Shida haiko kwa TTHahahahaha ......... nacheka sana watu mlivyomgeuka Lukaku, wakati anataka kununuliwa tupo wawili humu tulikua tunamkataa kwamba tutapgwa ila watu walikua wabishi. Muda ndio umeongea.
Halafu pia Lukaku sio mbovu hivyoooo. pale chelsea hata akija Halland bado ataonekana mzigo.na pia hata aje mchezaji mithili y Fab bado kuna tatizo. Naanza kupata mashaka na ufundishaji wa TT.
You never know kwanini anajaribu kumfiti....TT sjui amekuaje. I know he is better than what he is currently doing. Asipoangalia hii mambo ya kujaribu kum fit Lukaka itam cost kazi
Shida akimpiga Benchi sidhani kama akina marina watamuelewa.Nafikiri aaamue ampige chini au amkumbatie kibarua kiote ndoto
Sajili striker mwingine halafu ndio upige benchi Lukaku.Keppa alivyovurunda alipigwa benchi na £80M yake.
Iweje Lukaku akumbatiwe?
Mfano mechi dhidi ya Aston Vila Dec 26, alitokea benchi akafungaShida akimpiga Benchi sidhani kama akina marina watamuelewa.
Si vibaya napoChief tutakuwa club ya kusajili mastriker tuu.
Tumrudishe Batshuayi [emoji848]
Impossible angle🥰🥰🥰Ziyech GoalView attachment 2124192
Red Bull sio BundesligaTuachane na players kutoka bundasliga
Chelsea is bigger than LukakuKeppa alivyovurunda alipigwa benchi na £80M yake.
Iweje Lukaku akumbatiwe?
Aje mapema bhana ili next season tuwe imara zaidi tuchukue eplRoman Abramovich is considering bringing former Barcelona technical director Ramon Planes to the club to help with the Blues' sporting project, according to reports.
Several top clubs in Europe are 'probing' Planes according to Sport in Spain, via Sport Witness, with several 'offers on the table' already for the 54-year-old.
Planes left his role at Barcelona in November 2021 after requesting to depart following two years at the club.
Since being out of work, Planes has been linked with many clubs including in La Liga, but it's claimed that it is 'almost certain' he won't return to another club in Spain in his next role.
Abramovich, who was in attendance for Chelsea's Club World Cup final win over Palmeiras on Saturday in Abu Dhabi, is looking to improve the club's sporting project and is thinking of bringing Planes to Stamford Bridge.
Chelsea have already met with Planes for discussions, as per reports, as have another unnamed English club.
Abramovich currently leans on Marina Granovskaia, Chelsea's director, as his right-hand woman to run the day-to-day show at Stamford Bridge.
His choice has paid off with Granovskaia becoming one of the most respected names in the boardroom in world football.
Planes has been labelled as instrumental in 'discovering' young talents like Gavi, Pedri and Ronald Araujo.
Kwan Ufundishaji wake upoje ?Hahahahaha ......... nacheka sana watu mlivyomgeuka Lukaku, wakati anataka kununuliwa tupo wawili humu tulikua tunamkataa kwamba tutapgwa ila watu walikua wabishi. Muda ndio umeongea.
Halafu pia Lukaku sio mbovu hivyoooo. pale chelsea hata akija Halland bado ataonekana mzigo.na pia hata aje mchezaji mithili y Fab bado kuna tatizo. Naanza kupata mashaka na ufundishaji wa TT.
Kama wa lampard.Kwan Ufundishaji wake upoje ?
Tunaweza kuwa tunamlalamikia lukaku ila kuna wakat wachezaj wetu nao unakuta hawampi mipira, kuna mda kabisa unaweza ona lukaku akinyoosha mkono ili apate mpira ila cha ajabu utakuta huo mpira unapigwa back pass or unapelekwa pembeni.
Tunajaribu kumpa pale anapokuwa ashazungukw ila akiwa yuko na bek mmoja unakuta hapati,
Hatuna mid aina ya kina lampard or fab mwenyejicho la kumuona striker amekaa wapi
Kwa wachezaj tulionao hata drogba or costa nao wangestruggle kufunga
Tuliwaambia chelsea mmesajili furushi lile ila hamkutaka kusikia [emoji23][emoji23]Ni mara ngapi anapewa cha ajabu anashidwa ata kutuliza mpira wenyewe. Mle hamna mchezaji ni mwili tu amejaza, straka gani anapokea mpira huku kamlalia beki tena goli kalipa mgongo. Yule jamaa anakera sana
Mkuuu lukaku wala si wa kumteteaTunaweza kuwa tunamlalamikia lukaku ila kuna wakat wachezaj wetu nao unakuta hawampi mipira, kuna mda kabisa unaweza ona lukaku akinyoosha mkono ili apate mpira ila cha ajabu utakuta huo mpira unapigwa back pass or unapelekwa pembeni.
Tunajaribu kumpa pale anapokuwa ashazungukw ila akiwa yuko na bek mmoja unakuta hapati,
Hatuna mid aina ya kina lampard or fab mwenyejicho la kumuona striker amekaa wapi
Kwa wachezaj tulionao hata drogba or costa nao wangestruggle kufunga