Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,745
Kwamba rudiger kakataa huuu mkwanja,itakuwa uongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na yeye anataka £400k Nini ,Sasa timu gani itampa#Chelsea's last contract offer to Antonio Rudiger was worth £230,000-a-week.
[via @SJohnsonSport]
Source zinasema agent wake tena alitaka 10MKwamba rudiger kakataa huuu mkwanja,itakuwa uongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na yeye anataka £400k Nini ,Sasa timu gani itampa
Yote haya kayataka marina,SAUL ni kituko
Its's a chelsea thingArsenal lost 3 PL games on a bounce, beats Chelsea and revives their form. Man United losing 2 PL games on a bounce
FT: Man United 4-1 Chelsea.
Kama kawaida unaweza kutuita CHARITY FC
#Chelsea's last contract offer to Antonio Rudiger was worth £230,000-a-week.
[via @SJohnsonSport]
Rudiger kwa umri aliokua nao hili ndo deal lake kubwa la mwisho yeye na Agent wake hawawez kufanya makosaSource zinasema agent wake tena alitaka 10M
Tho inasemekana mshahara ambao madrid watampa ni 280-300K
pulisic namuelewa. Kama hamna kazi nae mleteni kwetu.View attachment 2198745
MMILIKI MPYA, THE BLUES MPYA.
Rudger - Ameamua kuondoka
Lukaku - OUT
Christensen - OUT
Sarr - OUT
Pulisic - OUT
Jognho - OUT
Barkely - OUT
Azpilicueta - OUT
Saul - OUT
Alonso - OUT
Huyu pulisic sion akiondoka, yuko kibiashara zaidi huyuView attachment 2198745
MMILIKI MPYA, THE BLUES MPYA.
Rudger - Ameamua kuondoka
Lukaku - OUT
Christensen - OUT
Sarr - OUT
Pulisic - OUT
Jognho - OUT
Barkely - OUT
Azpilicueta - OUT
Saul - OUT
Alonso - OUT
Hary Kane ni mchezaji wa ajabu
Ni bahati yake mbaya tu anaichezea timi ndogo isiyo na uwezo wa kubeba makombe.
Anacheza namba zote uwanjani. Hata ugolie anaweza huyu akawazidi makipa wengi wa EPL.
Namsikitia umei na career yake inaishia Spurs timu aliyojitahidi kutoa yote kwake bila mafanikio makubwa kama ilivyostahili
Katika forward wakubwa watatu kwa sasa EPL nadhani ni yeye, Salah na mwenzake Son
Angekuwa city saizi angekuwa anapaa na ndege kwenda Madrid kutazamwa na dunia nzima CL [emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwenzake walker alishtuka mapema akaja chamaniHary Kane ni mchezaji wa ajabu
Ni bahati yake mbaya tu anaichezea timi ndogo isiyo na uwezo wa kubeba makombe.
Anacheza namba zote uwanjani. Hata ugolie anaweza huyu akawazidi makipa wengi wa EPL.
Namsikitia umei na career yake inaishia Spurs timu aliyojitahidi kutoa yote kwake bila mafanikio makubwa kama ilivyostahili
Katika forward wakubwa watatu kwa sasa EPL nadhani ni yeye, Salah na mwenzake Son
Huwezi kuwaondoa wachezaji wote hao kwa wakati mmoja. Amini nakwambia hapo wanaweza kuondoka 2-3 ukitoa Chris ambaye anaenda Barca na Rudiger ambaye ataondoka.View attachment 2198745
MMILIKI MPYA, THE BLUES MPYA.
Rudger - Ameamua kuondoka
Lukaku - OUT
Christensen - OUT
Sarr - OUT
Pulisic - OUT
Jognho - OUT
Barkely - OUT
Azpilicueta - OUT
Saul - OUT
Alonso - OUT