Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,747
Unapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa unakenua meno kama chizi aliyeona jalala jipya ....Nadhan pep amekula desa la kutosha View attachment 2117836
Yaani hata ushindi huu sikuusheherekea vizuri kwa sababu Chelsea haikucheza vizuri
Mabeki wamekaa na mpira tukaonekana tuna possesion ya 70%
Werner ndie kaingia akaichangamsha kule mbele
Huu ndio ukweli ukiangalia game za Chelsea hivi karibun unaliona kabisa hili, timu haina muunganiko kabisa wachezaji wameshafika kileleni na kuridhika, game ya jana yenyewe ni Mungu alikuwa upande waoKombe tumebeba kwa kubahatisha, Ukweli Chelsea mbovu hakuna jina jingine
Katikati hakuna ubunifu na mbele ni walimbwene wa kujionyesha mbele tu, kufunga magoli hawawezi
Mkuu lembu thats nosense luck is part of the game, in soccer we count trophies not how you got them........tena luck sio kwa Chelsea tu kila timu ina equal rights ya lacky chelsea imejianda vizuri kutumia hiyo bahati unao sema tuko wa tatu kwenye Epl sio by accidentally ni uwezo, wewe unadhani Arsenal TTnam Man u hawataki kua kwenye nafasi ya nne au ?Kombe tumebeba kwa kubahatisha, Ukweli Chelsea mbovu hakuna jina jingine
Katikati hakuna ubunifu na mbele ni walimbwene wa kujionyesha mbele tu, kufunga magoli hawawezi
Sahihi kabisa kaka.Jana nilichoona kipindi cha kwanza tulicheza kawaida sana kwa sababu ya hali ya hewa JOTO KALI.
Ndio maana wachezaji walikuwa wanavuja jasho sana + misuli kuwaka moto.
Kipindi cha pili na kuendelea hali ya hewa ilianza kuwa afaueni + zile SUB tukarudi kwenye ubora wetu.
Opponent wetu akaelekeza nguvu kwenye kukaba zaidi hivyo nafasi za kufunga zikazidi kuwa finyu zaidi.
Pamoja na madhaifu ya safu yetu ya ushambualiaji kutofunga magoli mengi pia zaidi timu bado inaendelea kuteseka kuwamiss Chilwell + James kwenye mashambulizi.
Odoi hauzwi kwa sababu ya philosophy ya club kwamba wanahitaji timu itengenezwe kutokea Cobham academy.[emoji117] Tulistahili kupokea ile ofa £85M ya Buyern Munich kwa ODOI. Tulipiga teke furushi la pesa
Kaka werner ana maisha marefu sana Chelsea. Na ni chaguo la TT. Uwepo wa kocha mjerumani unawapa amani sana wachezaji wa kijerumani wote walioko kikosini.[emoji117] Dirisha kubwa la Usajili sioni WERNER akipona kutouzwa huko Bundersliga
Sijaiona Real Madrid hapo.Chelsea yawa timu ya tano kushinda makombe yote makubwa
Zingine ni
Kama timu yako haiko kwenye list kula wembe na pilipili mbuzi ukalale
- Juventus
- Ajax
- Manchester United
- Bayern Munich
Real Madrid hawakushinda makombe yote makubwa kwa sababu hawana kibindoni Cup Winners Cup na hawatakuwa nayo kwa sababu hilo kombe lilifikia ukingoni mwaka 1999. Timu ya mwisho kushinda hilo kombe ilikuwa ni Lazio ya Italy. AC Milan ni timu ya pili baada ya Real Madrid iliyofanya vizuri sana kwenye UEFA kwa kubeba mara saba lakini haikuwahi kushinda UEFA Cup/Europa League.Sijaiona Real Madrid hapo.
Never sell Odoi, Never sell WernerLet's wait and see
Sitaki Werner auzwe ila natamani niingie uwanjani nimchape viboko 12 za matakoni kwa sababu siku akiamua kuudhi anaudhi kweli kweli, siku akiamua kucheza vizuri anacheza vizuri kweli kweliKaka werner ana maisha marefu sana Chelsea. Na ni chaguo la TT. Uwepo wa kocha mjerumani unawapa amani sana wachezaji wa kijerumani wote walioko kikosini.
Pia werner bado ni mzuri sana.
Kweli braza werner akiamua kutukera anajua sana kutuudhi.Sitaki Werner auzwe ila natamani niingie uwanjani nimchape viboko 12 za matakoni kwa sababu siku akiamua kuudhi anaudhi kweli kweli, siku akiamua kucheza vizuri anacheza vizuri kweli kweli
Lucky is part of the game but not part of the plan, ukitegemea bahati kwa ubovu wa timu kama hii sasa, tutaendelea kushinda makombe ya semi final na final tu lakini kwenye complete league kama EPL never will we win the title or top 4. Kocha abadilishe timu iache kubahatisha ili tubakie top 4, badala yake hakuna, bahatisha haitatufikisha mbali BROMkuu lembu thats nosense lucky is part of the game, in soccer we count trophies not how you got them........tena lacky sio kwa Chelsea tu kila timu ina equal rights ya lacky chelsea imejianda vizuri kutumia hiyo bahati unao sema tuko wa tatu kwenye Epl sio by accidentally ni uwezo, wewe unadhani Arsenal TTnam Man u hawataki kua kwenye nafasi ya nne au ?
Unamuuza kwa hiyo baada ya misim miwil unamuhitaj kwa zaidi ya hiyo pesa[emoji117] Tulistahili kupokea ile ofa £85M ya Buyern Munich kwa ODOI. Tulipiga teke furushi la pesa
Sawa ila kutegeneza timu sio mchezo Liverpool ilichukua miaka 25 ku tegeneza wining team hiyo unao iona, Chelsea ni nzuri hapo ilipo inahitaji only 1 self motivated en talented player kuiongoza tu, kua nafasi ya tatu katika Epl sio mchezo tena kumbuka na uwezekano wa kua mabingwa upo japo sio % kubwa, timu nyingi zinatamani kua nafasi ya tatu, ila zimeshindwa kwahiyo uzibeze timu yetu,.....soccer is all about winning trophies ambacho tumefanikiwaLucky is part of the game but not part of the plan, ukitegemea bahati kwa ubovu wa timu kama hii sasa, tutaendelea kushinda makombe ya semi final na final tu lakini kwenye complete league kama EPL never will we win the title or top 4. Kocha abadilishe timu iache kubahatisha ili tubakie top 4, badala yake hakuna, bahatisha haitatufikisha mbali BRO
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzee hizo ni shida zako binafsi.
Hao wapinzani nao walikuwa wako vizuri bingwa wa South America ulitegemea acheze kama lipuli Fc match ya final? Au unafikiri na yeye hilo kombe alikuwa halitaki?
Mpira kukaa kwa mabeki ndo njia bora zaidi ya ku defense na ku attack ndo maana Thiago Silva kapewa tuzo ya mchezaji bora wa haya mashindano means alichokuwa anakifanya ni sahihi na ndo sababu ya sisi kuwa mabingwa.
Tumefika final tumebeba kombe kama hauna furaha hizo ni shida zako binafsi... Na next week ujiandae tena kutokufuraiha coz kombe la ligi tuko na Liverpool na uhakika tutacheza hvhv na tutamfunga na kikombe tutakileta Stamford bridge.
Hiyo ni mind game tu makocha wanajua kuitumia sanaNadhan pep amekula desa la kutosha View attachment 2117836