John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,042
Mmh Mzee huyo ameajiliwa kama mshauri na nick candy na si bilioneaGianluca Vialli (Muitaliano) ambaye ni bilionea anayemsuport Nick Candy kwenye kuinunua Chelsea alishawahi kuichezea Chelsea kama na 9 na pia kuwa meneja wa timu. Baada ya kustaafu soka mwaka uliofuatia yaani 99/00 alikuwa rasmi manager wa Chelsea na alishinda FA Cup, League Cup, UEFA Cup Winners Cup and UEFA Super Cup
Sasa anataka kurudi kama mmiliki wa Chelsea
View attachment 2154828
Kampa cheo kikubwa sana zaidi yakeMmh Mzee huyo ameajiliwa kama mshauri na nick candy na si bilionea
Hapo kweli nimechemkaMmh Mzee huyo ameajiliwa kama mshauri na nick candy na si bilionea
Draw saa ngapi??Makocha wanaoongoza kwa kufika nusu fainali za UEFA ni Kipara na Jose. Wamefika nusu finali nane wakiwa kama makocha
Muda huu saa naneDraw saa ngapi??
Hao pa kuwakamatia ni mabeki tu wawe wazima,hawa real msimu huu wamebadika sana chelsea inabidi ajipange vizuri