juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Sasa ni mda wa uongozi umpatie tuchel wachezaj watakaompa anachotaka na si kujaza wacheza ilimradi tu tuonekane tumesajili lwb/rwbLakini Klop alikunywa magoli Heanderson na Fab walipokuwa wanacheza kama CB
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kabla ya kufanya usajili fukuzeni hiyo Tucheliban [emoji205] View attachment 2063793
811Kwani jamani huu mfumo si ndo ulikuwa unatupa matokeo, Nini kimebadilika?
Mbona huu msimu tulianza vizuri kabisa na mpaka kuna muda tukawa tunaongoza goal difference?
Okay abadili tucheze mfumo gani?
Dunia nzima inajua mmechua CL kwa kubahatisha ,kiuharisia hamna uwezo wa kuchukua CL kenge nyie [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona ulikimbia humu ndani kwa miezi kadhaa baada ya huyo TT kukupasua na kubeba ndoo ya UCL mbele yako?
We jamaa mnafiki sana.
Lukaku ni mkubwa kuliko ChelseaHua nasema haka ni katimu kadogo.
Tusibishane.
Tafuta interview ya leo ya Lukaku.
Your most expensive signing [emoji28][emoji28][emoji28] anadhalilisha haka katimu.
Ila kaongea ukweli watajuana humo ndaniLukaku ni mkubwa kuliko Chelsea
Punguza uchawi.Dunia nzima inajua mmechua CL kwa kubahatisha ,kiuharisia hamna uwezo wa kuchukua CL kenge nyie [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Li timu lenu halina uwezo hata kidogo ,
Najua mnatamani sana jamaa afukuzwe.
Huwezi kupiga counter attack watu wamepack basi.Kwa Maoni binafsi sioni tatizo ni mfumo wa kocha tatizo kuu naona ni style playing yetu anayoifundisha Tuchel ya sasa ni tofauti na msimu uliopita iliyotupa mafanikio especially kipindi kinakaribia mwisho wa msimu tulikuwa tunacheza mpira wa haraka na wacounter attack na style hii ingemfit Sana Lukaku, mpira tunaocheza sasa wa pasi fupi fupi na back pass nyingi sio mzuri na ndio uliomshindwa kwenye mechi yake ya kwanza dhidi ya Wolves pindi tulipomtimua Lampard ndio ukamfanya abadilishe kwa maneno yake mwenyewe alisema ili Werner an'gae anatakiwa tubadilishe mpira wetu uwe wa counter attack sijui ni kwanini sasa hivi anashindwa kurudisha mpira wa counter attack
Cash Money Forever
lembu
42774277
juan david
Achana na hao mashabiki maandazi.Mashabiki wa chelsea mnavyo chambua sasa, [emoji23][emoji23], vipigo mara mbili tu et kocha hafai NOTE: TT is the best coach lakini hamjifunzi uvumilivu tu, majeruhi ndio yanayo watesa. Kupoteza mechi ni kitu cha kawaida sana unaweza pigwa na kitu kizito mfulululizo hadi ukaona dunia chungu aisee, Jifunzeni uvumilivu kama Liverpool wala hatunaga papara hata tupigwe mara tano mfululuzo bado tunamuamini Klopp. Lakini nyie mkibondwa mara moja na mkatoa draw mara moja mnaanza mara ooooh tubadili mfumo chezeni 811 sasa mkikosa mfumo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kwa build up slow ya chelseafc lazima itakuwa ngumu kuwafungua team pinzani angalia liverpool au Tottenham ya conte inavyocheza ndio utajua utofauti upo wapiHuwezi kupiga counter attack watu wamepack basi.
Kweli kabisa
Kweli shabiki wa Chelsea kma watoto wadgo LEO FRANK LAMPARD KAWA BORA KULIKO TT WATU WANAMTAMANI FL??? AIBU MPKA NAONA MIEMimi naongelea back 4 ya Tuchel. Zipo match ambazo Tuchel amecheza back 4 ziangalie.
Build unakuwa slow sababu tunakaa sana nyuma.Kwa build up slow ya chelseafc lazima itakuwa ngumu kuwafungua team pinzani angalia liverpool au Tottenham ya conte inavyocheza ndio utajua utofauti upo wapi