Labda timu zingine zijitoe ligi ndo mtakuwa mabingwa....Sisi tutakua mabingwa msimu ujao nyinyi vinega mnakua mabingwa lini? Jinga kabisa
Mkuu Kwan kuna shida gani hata asiposemaLile goli la Pulisic dhidi ya Liverpool jamani ilikuwa na vioja vya ajabu.
Mtangazi ilipofungwa tu goli alisema kwa sauti kubwa "Happy New Year"
Goli la Kovacic sijasikia kasema nini ila hilo la Pulisic na kwa jinsi pasi ilivyoanza kwa Rudiger ikaenda kwa Kante halafu Pulisic nakamalizia kwa hasira kali ndipo ikasikika sauti kubwa na ya mhemuko ikisema HAPPY NEW YEAR
Prediction katoa ndugu yako siyo mimiLabda timu zingine zijitoe ligi ndo mtakuwa mabingwa....
Mt. Anna karibu hii ndiyo Club yetu pendwa ya Chelsea.Sasa subiri tuirudie nafasi ya 2..nunua pamba kabisa za kuziba masikio
Hahaha mpira ni burudani na si uadui,hata huyo ninayetaniana naye niliyemquote ni bestfriend wangu mkubwa...manjonjo kama haya kuongeza ladha kwenye ushabiki wa mpira.Mt. Anna karibu hii ndiyo Club yetu pendwa ya Chelsea.
Club inayoongoza kuwa na Heters wengi duniani[emoji38][emoji28]
Club Pekeee yenye mafanikio makubwa Uingereza[emoji460]️[emoji1626][emoji1628][emoji1627][emoji471][emoji471][emoji966]
Club yenye Ngolo Kante moja tu Duniani.
Club yenye Kovich moja tu dunia nzima.
Club yenye Midfilder Bora duniani kote.
Karibu sana. Mpira ni burudani. Mpira si uadui[emoji460]️[emoji460]️[emoji1666][emoji1666]
Sidhani kama umeelewa kitu, just a reported incident, NO DISCUSSIONMkuu Kwan kuna shida gani hata asiposema
Nakufahamu vema. Mpira ni tambo kabla ya mechi na baada ya mechi. Anayeleta matusi kwenye mpira huyo si shabiki bali ni shabiki mabua[emoji28][emoji28].Hahaha mpira ni burudani na si uadui,hata huyo ninayetaniana naye niliyemquote ni bestfriend wangu mkubwa...manjonjo kama haya kuongeza ladha kwenye ushabiki wa mpira.
Mimi nashabikia timu la kibabe LFC .
Eti mabua🤣🤣Nakufahamu vema. Mpira ni tambo kabla ya mechi na baada ya mechi. Anayeleta matusi kwenye mpira huyo si shabiki bali ni shabiki mabua[emoji28][emoji28].
Wacha turn tuenjoy
Hapana mabua ni moto wake ni wakasi alafu unazimika mara mojA TUEti mabua[emoji1787][emoji1787]
Siyo maandazi?
Nilitaka kujibu lakin kwakua hainihusu ngoja nicheke tuu,,,,[emoji1787][emoji1787]Mt. Anna karibu hii ndiyo Club yetu pendwa ya Chelsea.
Club inayoongoza kuwa na Heters wengi duniani[emoji38][emoji28]
Club Pekeee yenye mafanikio makubwa Uingereza[emoji460]️[emoji1626][emoji1628][emoji1627][emoji471][emoji471][emoji966]
Club yenye Ngolo Kante moja tu Duniani.
Club yenye Kovich moja tu dunia nzima.
Club yenye Midfilder Bora duniani kote.
Karibu sana. Mpira ni burudani. Mpira si uadui[emoji460]️[emoji460]️[emoji1666][emoji1666]