OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Wewe jamaa ni takataka mamluki hufai kuwa shabiki ndaki ndaki wa Chelsea ..wewe nenda na livakuku yako uko AlaaaPoints gained from last 12 matches between Arsenal, Chelsea and Spurs
Ndio maana wachina walisema no data no talk
- Arsenal 27pts
- Chelsea 18pts
- Tottenham HotSpurs 24pts
Mpira ni sayansi na sayansi ni takwimu wewe unatulazimisha tubaki na imani kwa vitu vilivyo wazi kabisa
Katika mechi 38 na zilziobaki 16, sample ya mechi 12 inakubalika kabisa kidunia kuweza kugenerate prediction sahihi
Msimamo wa EPL May baada ya mechi za mwisho ni
Miujiza na au majeruhi wote wapone na tusipate tena majeruhi ndio itakayotuokoa tusiwe nje ya top 4
- Mancity
- Liverpool
- Arsenal
- Spurs
- Chelsea
Vipi umerudi kijijini, tuliza jasba. Mahesabu huwa haifanyiwi jasbaWewe jamaa ni takataka mamluki hufai kuwa shabiki ndaki ndaki wa Chelsea ..wewe mend na livakuku yako ukoAlaaa
Tutakufukuza kwenyee hili jukwaaa letu ..hutufai wewe ni mamlukiVipi umerudi kijijini, tuliza jasba. Mahesabu huwa haifanyiwi jasba
Mimi nimekokotoa na wewe kokotoa
No data No talk
Uje uniite mamluki mwisho wa msimu sio sasa
Acha kujipa mahope hewa, utaugua bure na ikiwa hivyo hata pole sitakupa maana nilikuonya. Msimamo wa ligi huo hapo baada ya mechi za mwishoTutakufukuza kwenyee hili jukwaaa letu ..hutufai wewe ni mamluki
| Sasa | Baadae | Jumla | |
| 1. Man city | 56 | 48 | 104 |
| 2. Liverpool | 45 | 34 | 79 |
| 3. Arsenal | 35 | 40 | 75 |
| 4. Spurs | 33 | 40 | 73 |
| 5. Chelsea | 43 | 24 | 67 |
| 6. Westham | 37 | 26 | 63 |
| 7. Manure | 32 | 27 | 59 |
| 8. Wolves | 31 | 18 | 49 |
[emoji16] Wa kunielewa wamenielewa. Kova anadrive team ina ana poor end product.Uuze kamanda Kova..!? Una akili kweli wewe??!
Inabidi huyu Jamaa aombe radhi au afutwe mwenye hili jukwaa la mashabiki wa Chelsea yaani nimemdharau Sana yaani kova auzwe? Yupo serious kweliUuze kamanda Kova..!? Una akili kweli wewe??!
Kova sio wa kumuuza, uza Jorginho leta mshindani wa Kova ilia Kova apate rotation kwa sababu poor results yake mara nyingi anachoka, siku akiwa na nguvu anaibeba sana timu ni kule mbele wanaharibu[emoji16] Wa kunielewa wamenielewa. Kova anadrive team ina ana poor end product.
Hahahah naombaje radhi kwa mfano?Inabidi huyu Jamaa aombe radhi au afutwe mwenye hili jukwaa la mashabiki wa Chelsea yaani nimemdharau Sana yaani kova auzwe? Yupo serious kweli
At least wewe umekuja na option nyingine.Kova sio wa kumuuza, uza Jorginho leta mshindani wa Kova ilia Kova apate rotation kwa sababu poor results yake mara nyingi anachoka, siku akiwa na nguvu anaibeba sana timu ni kule mbele wanaharibu
Leta huyuy hapa
Chelsea lead Tchouameni race
Tchouameni ana miaka 21 tu na anazo quality zote za Kante Plus Fabregas combined labda aje kubadilika
Mbona sasa hivi mnakimbilia tu mtu afutwe kwenye jukwaa, msituletee Ukorea kores hapa Kim Jong-un haa. Kama mtu ana mawazo mbadala mawazo yaheshimiwe hata kama wote hamuungi mkono. Wewe mwenye maoni tofauti si uweke mawazo yako mezaniInabidi huyu Jamaa aombe radhi au afutwe mwenye hili jukwaa la mashabiki wa Chelsea yaani nimemdharau Sana yaani kova auzwe? Yupo serious kweli
Fixture z mwezi wa 12 zisitufanye tupoteze Imani kiasi hicho ...huo mwezi tulikumbwa na covid plus majeraha kutokana na wingi WA fixtures....m naiman tutakaa poa tuArsenal anapata matokeo match ndogo zote.
Hapo ndio utofauti unapokuja. Na ndio point anayoweza kutupigia gape.
Lakini Covid haikwenda likizo.Fixture z mwezi wa 12 zisitufanye tupoteze Imani kiasi hicho ...huo mwezi tulikumbwa na covid plus majeraha kutokana na wingi WA fixtures....m naiman tutakaa poa tu
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mancity karibia benchi lote la ufundi waligua COVID-19 na Liverpool wao wakaamua kufunga uwanja wa mazoezi kwa muda. Mtu akijitetea COVID au injury as if ni Chelsea tu imekumbwa na tatizo hilo. We are all in the same boat, kama ni ugonjwa ni wote kama ni majeruhi ni woteLakini Covid haikwenda likizo.
Pia kumbuka Arsenal na man city ndio timu ambazo ni kama Covid haikuwaathiri kabisa.
Arsenal naona na wao wamepatwa na cases za covid mpk wameomba game Yao n spurs jpili ihairishwe ..au walileta janjajanja [emoji23] km ya liver carabaoLakini Covid haikwenda likizo.
Pia kumbuka Arsenal na man city ndio timu ambazo ni kama Covid haikuwaathiri kabisa.
Na pia hyohyo covid inawaathiri na timu zingine kiasi kwamba wanaomba mechi ihairishwe lkn n tofauti na wakiomba ChelseaLakini Covid haikwenda likizo.
Pia kumbuka Arsenal na man city ndio timu ambazo ni kama Covid haikuwaathiri kabisa.
Kumbuka liverpool waliomba game zao kuwa postponed na wakakubaliwa but chelsea kuna game tuliomba ihairishwe tukakataliaMancity karibia benchi lote la ufundi waligua COVID-19 na Liverpool wao wakaamua kufunga uwanja wa mazoezi kwa muda. Mtu akijitetea COVID au injury as if ni Chelsea tu imekumbwa na tatizo hilo. We are all in the same boat, kama ni ugonjwa ni wote kama ni majeruhi ni wote
Chelsea ni yetu sote hakuna shabiki mwenye hatimiliki na timu, tunachofanya hapoa ni kuepuka mahope ya kijinga isituletee magonjwa