Tulikuwa tunashinda game, lakini ndo hivyo tena. Marefa wanamwogopa babu Fergi, siku akistaafu imekula kwa Manure. Babu kukaa kwenye bench pekee ni kama point 10 mpaka 15 kwa msimu wanapewa za bure.
Another humiliation For ChelseaAnother humiliation to Benitez
Another humiliation to Benitez
We got what we deserve, a whooping!
Inashangaza sana siku Arsenal inacheza kuona Peasant,Mentor na wengine wako jukwaa la Arsenal wakimwaga ushuzi wao...
Lakini timu yao inapocheza wanaingia mitini...Mnashangaza sana....Angalau Home Boy Masanilo yeye ana ujasiri wa kutoa pole kwa wenzake....Kama ilivyo kwa Invisible, Ab Tichaz, Rev Kishoka na Maxence Melo...

Asante jirani....Pole kwa kipigo...taratibu jirani, nipo nimejaa tele hapa Darajani. Hongera kwa ushindi wa jana, at least umepumua sasa.
Kumbe umehamia City siku hz!! Hongera kwa uamuzi mgumu
Another humiliation to Benitez