Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Final ipi mmecheza na psg ,embu tukumbushe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Copy right alipotupiga pale Asian Aliance Arena[emoji28][emoji28] Baadae tembo mwenyewe Didie Drogba kasawazisha na the same header[emoji1787][emoji1787]
Ile ya Drogba sio ya kufananisha na Muller. Ilipigiwa rula na kufanyiwa zile formula za projection kwenda kwenye ile angle ya 90 degree. Kama huamini nenda kaangalie replay na hasa maneno ya mtangazaji
 
Acha uduanzi wewe, kwahiyo kama kuna mambo hayapo sawa tusicriticize kisa ametupa makombe, morinho ni moja ya makocha walioipa chelsea heshima ya makombe, lakin alivyozingua alitimuliwa vile vile.

Kukosoa ni moja ya njia kujenga.
Huna lolote umejaa ujuaji wa kishamba tu kwan kila jambo llazima uje na criticism ni nan ambaye hakosei
Ww umefundisha timu gan ili tuone ubora wako

Maviiiii takataka ghasia na ulimbukeni tu unakusumbua
 
Embu tuliza papa hilo lililoshavimba. Kwa hiyo mtu haruhusiwi kukosoa mpk awe amefundisha timu?, we mtoto kweli *****.
 
Embu tuliza papa hilo lililoshavimba. Kwa hiyo mtu haruhusiwi kukosoa mpk awe amefundisha timu?, we mtoto kweli *****.
Maviii kujifanya unajua huna lolote limbukeni tu
 
Ile ya Drogba sio ya kufananisha na Muller. Ilipigiwa rula na kufanyiwa zile formula za projection kwenda kwenye ile angle ya 90 degree. Kama huamini nenda kaangalie replay na hasa maneno ya mtangazaji
Ile kichwa ilikuwa hatari sana. Nilikaa na jamaa moja wa Man u akasema mamaaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa uchezaji wetu sidhan kama tulimuhitaj lukaku,
Tunastruggle anapokuwepo,

Nigame mbili mpk 3 za ligi ndio hatukustruggle uwepo wake
Against arsenal, na vs aston villa zote za home n away,

Ila zilizosalia nikama tunastruggle tu akiwepo
 
Mwenzio anasemea ya ps4[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu mvimba macho naona alikuwa kala cha Arusha [emoji28][emoji28] et final psg vs Chelsea harafu Chelsea atafika matuta aisee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bangi za majaribio hiz
 
Tuchel sasa ana changamoto kubwa
Havertz yuko kwenye form na kasema nafasi inayomfaa ni no. 9 na ameonyesha kwa vitendo
Lukaku yuko mzima hana majeruhi na mchezaji wa pesa kubwa anaweza kukaa benchi kweli?
TT kadai mechi ya jana kamuweka benchi Lukaku wa sababu anadhani yuko exausted
Je jumapili ataendelea kukaa benchi au atarudi uwanjani?
Hii mimi naiona kama changamoto kubwa kwa sababu bodi ya Chelsea hawatakubali kuona mradi wao mkubwa waliowekeza kwa Lukaku inakuwa wasted kwa kuwekwa benchi akiwa mzima. Na TT kwa upande wake anaona kumchezesha Havertz ndio itaipa timu ushindi dhidi ya Liverpool.

Mimi naona TT angeendelea kumuweka Lukaku benchi

Twende na hii format 3-4-3

Werner -----------------Havertz --------------------Mount

Alonso ------- Jorgninho ------ Kante ---------Azpilicueta

Rudiger ----------------- Silva -------------------Christansen

Mendy
​
Asumption
Ziyech na Kovacic watakuwa majeruhi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…