juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Klop msim uliopita wakat van dijk ameumia aliweza mtumia fabinho o henderson kama cb, hakuweza badilisha mfumo kisa tu injury na hapo unakuta kabak or davies ambao walisajiliwa january wako bench,Tutaona mwisho wake ukizingatia na wachezaji majeruhi sioni tukitoboa andelee kumweka pulisic wingback kama atujaendelea kulia kila siku
Rudiger or christiansen kabla ya tuchel waliwah kuwa na consistenc hii waliyonayo sasaHizo beki unazosema hazifai msimu ujao zinaondoka maana tumeshindwa kuwaongezea mkataba
Shida mfumo tunaotumia ni mgumu 343 sio mwepesi kama mnavyodhani timu nyingi zinachemka kucheza hivyo kama huna watu wa kueleweka shida tuliokuwa ni majeruhi wachezaji waliokuwepo hawafitKlop msim uliopita wakat van dijk ameumia aliweza mtumia fabinho o henderson kama cb, hakuweza badilisha mfumo kisa tu injury na hapo unakuta kabak or davies ambao walisajiliwa january wako bench,
Pulisic kucheza wingback anacheza game moja moja na sikila game, ni sawa na klop anavyomtumia milner kama rb mda mwingine huku nje akiwa na neco william or joe gomez
Game ya aston villa kuna mda pulisic alicheza kama rwb na tulianza kucheza vizuri na kuanza kupanga mashambulizi kuliko hata wakat anacheza falss no9
Kusajili ni lazima hilo halina pingamizi je tutapata wachezaji tunaowata kipindi hichi ukizingatia na soko la usajili lilivyo gumu kutokana na hali ya uchumi imeyumba coz ya covid4-3-3
Tusajili beki mbili za kati za maana.
Tusajili kiungo mkabaji mzuri wa kusaidiana na Kante:-
(Kante sio wa kumtegemea sana injury prone, Kovacic kila siku misuli inawaka moto
Tumsajili kiungo mchezeshaji mzuri:-
Kiungo aina ya fabrigas (mbunifu, pass ndefu zinazoweza kuvunja safu 2 za mpinzani)
Kule mbele tuone kama watabadilika na kwa sajili hizo mpya na mfumo mpya.
Wapinzani mnaomba tumfukuze kocha sababu mnamuogopa [emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]Kabla ya kufanya usajili fukuzeni hiyo Tucheliban [emoji205] View attachment 2063793
Hamna kocha hapo,ameshaishiwa na mbinu sasa hivi kila timu inajichukulia pointi. Lukaku mwenyewe keshaona kocha hana mbinu😁Wapinzani mnaomba tumfukuze kocha sababu mnamuogopa [emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
Yuko sahihi na ni kweli yote yanafanyika kweli kma tunatengeneza nafasi mpka 10 kwa game 1 ssa kufunga wanafunga magoli ziro au 1 ssa hapo TT Kafanyaje na shida yake iko wap?Uko sahihi kabisa Chief. Na ikumbukwe TT alishasema hawezi kubadili mfumo kwa sababu, mfumo wake unatoa performance nzuri ya umiliki mpira uwanjani, kinachokosekana ni umalizaji wa kufunga magoli ndio kitu alichosema ataendelea kukiboresha.
Ikiwezekana hazard arudi stanford bado hajachuja kama media zinavyomuandika.Ufanyike usajili wa washambuliaji wa pembeni wenye uwezo mkubwa Odoi, Pulisic, Ziyech, Mount watupishe, wana utoto mwingi sana.
Mimi nilizungumzia covid...NADHANI ISHU SIO COVID TU BALI ATA MAJERUHI AMELALAMIKIA HILO PIA LAKINI SIO KWAMBA LIGI NZIMA MAJERUH MNAYO NYIE TU IVYO HICHO SIO KIGEZO!...UKWELI NI KUWA WACHEZAJI WENU WAMECHOKA WANA FATIGUE YAKUTOSHA MAANA BENCHI LENU BOVU WANAOINGIA SUB AFADHALI ALIYETOKA NA KILA MECHI NI KIKOSI ICHOICHO TU, KIBAYA ZAIDI MORALE NA CONFIDENCE YENU IMESHASHUKA.....MTAKOMA!!!
Huyo jamaa nadhani hajawahi kuangalia match ambazo chelsea amecheza akiwa na back 4.Unataka turudi kwenye back 4, beki zetu kwenye back 4 tutazikataa saizi,
Huwezi badilisha mfumo huku ukiwa mfumo unaotumia haujawa na matatizo, mara nyingi makocha huwa wanabadilisha pattern ya uchezaj na si mfumo, angalia city ya guardiola mfumo wake ni ule ule ila kinachobadilika ni pattern ya uchezaj wa tim.
Hata leo tukirudi kwenye back 4, je unahisi alonso na azplicueta watatupa kile wakina robertson/taa,cancelo,walker wanachowapa city/liverpool
Angalia wakat wote wakina chilwel na jamess wanacheza pamoja na wakat huu james na alonso wanavyocheza unaona kabisa upande wa alonso hakuna madhara yeyote n tim pinzan zinahakikisha james hana madhara wakat chilwel yupo ilikuwa ngumu coz ya pace aliyonayo chilwel na tulikuwa na overload upande wake na kucreate nafasi upande wa kulia ila now hicho kitu atupo,
Alonso /azp hawa wasasa sio wale wakat wa conte.
Hakuna mchezaji professional anaweza kutoka mbele ya media akafanya hivi.
Amekosea sanaJinga hili majitu meusi ni unafiki mpka mwisho
Na kama kweli hakuwahi kukaa chini na kuongea na TT then boom kakimbilia kwenye media, atakuwa amefeli sana.Ukweli kazingua hakupaswa kuongea vile kipindi kama hichi vuta picha akiwa uwanjani atapata mapokeo gani kwa mashabiki
Kwa hiyo leo TT amekuwa mbaya?Sijasema tuwasubiri, nimesema tusiwatoe labda Pulisic
Mimi naamini form mbovu ya hao niliowataja mchango mkubwa ni wa kocha
Hao hao wachezaji akipewa PEP utawatamani
Sterling alipokuwa Liverpool kwa umri ule Mount ni bora mara 10
TT anategemea tactics za kubahatisha hana mfumo wa kukuza vipaji ili vije kuleta faida kwa timu
Kama Lukaku analialia huko nje je hao wengine
Tusipumbazwe na kombe la UCL alilotupa TT, bado anayo madhaifu mengi hasa kwenye kuwakuza na kuwatumia vizuri wachezaji kulingana na talents zao
Odoi amesikika akilalamika kuchezeshwa wing-back
Naamini wachezaji wengi hawaridhiki kuchezeshwa out out of position ili kufource 3-4-3 mfumo ambao unafaa tu kama wachezaji wote wanafit hapo
Tatizo la Chelsea kule mbele linaanzia katikati. Tangu atoke Fabregas hatuna kiungo mtoa pasi zile za hatari. absolutely hakuna, hadi tumpate huyo ndipo akina Mount, Pulisic, Odoi Ziyech walaumiwe
Kwani jamani huu mfumo si ndo ulikuwa unatupa matokeo, Nini kimebadilika?Huo mfumo TT ndio best kwake. Amefika mwisho wa mfumo sioni akibadilika au kubadilisha mfumo. Bali namuona akistick na mfumo & style hii hii ya uchezaji wa timu linyeshe mvua liwake jua.
Kiufupi TT ni mwoga wa kupoteza mechi mfulilizo hayuko tayari kujaribu mfumo mpya bali atakomaa na huu huu akiamini majeruhi wakipona mfumo wake utaimarika ( pass fupi fupi, back pass milioni 1, ball position asilimia laki 5)
Watu wanarahisisha tu mamboShida ni wachezaj wetu, hata guardiola huwez kuta kabadilisha mfumo sana unakuta anabilisha tactics ila mfumo unakuta ule ule,
Zinchenko alikuwa mid lakin pep kamfanya amekuwa lb na anafanya kazi nzuri,
Klop msim uliopita alitumia hadi fabinho n henderson kama cb hakubadilisha mfumo. Kisa injury,
Issue ya kubadilisha mfumo huwa sio rahis kama tunavyozan kwa hawa makocha wakubwa, kubadilisha mfumo unaanza kuimplement idea zingine na huwa sikaz ndogo
Anayeondoka ni RudigerHizo beki unazosema hazifai msimu ujao zinaondoka maana tumeshindwa kuwaongezea mkataba
Hivi umeshaiona Chelsea ikiwa haina majeruhi na ikacheza 4 3 3.Shida mfumo tunaotumia ni mgumu 343 sio mwepesi kama mnavyodhani timu nyingi zinachemka kucheza hivyo kama huna watu wa kueleweka shida tuliokuwa ni majeruhi wachezaji waliokuwepo hawafit
Hao liver wanacheza 433 mfumo wa kila timu hata wakiwa na majeruhi ni rahisi kufanya back up ya mchezaji mwengine tofauti na sie
Imagine[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wapinzani mnaomba tumfukuze kocha sababu mnamuogopa [emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]