Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ila wazee leo naona bahati iko upande wetu, naona tukimtoa Madrid baada ya aggregate kuwa 3-3.

The BLUES ile ninayoifahamu ya kila mchezaji yuko kwenye ubora wake. Ulinzi shirikishi, ushambualiaji kila upande.

Tunamtoa Madrid. Believe that
Kwahiyo kwa akili yako gemu ikiisha aggregate 3-3 chelwowo inapita hahaha

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
Leo tuchelewe atakuja na maajabu gani?

Leo nimeomba magoli mawili tu, mufunge nyie au mufungwe i don’t care, muhimu yazame mawili kunako banyavu.
 
NI 3-4-3 tofauti na hapo livescore walivyoonesha....rlc anacheza RWB na James anacheza RCB
Ni 4-3-3 sema TT Kai expand kuwa 4-3-2-1

Namba 6= Kova
Namba 7 =Mount
Namba 8 = Cheek
Namba 9 =Harvetz
Namba 10= Kante
Namba 11= Timo
 
Benzema Leo inatakiwa wamkabe watu 10 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
wakubwa naomba tusaidiane link au app ya kucheki hii mechi live...
kama wewe ni active member wa package yeyote ya DSTV tumia hii hapa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…