Mbona hamna cha maana kwenye hiyo comment. Mimi nilifikiri utachambua jinsi majeruhi na form inavyoathiri kikosi kumbe umeleta mipasho.... poleniSoma ujumbe no 93784 kisha uje na makaburi yako haya.
Sio ukweli[emoji1787]....nachoona kepa kaimprove Tu zaidiMendy mwanzoni alikuwa Supperb, ila sasa wako sawa na Kepa tu, wawe wanafanyiwa rotation
Hilo neno tu kutamkwa na Me ni udhalilishaji wa jinsia ya kiume, jitathmini kisha chukua hatua.Mbona hamna cha maana kwenye hiyo comment. Mimi nilifikiri utachambua jinsi majeruhi na form inavyoathiri kikosi kumbe umeleta mipasho.... poleni
Hakuna kipa ambae anaweza cheza game zote katika kiwango kile kile,Mendy mwanzoni alikuwa Supperb, ila sasa wako sawa na Kepa tu, wawe wanafanyiwa rotation
Kwamba mlikuwa mnataka kum press Man City??Game ya leo plan aliyoingia nayo tuchel ilikuwa sahihi shida ikawa kwa wale front 3 wakishindw kutimiza maagizo,
Msim uliopita tulimfunga city coz ya wachezaj walikuwa wanapress kuanzia kwa mabek wa city na kutowaruhus kutofanya build up yeyote
The only way tunayoweza kumfunga city ni kuwa na wachezaj wenye pace na wanaoanzia kupress mbel na ndicho klopp anachofanikiwa hicho akikutana na city
Pulisic+ Ziyech+Alonso sidhana kama wanamaajabu yoyote wanayoweza fanya,
Usajili wa lukaku sidhan kama tuchel alimuhitaji
Board ya tim inamfelisha tuchel kwa kutompa wachezaj wanaoendana na system yake
Mkuuuu acha na lembu huyo ni mamluki mwanzo nilikuwa nakubali sana alichokuwa akiandika ila ssa hakuna kitu[emoji1787] Game ya Liverpool ulisimuliwa.
Tunachozungumza hapa ni vitu viwiliHakuna kipa ambae anaweza cheza game zote katika kiwango kile kile,
Game 2 or tatu hazimfanyi zimshushe daraja
Kuna mifano mingi tu, ya makipa ambao kuna game wanafanya makosa ila haiwafanyi waonekana ni wabaya hata cech mwenye kuna game ashawai fanya makosa,
De gea kuna mda form yake ilidrop ila haikumfanya aonekane ni kipa mbaya
Kumuweka mendy daraja sawa na kepa sio sahihi
Kuna game bila mendy unaona kabisa hapa tungepigwa, game mbili za mwisho dhidi ya brighton na liver unahisi angekuwa kepa angetufanya tupats hata hiyo point 1, sawa kepa now kaimproved ila bado hajafikia kiwango cha mendy
Wazungu wanasema form is temporary but class is permanent
Sijui kwanini sie ma shabiki na wapenzi wa Chelsea tukifungwa hata mechi moja tuna changanyikiwa, akili zetu zina badilika unaweza kulinganisha keppa na mendy, huyu keppa anaepoteza mpira kizembe pass tu huwezi, ile gori angekua makini angelisave kwanini hakudaivi kufuata ule mpira, mendy iko kwenye kiwango cha juu sanaa, huwexi kumlinganisha na huyu keppa wakuombea dua kila abapo shika mpira.Tunachozungumza hapa ni vitu viwili
Mendy kiwango kushuka, nakubali haikumuondolea kuwa kipa bora
Pili Kepa naye kiwango kimeboreka na kwa hiyo
Kepa naye amefikia level ya Mendy
Acha mipasho Mzee km timu ingekuwa haina morali tungeona dalili hata tokea game za carabao na spurs .. kovacic alikuwa ana Kadi tiyari au ulitaka afanye reckless challenges na apate Kadi ya pili ya njano au nyekundu? Rudiger alikuwa anakaba Kwa tahadhari Tu maana ana Kadi nyingi Sana. Za njano so km angepata ingeweza kumcost akamiss game 1....timu nzima tumeona imepambana Sana ... kama hcho ndo kigezo chako aisee umetisha mzeeSasa sijui mtasem nin?...maana ata hao mlokuwa mnasem mnapigwa kwa kuwa hawakuwepo sasa wamerud lakini hali ni ile ile mliwalaumu bure kina jorginho lakini kwasasa tunaojua mpira inaonyesha dhahiri morale ya timu yenu imeshuka sana.
View attachment 2083798
View attachment 2083799
Hakuna cha kante wala nani tinu nzima imechoka...maana kama kdb na foden wanapiga huku wachezaji wenu wanaangalia tu tusemaje hapo?
View attachment 2083802
View attachment 2083803
Wewe ni mfahidhina wa mawazo, hakuna jina lingine linalokufaa. Unastahili kuishi kwenye utawala wa yule dogo wa Korea Kaskazini wasiotaka different thinkingMkuuuu acha na lembu huyo ni mamluki mwanzo nilikuwa nakubali sana alichokuwa akiandika ila ssa hakuna kitu
Mendy yeye hapotezagi. Hadi kuna wakati Mendy akitaka kupiga mpira mbele nabana manani kwa sababu nahisi ataanguka kabla hajapiga. Nahisi ninyi mnamfuatilia Mendy kwenye streaming media na Youtube. Mendy kafanya blunders nyingi wakati anaanzisha mpira, anarudishiwa mipira na wakati anapiga mipira mbele. Tuwe fair tusimuoverrate Mendy na kumuunder rate Kepa kisa aliborongaga wakati wa Sarri na LampardSijui kwanini sie ma shabiki na wapenzi wa Chelsea tukifungwa hata mechi moja tuna changanyikiwa, akili zetu zina badilika unaweza kulinganisha keppa na mendy, huyu keppa anaepoteza mpira kizembe pass tu huwezi, ile gori angekua makini angelisave kwanini hakudaivi kufuata ule mpira, mendy iko kwenye kiwango cha juu sanaa, huwexi kumlinganisha na huyu keppa wakuombea dua kila abapo shika mpira.
Hakuna usajili wa pesa kubwa hvyo usiomuhusisha kocha we jamaaa Tuchel alimtaka LukakuHebu jaribu kufikiria japo kidogo basi. Yaani uipige benchi paundi million 100 acha masikhara basi, umemsajili wa nn sasa. Huyo anapagwa ini mradi tu, huone ata yeye ndio maana alilalamika kuhusu TT.
Angalau wewe unakaribia kwenye ukweli. Inawezekana mimi nimemkasirikia sana Mendy hasa kwa golimla Masuaku na ile penalty dhidi ya Everton ya kijinga kabisa kufanywa na kipa calibre ya Mendy na nakiri inawezekana ninamuunderate Mendy kwa sababu ya hasira hiyo. Inawezekana Mendy hayuko level ya Kepa hata kama Kepa kaimprove. I absolutely agree with you comment.Sio ukweli[emoji1787]....nachoona kepa kaimprove Tu zaidi
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Penalty ya everton ya msim uliopita tena round ya 1 mpk leo unalalamika duuhAngalau wewe unakaribia kwenye ukweli. Inawezekana mimi nimemkasirikia sana Mendy hasa kwa golimla Masuaku na ile penalty dhidi ya Everton ya kijinga kabisa kufanywa na kipa calibre ya Mendy na nakiri inawezekana ninamuunderate Mendy kwa sababu ya hasira hiyo. Inawezekana Mendy hayuko level ya Kepa hata kama Kepa kaimprove. I absolutely agree with you comment.
Ila namuona Mendy akielekea kuwa ordinary Golie asipoweka zaidi concetration uwanjani
Mistakes zote hizi ni za msimu huu. Mimi nilichanga Everton na Westham. Mistake mbili iliigharimu timu kupoteza mechi ile tuliofungwa 3-2Penalty ya everton ya msim uliopita tena round ya 1 mpk leo unalalamika duuh
Hakuna kipa asiyefanya makosa or kufungwa magoal kutokana na kujiposition vibaya
Hiv wakat cech,courtois wanafungwa magoal kutokana na makosa yao ulikuwa kama unavyomlalamikia mendy
Kwan ni mie tu ndio niliekukataaa mawazo mengi ya wana janvi wanasema ww ndio maaana mie nimepigilia msumari kusema wakuache useme usemacho ww hyo huyo ulimkataaa kepa leo tena unamkubaliWewe ni mfahidhina wa mawazo, hakuna jina lingine linalokufaa. Unastahili kuishi kwenye utawala wa yule dogo wa Kore Kaskazini wasiotaka different thinking
Wala sipendezwi na Kepa, nasema ukweli na unawauma kwa sababu mlishaweka trust kubwa kwa MendyKwan ni mie tu ndio niliekukataaa mawazo mengi ya wana janvi wanasema ww ndio maaana mie nimepigilia msumari kusema wakuache useme usemacho ww hyo huyo ulimkataaa kepa leo tena unamkubali
Ila kuna watu wamekuambia huwezi ukakaaa kwenye pick kwa muda mrefu huenda ww kepa anakupendeza sawa ila usitulazimishe tumuone MENDY NI MBAYA KWA KEPA WATU WAKAENDA MBALI ZAIDI WAKAKUPA NA MIFANO YA MECHI ILA WW BADO NI MFAHIDHINA WA KEPA SSA ILA KEPA HAWEZ KUFIKIA LEVEL YA MEND OVA
Labda niliweka matumaini sana kwa Mendy halafu akaanza kutuangusha kipindi kibaya. Hao uanowasema wala hatukuweka matarajio mengi kwao. ni bodi tu wajipime wasajili wachezaji wanaoweza kufunga magoli. Sina la zaidiJamaa anaenda na ile style ya Kinana na Nape kujenga chama kwa kukikandia.