Kwani goli 15+ alizofunga wakati wa FL alisaidiwa?Tammy hamna kitu huyu kwa epl hawezi huko huko araga'aa tu
Na huo ujinga wa kununua ready made aliuanzisha Mourinho. Akawakataa watoto wadogo akina Salah, Lukaku na De Bruyne.City wanaajiri vijana wasiojulikana bei ya kawiada halafu baadaye wanajengwa kuja kuwa mastaa
Sisi tumeng'ang'ana na akina Lukaku, Kane, Haaland. Majina makubwa makubwa halafu yakija huku yanakuja kuflop
Si bora ununue mchezaji wa mil 15-20 akaflop kuliko kumnunua mchezaji wa mil 100 halafu anaflop huku ametia hasara tu
View attachment 2096392
Broja ni kama costa tu, board yetu ijiangalie tusijefanya mistake nyingineView attachment 2096401
- Kwa umbile la Broja
- Kwa urefu wa Broja
- Kwa compusure akiwa na mpira
- Kwa running anazofanya bila mpira
- Kwa karisma aliyonayo
- Broja atakuja kuwa bonge la forward calibre ya Kane
- Bodi ya Chelsea wakimuuza dunia nzima itawacheka
Usisahau ni Man City hiyo hiyo ikiwa chini ya Pep Kipara ilishtakiwa kutumia pesa nyingi sana ktk kusajili wachezaji wapya tena wakati huo huo ilikuwa ni timu pekee UK kutumia pesa nyingi sana zaidi ya £900 tangu Pep Kipara atinge hapo Man City kuliko timu zote zinazoshiriki EPL.City wanaajiri vijana wasiojulikana bei ya kawiada halafu baadaye wanajengwa kuja kuwa mastaa
Sisi tumeng'ang'ana na akina Lukaku, Kane, Haaland. Majina makubwa makubwa halafu yakija huku yanakuja kuflop
Si bora ununue mchezaji wa mil 15-20 akaflop kuliko kumnunua mchezaji wa mil 100 halafu anaflop huku ametia hasara tu
View attachment 2096392
Epl mtuachie sisi wanaume ,hamna pumzi nyieKwa mechi hizi tukiwa serious tunaludi kwenye mbio za ubingwaView attachment 2096516
Kwa mechi hizi tukiwa serious tunaludi kwenye mbio za ubingwaView attachment 2096516
Usisahau ni Man City hiyo hiyo ikiwa chini ya Pep Kipara ilishtakiwa kutumia pesa nyingi sana ktk kusajili wachezaji wapya tena wakati huo huo ilikuwa ni timu pekee UK kutumia pesa nyingi sana zaidi ya £900 tangu Pep Kipara atinge hapo Man City kuliko timu zote zinazoshiriki EPL.
Man City amebahatika tu kutokuwa na majeruhi na kuathirika kwa COVID-19 mwaka huu tofauti na Chelsea FC iliyokumbwa na majeruhi wa5 na wagonjwa wa COVID-19.
Pia Chelsea FC haikubahatika kughairi mechi hata 1 tokana na hizo changamoto tofauti na Man Utd, Tottenham waliokuwa na waathirika wa COVID-19 wachache na kuhairisha baadhi ya mechi.
Mfano Liverpool FC ilibambwa na waathirika wa3 tu wa COVID-19 ilihairisha mechi.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Ake £40mMchezaji wa ghali hapo ni Grealish tu
- Leroy Sane £46.8m.
- Kyle Walker £47.43m.
- John Stones £50.04m.
- Benjamin Mendy £51.75m.
- Rodri £56.43m.
- Riyad Mahrez £61.02m.
- Ruben Dias £61.2m.
- Jack Grealish £105.75m.
Sisi Chelsea
- Ikay Gundogan mil £22m.
- Gabriel Jesus £26m.
- Feran Torres £27m.
- Ederson £33m. (First Choice Golie)
- Bernado Silva £41m.
- Christian Pulisic - £57m (Flop ataondoka)
- Alvaro Morata - £60m (Flop kaondoka)
- Kepa Arrizabalaga - £71m (Second Choice Golie)
- Kai Havertz - £72m (Anaendelea kuflop ataondoka)
- Romelu Lukaku - £97.7m (Inavyoelekea ataflop atarudi Inter)
Naona Rice ni Bora kwetu.Nikiangalia hzi habar za tchouamen madrid kumtaka , inanipa mashaka kama tutampata, last summer tulikuwa tunanafasi kubwa sana ya kumsajil badala yake tukamuacha tukaenda kumchukua kwa mkopo SAUL
Sahivi inabidi tupambane na madrid,juve n etc wakat tungeweza msajil halaf tukamuacha kwa mkopo huko kama waliona shida