Kutokana na Arsenal ilivyo nazani pale mbele aanze Lukaku badala ya Kai itakuwa vizuriVs Asenyani
---------WERNER ----- KAI ----- MOUNT ------------
ALONSO ---- KANTE --- CHEEK -------- JAMES
----- RUDGER ------ SILVA --- CHRISTENSEN---
[emoji117] Werner:- amekuwa kwenye kiwango bora sana, aendeleze moto wa assist + goals.
[emoji117] Cheek:- Leo apige pass na dribbling zake kwenda mbele na kuungana na Werner, Kai, Mount kwenye kushambulia.
[emoji117] Leo ni mechi ya kuonea dagaa
[emoji117] Point 3 muhimu.
Vs Asenyani

CHELSEA AKISHINDA LEO MNIBAKE
Wanaume bado wanaendelea kutafuna icho kipipi. Jana ilikua zamu ya Liverpool wiki ijayo zamu yanguNyie kongolo fc kumbe bado mjacheza na sisi naliza tuwapapase tunaanza na wenzenu majogoo leo
GGM.
Unasema Arsenal amfunge Chelseafc? au sijakuelewa vizuri,ebu kuwa seriously unaona nikitukinachowezekana!.Ingawa sitegemei Hilo lakini mpira hauna unaweza kufungwa pale usipotegemea! Hivi Arsenal itokezee Akubahatishe akupige je leo utajisikiaje kina WillJr na Castr watakapojazana hapa?
Labda itokee team yetu wameingia wakiwa wamepiga mbususu zakutosha na ulanzi lakini tofauti na hapo hakuna namna Unaweza kusema Arsenal anapata matokeo dhidi ya ChelseaIngawa sitegemei Hilo lakini mpira hauna unaweza kufungwa pale usipotegemea! Hivi Arsenal itokezee Akubahatishe akupige je leo utajisikiaje kina WillJr na Castr watakapojazana hapa?
Utabakwa mpaka ufe wwCHELSEA AKISHINDA LEO MNIBAKE
Ameshabakwa na banUtabakwa mpaka ufe ww
Leo Kai anapumzishwaVs Asenyani
---------WERNER ----- KAI ----- MOUNT ------------
ALONSO ---- KANTE --- CHEEK -------- JAMES
----- RUDGER ------ SILVA --- CHRISTENSEN---
[emoji117] Werner:- amekuwa kwenye kiwango bora sana, aendeleze moto wa assist + goals.
[emoji117] Cheek:- Leo apige pass na dribbling zake kwenda mbele na kuungana na Werner, Kai, Mount kwenye kushambulia.
[emoji117] Leo ni mechi ya kuonea dagaa
[emoji117] Point 3 muhimu.
Peleka hiyo takataka kule ManureCHELSEA AKISHINDA LEO MNIBAKE
Tumetoka kushindwa mechi mbili mfululiza pale darajani, Arsenal hawataweza kutufanya kichwa cha mwendawazimuIngawa sitegemei Hilo lakini mpira hauna adabu unaweza kufungwa pale usipotegemea! Hivi Arsenal itokezee Akubahatishe akupige je leo utajisikiaje kina WillJr na Castr watakapojazana hapa?
Chama letu leo naliamini litamfunga huyu arsenal anayetangatanga
Amia mazima Chelsea usiichie tu kuibetia upate raha Man u itakuzeesha wewe wake upNyie kongolo fc niko upande wenu leo nawaombea mshinde msiniangushe sasa.
The blues[emoji170][emoji170]
Aisee nyie jamaa nawategemea leo , mkichana mkeka kesho nalala bila umeme 🐒Amia mazima Chelsea usiichie tu kuibetia upate raha Man u itakuzeesha wewe wake up