Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wamezuia hata washabiki kununua ticket kuingia kuangalia team zao hakuna kununua jezi hakuna kununua au kuongeza mkataba wa mchezaji kama huna nia ya kuuwa team ni nini? mfungie huyo owrner ambaye miaka 19 walifunga macho hata wakati Russia wanapiga Syria na kuuwa watu walikuwa kimyaa leo macho ya blue ndio binadamu hawa wengine mbwa. Hakuna mtu anapenda vita ila sote tunapenda kuona haki na maisha yote kuwa sawa. Russia kauwa sana watu Syria walikuwa wapi hawa UK? Double standard inaumiza sana usiombe ya kukute kuona huthaminiwi kwa sababu ya uraia wako au rangi yako inauma. Watuachie mpira wetu kama wao wanaume waende kupigana. Kama wana jeuri wapokonye Man city na Newcastle maana Saudia na UAE mwaka wa saba wanapiga Yemen na ndege watu kibao wamepoteza maisha hao sio watu?
Kiukweli walichofanyiwa Chelsea ni ungese mtupu! Ni wapinzani wangu lakini kwa hatua hii hata ladha ya Mpira imekufa kabisa!

Mpira unakokotwa na matukio ya kisiasa ya upande mmoja tu, mambo ya kishamba sana.

Wanaikomoa Chelsea baadala ya kumkomoa R.A

Sijapenda kwakweli

YNWA!
 
The UK government views the British property tycoon Nick Candy and a consortium headed by Todd Boehly and Hansjörg Wyss as serious contenders to buy Chelsea after inviting potential bidders to approach it with takeover proposals.

- @guardian_sport
Hao watakuwa wamemkazia Yule mturuki Kwa kuwa n rafiki yake na Roman
 
Breaking: #Chelsea could be allowed a return to selling tickets for future matches by donating all profits as humanitarian aid to Ukraine.

[@pasport via @NickPurewal]
 
Hao watakuwa wamemkazia Yule mturuki Kwa kuwa n rafiki yake na Roman
Hapa naona tukiangukia kwa yankee o watoto wa malkia

Bwana Boehly 2019 kama sijakosea alipeleka ofa kwa roman kununua club,roman akakataaa, vile vile ni mmoja wa wamiliki wa LA Dodgers (MLB)

Candy huyu ni shabiki wa chelsea, vile vild ni muingereza, utajiri wake unakadiriwa ni 1.5BN
 
The government have opened negotiations with Roman Abramovich's advisers over the terms of the sale of #Chelsea, which Downing Street is eager to push through as quickly as possible.

[via @MailSport]
 
Chelsea’s bank account has been temporarily suspended by Barclays following sanctions placed on Roman Abramovich by the UK government


As a result of #Chelsea's credit cards being temporarily suspended, it has meant they have currently been left unable to buy fuel for the team bus.

[via @TheAthleticUK]

Sasa hii ni vita kati ya uk gvt na chelsea,
 
Kiukweli walichofanyiwa Chelsea ni ungese mtupu! Ni wapinzani wangu lakini kwa hatua hii hata ladha ya Mpira imekufa kabisa!

Mpira unakokotwa na matukio ya kisiasa ya upande mmoja tu, mambo ya kishamba sana.

Wanaikomoa Chelsea baadala ya kumkomoa R.A

Sijapenda kwakweli

YNWA!
Hao kama sio Arsenal, ni Manure
 
Hao wafadhili uchwara wanaojitoa kwa kuiona Chelsea ndie Roman ni wapuuzi sana. Chelsea ni Chelsea na itaendelea kuwepo hata Abramovich akiekewa vikwazo. Hongera Nike kwa kutenga mambo binafsi na biashara. Mimi sioni kuna uhusiano gani kati ya Chelsea na Abramovich zaidi ya umiliki. Kama Abramovich kafungiwa si Chelsea inaendelea chini ya mmiliki mwingine na business inaendendelea. Muda huu ndio rafiki wa kweli anajulikana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom