last king of uscoch
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 2,762
- 4,006
Mbele ya ederson na alison kuna Alonzo na Christensen si ndio?Hizo rersponse zako ndizo za uchwara
kwa taarifa yako tu hadi sasa EPL tu Alisson na Ederson wana cleansheet 17 wanaofuata Hugo na Mendy 12, sasa uchambuzi wa nani ndio uchwara kijana usifikiri kabla hujaongea
Hakutajwa na hayupo kwenye orodha ya majeruhiAzip si anaumwa corona, amepona?
Kabla hujachanganya mafaili rejea ulichojibu na mimi nimekujibu hivyo hivyoMbele ya ederson na alison kuna Alonzo na Christensen si ndio?
Azpi kaanza bana Christansen OUTAzip si anaumwa corona, amepona?
Tena kawekwa katikati na ameanza kufanya kazi yakeCHRISTENSEN ameanza.
Palace hata akiwa kwenye form tunafungaga sio chini ya 3Nasimama na crystal palace
Halafu aliye benchi ni SaulPartnership ya JOGNHO na CHEEK ni kimeo kwenye kiungo, wote wavivu na wazito kukaba. Soon kiungo yetu itajeuka kuwa lango la walanguzi.
Ila kwa jorginho tusitegemee makubwa labda wamuingize Lukaku na Saul tubet kwa hao jamaa.The only positive from first half ni kutoka kwe Mendy na mabeki the rest miyeyusho....
I think hii kiungo ya RLC na jorge ni miyeyusho.....
Cheeek goaalCheek anacheza vizuri sijui kwa nini hakibaliki
Huyo akae hukohuko aliko....Tt amtoe Havertz amuingize Pulisic au Lukaku
Hataki kuzoelekaTT amedelete lile file la Madrid.