Ununuzi wa Chelsea utachelewa tena kwa sababu wanunuzi wamelazimishwa kueleza wataendelezaje uwanja ulingana na viwanja vya timu kubwa ulaya
Taarifa za ndani ya mchakato zinasema kuwa wanunuzi wanaweza kupunguza dau hadi paundi bil 2.5 kama ukarabati italazimishwa kama sehemu ya hiyo bid. Ghrama za kukarabati ni kubwa ukichukulia wahusika wa kisheria kwenye mkataba wa umiliki wa uwanja au ujengwe sehemu nyingine ambayo nayo ina tricks nyingi zikiwepo za kisheria za ama kununua jina au kubadili jina
Wanunuzi chinichini wanasema kama watalazimishwa kwa kiwango hicho basi watalazimika kupunguza dau hadi bil2.5
Kwa sababu hii zoezi linaweza kucheleweshwa tena
Raine Group sources have denied there is an extra ‘stage’ to the #Chelsea sale. They also deny any 'significant delays' and still expect to name a preferred bidder by the end of the month.Ununuzi wa Chelsea utachelewa tena kwa sababu wanunuzi wamelazimishwa kueleza wataendelezaje uwanja ulingana na viwanja vya timu kubwa ulaya
Taarifa za ndani ya mchakato zinasema kuwa wanunuzi wanaweza kupunguza dau hadi paundi bil 2.5 kama ukarabati italazimishwa kama sehemu ya hiyo bid. Ghrama za kukarabati ni kubwa ukichukulia wahusika wa kisheria kwenye mkataba wa umiliki wa uwanja au ujengwe sehemu nyingine ambayo nayo ina tricks nyingi zikiwepo za kisheria za ama kununua jina au kubadili jina
Wanunuzi chinichini wanasema kama watalazimishwa kwa kiwango hicho basi watalazimika kupunguza dau hadi bil2.5
Kwa sababu hii zoezi linaweza kucheleweshwa tena
Kwahiyo mzee baba unafurahia hii hali?Ole wenu Msimu ujao ufikie kuanza bado Mchakato wa Manunuzi uwe haujakamilika.
Mutawaita Wachezaji wa Academy waje wacheze Kikosi cha kwanza.
saka wala si mkali kivile. Naona eddie nketiah atawafaa. Ni upgrade ya lukakuSawa tubadilishane tupeni SAKA tuwape PULISIC
Mwaka juzi wakati tuna ban ya kutokusajili. Tuli employ academy na walifanya vizuri sana tena chini ya Lampard na tuliingia top four na tulicheza fainali ya FA. Mkuu hatujisifii ila kuna uwezekano Kingsmeadow na Cobham ni kati ya grounds chache duniani zinazozalisha wachezaji wazuri duniani.Ole wenu Msimu ujao ufikie kuanza bado Mchakato wa Manunuzi uwe haujakamilika.
Mutawaita Wachezaji wa Academy waje wacheze Kikosi cha kwanza.
Tunao uzoefu na bado tutabaki top 4Ole wenu Msimu ujao ufikie kuanza bado Mchakato wa Manunuzi uwe haujakamilika.
Mutawaita Wachezaji wa Academy waje wacheze Kikosi cha kwanza.
Unaongeaga pumba mpaka nawaza hivi wewe kweli unamarafiki?Hata Manula angewapa Europa na Super cup
Kwahiyo mzee baba unafurahia hii hali?
Basi kameze wembe na pilipili mbuzi ukalaleSana tu
Unaziona hizi pumba kwakua wewe ni nguruweUnaongeaga pumba mpaka nawaza hivi wewe kweli unamarafiki?
Haitakuwa mara yakwanza Chelsea kufanya hivyo, umesahau mwaka juzi walipofungiwa kufanya usajili walifanya nini.Ole wenu Msimu ujao ufikie kuanza bado Mchakato wa Manunuzi uwe haujakamilika.
Mutawaita Wachezaji wa Academy waje wacheze Kikosi cha kwanza.
Kama wajinga waliomtimua unai Emery na kumchukua arterta [emoji16]Unamnunua Lukaku mara ya kwanza anaflop unamuuza.
Unamnunua mara ya pili anaflop kama mwanzo.
Wajinga wapo wengi.
At least Kwa uwepo wake nyakati tofauti tulipata mataji Europa na super cup....hayo hutokuja uchukue Labda kroenke auze timuNafikiri neno unalolitafuta ni 'Majinga ya London'
Kepa for 72M.
Haitakuwa mara yakwanza Chelsea kufanya hivyo, umesahau mwaka juzi walipofungiwa kufanya usajili walifanya nini.
Tuliwaingiza vijana ambao wanafanya vizuri sasa hiviThen kilitokea Nini zaidi ya kumtukana Lampard na kugombania Top Four?