Sidhani kama hayo matokeo yana faida kwa Chelsea, Arsenal watakuja kututoa kwenye nafasi ya 3 na sasa tukabaki tunapambania nafasi ya nne na SpursArsenal wanacheza vizur hadi siamini city wanaweza kupotea kiasi hiki.sasa hii ndio nafasi ya kupunguza gap kati yetu na man city.....!
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Arsenal wanacheza vizur hadi siamini city wanaweza kupotea kiasi hiki.sasa hii ndio nafasi ya kupunguza gap kati yetu na man city.....!
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Aache uongo sema mambo yamekiwa magum upande wake [emoji23][emoji23][emoji23]Lukaku kasems haka katimu ni ka kijinga na hakapendi amekuja kwavile mshahara mkubwa ila leo kesho anatamani arudi Inter
Nenda ssaHivyo ndivyo mabingwa watarajiwa wanavyofanya. Haijalishi wanachezaje. Vibaya au vizuri, pont 3 ndio habari ya mjini
Wamecheza vizuri ila wameishia kuja kufanya utoto na kupoteza match.Arsenal wanaonyesha kandanda safi, city wanaonekana kama sio EPL team
Hii Arsenal tukikutana nayo na hizi back passes zetu watatumaliza kabisa
It is an attacking minded team, wote kabisa wanawaza tu kushambulia na wakosharp, clinicla na ball control ya hali ya juu
Mimi kama mshabiki wa the blues nimefurahi sanaa arsenal kupoteza hiyo mechi...........kesho no matter how worse we are Liverpool anafungwa mapema tu, tutabaki kwenye nafasi ya pili Mancity sio tishio sanaa ki vileWamecheza vizuri ila wameishia kuja kufanya utoto na kupoteza match.
Mtu mwenyewe ni kitofali mpaka ampite mpinzani ni mtihani halafu analeta maneno yake ya ety kutokufurahishwa na hali ya timuHakuna mtu amependezwa nae nais kumchukia
Mkuuu hatutafungwa take my words, Chelsea hubadilika kulingana na mpizani. Tutajihami na kushambulia kwa kushitukuza tu.Tuache kujipa matumaini feki, kwa wachezaji gani wazuri tulionao mpaka tumfunge Liverpool?
Alonso, Odoi, Joghnho, Mount, Azipi, Pulisic, Ziyech?
Tujiandae kula goli 3 bila nyumbani kwetu.
Chelsea 0 - 3 Liverpool
Unasemaje wewe¡? Unataka kufunguliwa mashitaka na jeshi la mashabiki ndaki ndaki wa Chelsea.!?!Pure plastic fans[emoji28][emoji28][emoji28]
asee mkuu lembu leo imefikia hatua hadi arse8 tunaisifu wakati wao kutwa kutuponda!? Ina maana timu yetu umechoka sana ...em sema neno moja mkuu..Arsenal wanaonyesha kandanda safi, city wanaonekana kama sio EPL team
Hii Arsenal tukikutana nayo na hizi back passes zetu watatumaliza kabisa
It is an attacking minded team, wote kabisa wanawaza tu kushambulia na wakosharp, clinicla na ball control ya hali ya juu
Mkuu kua na matumaini tutawafunga au tunatoka sare, nao the blues sio dhaifu kiasi hicho, kwamba hatuwezi kupambana na kupata matokeo chanya, Liverpool uliweza kufungwa na timu ndogo wiki ilio pita kwanini Chelsea haiwezi? Chalsea ni timu kubwa na kochi sio wa hovyo anajua aina ya mpira anaenda kuchezaEndelea kujipa moyo sio mbaya, nahifahamu timu yangu ilivyo na utoto mwingi kule mbele sioni huo usiriaz wa kufunga goli utatokea wapi.
Mkuu wale kuku mbona tuna wanywa supu kabisa..The blues ime expire chalii
Mkuu husikate tamaa tuwe kama arsenal wana roho ngumu ata timu yao ikiwa mbovu kiasi gani watajipa matainiTimu kubwa sawa lakini sio bora kwa aina ya wachezaji wa uwezo mdogo tulionao kwa sasa.
Liverpool wanaye salah anaweza kuamua matokeo muda wowote
The blues tuna nani?
Lukaku Warner Mount Rudiger wanauwezo wakutupa matumaini, mimi sioni kama hii mechi tutaipoteza, Liverpool sio nzuri kivile, tuombe VAR iwe neutralTimu kubwa sawa lakini sio bora kwa aina ya wachezaji wa uwezo mdogo tulionao kwa sasa.
Liverpool wanaye salah anaweza kuamua matokeo muda wowote
The blues tuna nani?
Magoli yenyewe tunafunga kwa kubahatisha
Huyo Salah unayemsifia kitu gani anachokifanya dhidi ya Chelsea?Timu kubwa sawa lakini sio bora kwa aina ya wachezaji wa uwezo mdogo tulionao kwa sasa.
Liverpool wanaye salah anaweza kuamua matokeo muda wowote
The blues tuna nani?
Magoli yenyewe tunafunga kwa kubahatisha