Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jana werner amecheza vizuri kuliko Pulisic tuluyekuwa tunamtegemea.

Kile kikosi cha jana kianze kila match.
 
Mashabiki wa liverpool na yule dogo wa mancity wamefurahi sana Chelsea kutolewa kwani ndiyo ilikuwa timu ya kikwazo kwao.


Nawatakia kila la kheri Liverpool na Man city fans ubingwa mwema. Mshindwe wenyewe.

Hivi nyinyi Rent boys akili mutazupata lini? Man City kakupiga Nje Ndani bado unasema wewe ni kikwazo?
Unaanzaje kuwa kikwazo kwa Liverpool?
 
Wazo zuri Sana Kwa shabiki wa Chelsea.

Tusubiri mawazo kama haya Kwa mashabiki wa Arsenal pamoja na Man UTD wanasemaje kuhusu timu zao[emoji16]
 
Chelsea Jana kaupiga mwingi ila kama kawaida CL ni uchawi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Hakuna cha uchawi wala nini isipokuwa TT tu kashindwa mipango midogo ingawa mashabiki wake wameshindwa kulielezea.

Timu inaongoza 3 - 0 baada ya ya kupunguza mshambuliaji mmoja kati ya watatu waliokuwemo na kuingiza kiungo Mkabaji au beki ili kuweza fanya Timu icheze Defensive minded! Yeye ndiyo kwanza alikazania kushambulia na kufunguka utadhani ni mechi za mzunguko wa Ligi na si knockout.
 
Tutatufe 1CB huku tukimuongezea Rudiger mkataba, then rudisha Levi Colwill
Tutafute back up za James n Chilwel hata kutoka academy wanaoweza kutupa hata nusu ya wanachotupa hao wawil

Tutafute namba 6 mwingine kante pumzi ishaanza kukata,
Rudisha Gallagher mpe nafasi

Tutafute striker ambae ataendana na mfumo wa tuchel, sio lazima awe anajulikana

Pulisic-Ni failed project, huyu yuko kibiashara zaid kwa wamarekani, sioni akiuzwa
 
Wangepaki basi kijanja.mshambuliaji mmoja mbele viungo 5.wasingetoboa Rm
 
Aiseeh yule Modrick anazeeka na utamu wake, ile outer ilivyopigwa huwezi amini kama ingezaa goli.

Narudia tena MODRICK ni fundi bwana[emoji1].
Hiyo staili ya kupiga mpira alifunga goli WC 2018, walikuwa kwenye mtoano wakasonga mbele
 
Camavinga sio DM. Weka rekodi sawa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…