Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Public huwa wanafuata mkumbo sio ukweli, hakuna mtu ana muda wa kutafakari yaliyosemwa au kuandikwa.
 
awajui mashabk wa chelsea uyu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] tulimfollow wenner na havertz ad wakashangaa kule insta ila wakituzngua tunawazinggua2 vilevile
Twitter na Insta hazifanyi maamuzi mzee.
 
Public huwa wanafuata mkumbo sio ukweli, hakuna mtu ana muda wa kutafakari yaliyosemwa au kuandikwa.
Yaani huwa siandiki andiki hizi habari ila hii over reaction ni childish!
 
Nafikiri kosa kubwa analohukumiwa nalo Lukaku ni kusema anatamani kurudi Inter wakati timu imetumia karibu paundi mil 100 kumsajili aje kuleta impact badala yake miezi michache baadaye almost mitano tu anakuja mbele ya vyombo vya habari kusema anatamani kurudi Inter

Yeye kwanza hajui kuwa ni ufukara wa Inter ndio ulimtoa huko, Inter wanaweza kurudisha hata nusu ya pesa tulizotoa?

LUKAKU ni mjinga sana na soka lake asipoangali ndio imefika ukingoni akauze mkaa kule Kariakoo
 

Leo lazima afe Liverpool mbili bila
 
Yes nimeiona hiyo clip ya jamaa.
 
Hakun mchezaji professional anaweza kufanya alichofanya Lukaku.
 
Dunia nzima inajua mmechua CL kwa kubahatisha ,kiuharisia hamna uwezo wa kuchukua CL kenge nyie [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Li timu lenu halina uwezo hata kidogo ,

Mkuu wewe pia ulikuwa mmoja wapo unawasifia hao kenge.
Wanamtegemea mount ndio hawape ubingwa Epl,[emoji3].

Klabu bingwa dunia wataenda kutia aibu tena hawa Safari hii.kuna dalali zote.
 
kaa apo sku iz ushaona mabango yananyanyuliwa uwanjani ila media zna nafas ata ya kufukuzisha kocha
Jua tu maamuzi hayafanyiki Twitter. Mzee Wenger angefukuzwa Arsenal kitambo. Jua hizi sio timu za Bongo na ni biashara za watu.
Narudia tena maamuzi hayafanyiki Insta au Twitter!
 
Kipi sasa boss, mbona unaonge abstracts tu? Kipi haswa ambacho hawawezi kufanya? Kulalamikia mfumo, au kusema anapenda timu fulani?
Yote mawili kwa pamoja.

Kwanini ukalalamikie kwenye media wakati Kocha na viongozi wengine hujawapa malalamiko yoyote?

Lukaku anasema hayuko happy ila tuchel anasema anamuona jamaa yuko happy na hajawahi pokea malalamiko yoyote kutoka kwake.

Matatizo hayasolviwi kwenye media unless kama TT alimuignore Lukaku. Na hatujasikia hayo.
 
shida kubwq ya lukaku ameonyesha mapenz yake ya kurud inter mbele ya tajr anaemlipa izo wachezaj wanasemaga kama ndoto zao atukatai ila so kwa ile kaul aloitoa lukaku
Ipi sasa? Lukaku akiwa na faida atabakia darajani. Mark these words. Hayo mengine na maboss wake watayaweka sawa then huku mtaani mtabaki mnalalama tu. Lazima ujue mpaka wa kuwa shabiki kwenye biashara za watu
 
Ipi sasa? Lukaku akiwa na faida atabakia darajani. Mark these words. Hayo mengine na maboss wake watayaweka sawa then huku mtaani mtabaki mnalalama tu. Lazima ujue mpaka wa kuwa shabiki kwenye biashara za watu
nidham n faida kubwa kwa professional player ila bila nidham kocha ashndw kukushusha ukacheze na academy player
 
Dah tuliache tu hili maana hata kunukuu sentensi ambayo unaiona ina shida umekataa. zote mbili zipi?

Sidhani kama Lukaku kafanya kosa kubwa kuliko John Terry kuzini na mke wa Team Mate wake. Kama JT aliendelea na ku shine, uwe na hakika RL atasonga kama akiendelea kufanya vizuri. Sioni kama kuna issue kubwa. let us move on!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…