Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Anajua sana dgo
 
Mendy, Silva na Kante wamepatwa na Omicron
14 days quarantine

Silva na Kante wanarudi tar 12/1/2022
 
Je kuna ulzaima kuwarudisha waliotolewa kwa mkopo??
Gilmour, Gallagher pamoja na Emarson kama hatutafanya usajili dirisha hili dogo... Maana siku hiz mchezaj akiwa na dall tu za mafua wanampiga nje kwanza so inahtajka kuwa na wachezaj wengi machaguo ya kutosha yao gezeke ..


Swala la pili Saul kama vile anakuja anakataa ila TT namini atampatia eneo lake halisi.. katikati tunahtaj kiungo kama Declan Rise pale anapokesekana Mateo au kante na endapo Gilmour hatarudishwa
 
Yaaani kumbe mnacheza jumatano then jumamos mapema mnakuja kukutana na sisi ......ambao week nzima hatujacheza [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Haki ya Mungu mtajuta kuingia uwanjani jumamosi ...


Yaani mtajuta kuweka timu yenu uwanjani siwafichi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji16][emoji16][emoji119][emoji16][emoji16][emoji119][emoji16][emoji16] heshma ambayo nyumbu assanal na livakuku wanatakiwa kuitoa wakipata kagol kwa mabingwa
 
wanarudi tarehe 12/1 Silva na Kante, japo hawaumi ila wanatakiwa kukaa siku tatu zaidi baada ya vipimo kuonyesha negative
Bado ujajibu swali Kante na Silva watakuwepo game against city
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Polen Sana the blues kwa msiba mtakao kutana nao hapo jumamosi [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sio MUngu.Nikimanisha hayuko sahihi Kwa Kila kituu.Licha ya umahiri wake alio nao kwenye soka.
Tunamzungumzia mpasha habari wa michezo anayeongoza kwa kutoa taarifa za ndani ya klabu, zaidi 95% ya tetesi zake zinakuja kuwa kweli, kwa nini tusimtrust. na hoja yangu ilibase kwenye statu quo yake hiyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…