Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mimi nilitoa hoja huko juu wakaniambia eti tusubil wapinzani wetu city na Liverpool nao watadondosha points
Nakumbuka EPL ya 2018/19 Liverpool alitoa droo moja tu ilikuwa Februari, city akampita kwa point moja hadi ubingwa
City point 98
Liverpool 97
Hata mwaka huu Bingwa anaweza kushinda kwa point moja tu, na contender wa kweli hatakiwi kupoteza point kizembe eti ukisubiri mwenzako adondoshe points, it is a total stupidity
Tugeukie makombe ya mbuzi na UCL huu ujinga wa kuendelea kusema eti Chelsea ni contender wa EPL mwaka huu ni kujilisha upepo
 
Shida ya Chelsea ya Lampard ilikuwa ni kushindwa kufunga na kuconcede magoli ya kizembe
Kinachotokea sasa ni ile ile, umaliziaji mbovu na kukoncede magoli ya kizembe, No deference ndg
Chelsea ya Lampard ilikuwa inagombea nafasi ya nne na inapata mechi za mwisho
Hii tuliyonayo nayo inaelekea hivyo hivyo, kugombea nafasi ya nne na Westham, Spurs na Wolves subiri tuone
 
Kikosi chs leo
Mendy
Chalobah Silva Rudi
Azp james kante alonso
Mount pulisic ziyech

Sub
Kepa,bettinel,sarr,saul,barkley n kovacic


Hao ndio wachezaj waliopo fit
Wangine ni either majeruhi or wamekutwa na virus vya corona
 
Nimeweka pesa yangu kwa ajili ya xmas sasa sio mnaenda kulegeza matacle mgongwe tena,yaani pesa yangu ikiliwa humu hakutakalika,nimewapa normal tu
kwa hiyo mnakuja humu kusaga kunguni kila siku ila mnaujua mziki wetu....
 
Lampard mpaka anaondoka chelsea ilikuwa nafasi ya ngapi?
 
Shida ya chelsea ya lampard ilikuwa ni kushindwa kufunga?

Hivi tulikuwa tunatengeneza chances nyingi kama sasa?
 
Kikosi chs leo
Mendy
Chalobah Silva Rudi
Azp james kante alonso
Mount pulisic ziyech

Sub
Kepa,bettinel,sarr,saul,barkley n kovacic


Hao ndio wachezaj waliopo fit
Wangine ni either majeruhi or wamekutwa na virus vya corona
Naona Chalobah ndie atacheza na Kante, Azpi CB na James Wingback wa kulia
 
Nyie nimakima wanajipigia tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wap olachuga
 
Mnabahati leo wanawaua yani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…