuifuta Club kubwa kiasi hicho iliyotoa mamilioni ya ajira ulimwenguni.
 
Hii Timu haiuziki aminini nawaambia.
Abramovic aitowe kama Sadaka tu kwa Baraza la Jiji la Fulham ili iwe Timu ya Jiji then ipate kusajili na kuuza then Fulham City Council iiuze kwa utaratibu bila ya pressure kutoka Serikalini.
Mkuu umeandika kama unaiongelea Green Warriors ya huku MPITIMBI. Wale wazungu wa London sio kama kina Almasi Kasongo wale wa TPLB
 
Klabu ya Chelsea inatumaini Serikali ya Uingereza itaingilia kati uuzwaji wa timu hiyo kwa kushikilia deni la Abramovich ili zoezi la kuuza timu lisikwame
Haya maoni niliyatoa juzi kuwa kwanini kusiwepo akaunti maalumu hizo pesa zikawekwa huko na kushikiliwa hadi sitofahamu ipatiwe ufumbuzi

Nadhani Serikali ya Uingereza ikikubali maoni haya iliyotolewa na klabu ya Chelsea itasaidia uuzwaji usikwame kwa sababu kila kitu tayari, hilo deni tu ndio kikwazo

Madai ya Abramovich ya mnunuzi kuongeza paundi mil 500 limekubaliwa, nasikia Consortium ya Todd Boehly imekubali kuongeza hizo pesa na kwa hiyo kilichobaki sasa ni deni la Abramovich kupatiwa ufumbuzi ili by May 31 kila kitu kiwe kimekamilika na maisha yaendelee kama kawaida
Tusajili wachezaji wa kuziba viraka vya akina Rudiger na Azpilicueta na Christansen na wachezaji wengineo muhimu
 
Official statement by Roman Abramovich on the sale of Chelsea Football Club. [emoji599][emoji838] #CFC

“Mr Abramovich has not asked for any loan to be repaid to him – such suggestions are entirely false”.

Full statement [emoji407][emoji3593]
 
🚨 Chelsea could be excluded from the Premier League next season if they do not find a buyer before June 8.

(Source: Daily Mail)
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…